Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Changamoto za kiafya na kisaikolojia kwa ‘single mothers’-2

Ni kweli kabisa kwamba malezi ya mzazi mmoja wakati wote ni yenye changamoto sana kwa mzazi mwenyewe na hata kwa watoto. Hapa namaanisha malezi ya baba peke yake au ya mama peke yake “single mothers”.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Zao la tumbaku linavyoathiri watoto kiafya na kisaikolojia

Ukifika katika shamba la tumbaku Sikonge mkoani Tabora unaweza kushuhudia watoto wengi wakijumuika kufanya kazi mbalimbali kwa lengo la kupata ujira.

 

5 years ago

Mwananchi

Ulaji mkaa, changamoto na maoni ya watalaamu kiafya

Limekuwa ni jambo la kawaida kwa baadhi ya watu hasa wanawake kupenda kutafuna vitu kama udongo na chaki wakiona kama starehe kwao.

 

9 years ago

Mwananchi

Pinda: Vyama vijiandae kisaikolojia kwa matokeo

Waziri Mkuu Mizengo Pinda amevitaka vyama vya siasa nchini kujiandaa kisaikolojia kuyapokea matokeo ya Uchaguzi Mkuu utaokaofanyika nchini, Jumapili ijayo.

 

11 years ago

Mwananchi

Changamoto kwa Wafanyabiashara wadogo wapewa changamoto

Wafanyabiashara wadogo wametakiwa kuacha woga na kuanza kutumia taasisi za fedha kama njia rafiki na chachu ya maendeleo na kukuza mitaji yao.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kunenepa ni tishio la kiafya kwa wanawake UK

Kunenepa ni tishio kubwa kwa afya ya wanawake pamoja na ile ya vizazi vijavyo, ameonya Afisa mkuu wa matibabu nchini Uingereza Dame Sally Davies.

 

10 years ago

Mwananchi

Uzito mkubwa kwa mtoto ni tatizo kiafya

Katika pitapita zangu nilibahatika kupitia mtandao mmoja wa kimataifa hivi karibuni. Nilishutushwa na habari iliyokuwa na kichwa cha habari, “Wazazi wenye watoto walio na uzito mkubwa kupigwa faini ya Dola 800 sheria ikipitishwa”.

 

11 years ago

Mwananchi

Tabia hatarishi kwa maisha ya Watanzania;nyingi ni hatari kiafya

>Kwa siku kadhaa kuanzia leo, safu hii itaangazia baadhi ya tabia na mienendo ya Watanzania ambayo wataalamu wanasema ni hatari kwa maisha yetu.

 

11 years ago

Mwananchi

Maono ya kiafya ya Profesa Kairuki bado ni hai kwa jamii

Michango ya baadhi ya watu duniani waliojitoa kwa dhati katika kuchangia sekta muhimu,  kama afya haina budi kuendelezwa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Vipigo huathiri wanawake kisaikolojia

LICHA ya kuwepo kwa sheria mbalimbali zinazowalinda wanawake lakini vitendo vya ukatili kwa wanawake vimekuwa vikiongezeka.Kuongezeka kwa vitendo hivyo kunachangiwa na kukosekana kwa elimu hasa katika baadhi ya maeneo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani