Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ulaji mkaa, changamoto na maoni ya watalaamu kiafya

Limekuwa ni jambo la kawaida kwa baadhi ya watu hasa wanawake kupenda kutafuna vitu kama udongo na chaki wakiona kama starehe kwao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Mwananchi

Changamoto za kiafya na kisaikolojia kwa ‘single mothers’-2

Ni kweli kabisa kwamba malezi ya mzazi mmoja wakati wote ni yenye changamoto sana kwa mzazi mwenyewe na hata kwa watoto. Hapa namaanisha malezi ya baba peke yake au ya mama peke yake “single mothers”.

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Mataifa yashughulikie changamoto za Burundi

>Tumeandika mara kadhaa kuhusu hali ya amani ilivyotetereka Burundi. Mara zote tumejitahidi kutoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuongeza juhudi za usuluhishi na upatanishi kati ya wapinzani na Serikali ya Burundi ili isiendelee kuzalisha wakimbizi.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Watalaamu vyuo vya Kiislamu kukutana Z,bar


Na Antar Sangali, Zanzibar
Wataalamu 40 kutoka vyuo vikuu tisa vya Kiislamu vya Nchi za Afrika Mashariki na Malasyia watakutana Zanzibar kujadili maendeleo ya mitaala pamoja na kuangalia njia bora za kuwaepusha wanafunzi kutojihusiaha na matumizi mabaya ya mitandao ya jamii inayochangia kuwaingiza katika ugaidi na uhalifu.
Akizungumza mjini hapa, jana, Profesa Abdulrahaman Hikmany wa Chuo Kikuu cha Al Sumait cha Zanzibar, alisema mkutano huo wa kimataifa utaanza April 18 hadi 19, mwaka...

 

10 years ago

Vijimambo

KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU CHAZUNGUMZIA CHANGAMOTO ZA UTEKELEZAJI WA SHERIA YA KURA YA MAONI YA KATIBA‏

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk.Hellen Kijo-Bisimba (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam wakati akitoa taarifa kuhusu changamoto za utekelezaji wa sheria ya kura ya maoni ya Katiba. Kulia ni Mratibu wa Katiba wa LHRC, Anna Henga na Mkurugenzi wa Fedha na Utawala, Ezekiel Massanja.Wanahabari wakichukua taarifa hiyoWapiga picha na wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakichukua taarifa hiyo.
KITUO cha Sheria na Haki za...

 

10 years ago

GPL

KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU CHAZUNGUMZIA CHANGAMOTO ZA UTEKELEZAJI WA SHERIA YA KURA YA MAONI YA KATIBA‏

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk.Hellen Kijo-Bisimba (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam wakati akitoa taarifa kuhusu changamoto za utekelezaji wa sheria ya kura ya maoni ya Katiba. Kulia ni Mratibu wa Katiba wa LHRC, Anna Henga na Mkurugenzi wa Fedha na Utawala, Ezekiel Massanja.… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Changamoto kwa Wafanyabiashara wadogo wapewa changamoto

Wafanyabiashara wadogo wametakiwa kuacha woga na kuanza kutumia taasisi za fedha kama njia rafiki na chachu ya maendeleo na kukuza mitaji yao.

 

5 years ago

CCM Blog

MKAA MBADALA NI UKOMBOZI WA MAZINGIRA


Mbunifu wa mashine ya mkaa utokanao na vumbi la mbao pamoja na pumba za mpunga wa mkoani Singida, Joram Kishaluli akitoa mkaa uliotengenezwa kwa mashine maalumu.
Na, COSTECHTAARIFA ya Wizara ya Kilimo ya mwaka 2019 inaonesha kuwa, kwa miaka mitano iliyopita kuanzia msimu wa mwaka 2013/2014 hadi 2017/18, Tanzania imezalisha chakula kingi kuliko mahitaji yake.

Tathmini ililenga hali ya chakula, uzalishaji wa mazao ya chakula na usalama wa chakula hususani mazao muhimu yanayozingatiwa kama...

 

11 years ago

Mwananchi

RC ashangaa mkaa kuingiza mapato

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Gallawa ameishangaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga kuweka ushuru wa mkaa kama eneo la ukusanyaji wa mapato ya ndani na kutaka biashara hiyo ikome kwa sababu madhara yake ni makubwa katika uharibifu wa mazingira.

 

10 years ago

BBCSwahili

Al-Shabaab waendeleza biashara ya mkaa

Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imekishutumu kikundi cha Somalia cha Al Shabaab kwa kuendelea na biahara ya mkaa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani