Zao la tumbaku linavyoathiri watoto kiafya na kisaikolojia
Ukifika katika shamba la tumbaku Sikonge mkoani Tabora unaweza kushuhudia watoto wengi wakijumuika kufanya kazi mbalimbali kwa lengo la kupata ujira.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Mwananchi27 Feb
Changamoto za kiafya na kisaikolojia kwa ‘single mothers’-2
Ni kweli kabisa kwamba malezi ya mzazi mmoja wakati wote ni yenye changamoto sana kwa mzazi mwenyewe na hata kwa watoto. Hapa namaanisha malezi ya baba peke yake au ya mama peke yake “single mothersâ€.
11 years ago
Tanzania Daima12 Dec
Wakulima kuboresha zao la tumbaku
WAKULIMA wa zao la tumbaku nchini, wameahidi kuongeza juhudi za kulifanya liwe bora zaidi ikiwa ni pamoja na kulitunza, kulichambua na kuondoa uchafu kabla ya kuliuza, ili lifikie viwango vya...
10 years ago
Mwananchi23 Jun
Kuwahamisha watoto shule kunawaathiri kisaikolojia
Je, unajua kuwa baadhi ya wazazi wanaona ni suala la kawaida kuwahamisha watoto wao shule?Wapo wanaofanya hivyo kwa kujisikia na kufuata mkumbo.
10 years ago
Mwananchi23 Jan
Mavuno zao la tumbaku kuporomoka msimu huu
Mavuno ya zao la Tumbaku mkoani Tabora kwa msimu huu huenda yakashuka ikilinganishwa na msimu uliopita wa 2013/2014.
10 years ago
Mwananchi21 Mar
Ugomvi mbele ya watoto unajua kama huwaathiri kisaikolojia?
Umri kuanzia mwaka 0-6 ni kipindi ambacho wazazi wengi hudhani kwamba watoto wao hawawezi kujua/ kuelewa/ kujifunza kitu chochote kutoka kwao, huku wengi wakidhani kwamba ni umri ambao mtoto hawezi kuelewa hili ni jema na hili ni baya.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-spoir8wLfTU/Xrjgb1ac2zI/AAAAAAALptg/xdq7uXIcM880Ed8fm8KH5-252FaD_V0XwCLcBGAsYHQ/s72-c/timbaku%252Bpic.jpg)
RAS TABORA ANZENI KULIMA MAZAO MENGINE KUKABILIANA NA MATATIZO YA KUSHUKA KWA UZALISHAJI WA ZAO LA TUMBAKU
NA TIGANYA VINCENT
HALMASHAURI ambazo zinazotegemea sehemu ya mapato kutoka kwenye zao la tumbaku zimetakiwa kuandaa mkakati mpya ambao utawawezesha kulima mazao mengine ili kuwa na msingi wa vyanzo vipya vya mapato ya ndani.
Hatua hiyo inafuatia Kampuni zinazonunua tumbaku Mkoani Tabora kuendelea kushusha makisio ya uzalishaji kwa wakulima wa tumbaku.
Kauli hiyo imetolewa jana na Katibu Mkoa wa Tabora Msalika Makungu wakati wa kikao cha robo ya tatu cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya...
10 years ago
Mwananchi31 Jan
Watoto 7,000 waondolewa mashamba ya tumbaku
Zaidi ya watoto 7,000 wameondolewa kwenye mashamba ya tumbaku ya wilaya za Sikonge na Urambo ambako ambako walikuwa wakitumikishwa.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-bg3JfvAd-aE/VWM7pm4zcKI/AAAAAAAC5CQ/jLiIc8EtiHM/s72-c/1.jpg)
BAJETI YA WATOTO IONGEZWE KUTATUA CHANGAMOTO ZAO-C-SEMA
![](http://4.bp.blogspot.com/-bg3JfvAd-aE/VWM7pm4zcKI/AAAAAAAC5CQ/jLiIc8EtiHM/s640/1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-cuHYtUPVU4U/VWM7pm1YVMI/AAAAAAAC5CY/FbrbyyAvC40/s640/2.jpg)
10 years ago
Bongo513 Oct
Picha: Watoto wa mastaa wa soka duniani wanaofuata nyayo za baba zao
Hizi ni picha za watoto wa wachezaji wa soka waliostaafu wanaofuata nyayo za wazazi wao. Hawa ni baadhi yao ambapo kuna watoto wa Zinedine Zidane, Rivaldo, Edwin van der Sar, Andy Cole na Patrick Kluivert. Je watoto hao wataweza kutawala katika soka kama baba zao na tutashuhudia kizazi kingine cha watoto wa magwiji hao? Diego […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania