Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoto 7,000 waondolewa mashamba ya tumbaku

Zaidi ya watoto 7,000 wameondolewa kwenye mashamba ya tumbaku ya wilaya za Sikonge na Urambo ambako ambako walikuwa wakitumikishwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kigoma yazalisha tani 5,000 za tumbaku

MKOA wa Kigoma unazalisha tumbaku zaidi ya tani 5,000 kwa mwaka. Naibu waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Adam Malima alitoa kauli hiyo bungeni mjini hapa jana akijibu swali la...

 

10 years ago

Mwananchi

Zao la tumbaku linavyoathiri watoto kiafya na kisaikolojia

Ukifika katika shamba la tumbaku Sikonge mkoani Tabora unaweza kushuhudia watoto wengi wakijumuika kufanya kazi mbalimbali kwa lengo la kupata ujira.

 

10 years ago

Michuzi

KONYAGI WATEMBELEA MASHAMBA YA WAKULIMA WA ZABIBU DODOMA AMBAO WATOTO WAO WANAFADHILIWA KIMASOMO

 Mratibu wa Mpango wa Kampuni ya Konyagi wa kuwasomesha watoto wa wakulima wa zao la zabibu kwa masomo ya Sekondari Saimon Chibehe (katikati), akitembelea hivi karibuni shamba la zabibu la Festo Kuziganika katika Kijiji cha Mbabara, mkoani Dodoma. Kulia ni mmoja wa wakulima wa eneo hilo, Juliana Masukwi. Watoto wa wakulima hao wameingizwa kwenye mpango huo.
 Festo Kuziganika mkazi na mkulima wa zabibu katika katika Kijiji cha Mbabara, Manispaa ya Dodoma akimuelekeza jambo Mratibu wa Mpango wa...

 

5 years ago

AnandTech

Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19

Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19  AnandTechView Full coverage on Google News

 

11 years ago

Tanzania Daima

Compassion yasomesha watoto 70,000

SHIRIKA la kimataifa la Compassion linalofanya kazi na madhehebu ya Kikristo nchini, limefadhili wanafunzi 70,000 wanaosoma shule na vyuo mbalimbali ndani na nje ya nchi. Akizungumzia ufadhili huo jana alipokutana...

 

11 years ago

BBCSwahili

Watoto 50,000 wakumbwa na njaa Somalia

Zaidi ya watoto 50,000 wa Somalia wenye matatizo ya utapia mlo wamo katika hatari ya kufa, miaka mitatu tu baada ya kipindi kibaya cha ukame kukumba taifa hilo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watoto 35,000 kupewa chanjo Bunda

ZAIDI ya watoto 35,000 watapatiwa chanjo ya surua na kifua kikuu katika Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, katika zoezi lililoanza hivi karibuni baada ya kuzinduliwa katika Wiki ya Chanjo Duniani....

 

11 years ago

BBCSwahili

Watoto 9,000 walitumiwa vitani Sudan:K

Mkuu wa haki za binadamu katika UN, amesema kuwa zaidi ya watoto 9,000 walitumiwa kama wanajeshi katika vita vinavyoendelea nchini Sudan Kusini.

 

10 years ago

Habarileo

Matukio 24,000 ya unyanyasaji watoto yaripotiwa

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Pindi ChanaWIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto imesema kuna kesi zaidi ya 24,000 zinahusu matukio ya unyanyasaji na ukatili wa haki za watoto katika kipindi cha mwaka 2013 na Februari, mwaka jana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani