Watoto 50,000 wakumbwa na njaa Somalia
Zaidi ya watoto 50,000 wa Somalia wenye matatizo ya utapia mlo wamo katika hatari ya kufa, miaka mitatu tu baada ya kipindi kibaya cha ukame kukumba taifa hilo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili03 Feb
Milioni 20 wakumbwa na njaa Sahel
Umoja wa Mataifa unaomba zaidi ya dola bilioni 2 kuweza kuwapa watu milioni 20 chakula katika kanda ya Sahel barani Afrika.
11 years ago
BBCSwahili26 May
Umoja wa Mataifa waonya njaa Somalia
Umoja wa Mataifa umeonya kwamba huenda nchi ya Somalia ikatumbukia tena katika janga la njaa kama lililotokea mwaka wa 2011
5 years ago
BBCSwahili14 Feb
Uvamizi wa nzige: Umoja wa Mataifa watoa tahadhari ya njaa katika Ethiopia, Kenya, Uganda, Tanzania na Somalia
Kuharibiwa kwa tani za mazao na nzige kunaweza kusababisha mzozo wa chakula , wasema Umoja wa Mataifa.
10 years ago
Mwananchi28 Apr
Njaa shuleni, tunapeleka ujumbe gani kwa watoto?
Hoja yangu wiki iliyopita ni Serikali kutelekeza shule zake hadi inafikia hatua ya kukosa chakula na shule kufungwa ili watoto warudi nyumbani kukaa bila cha kufanya.
10 years ago
Mwananchi21 Apr
Njaa shuleni, tunapeleka ujumbe gani kwa watoto wetu?
WIKI kadha zilizopita tulishuhudia watoto wetu wakikatishwa masomo na kurudishwa nyumbani kwa sababu ya kukosa chakula shuleni. Pia baadhi ya shule na vyuo mlo wao ulibadilishwa; wakalizimika kula chakula mara chache ya utaratibu uliozoeleka au kula chakula chenye viwango duni.
10 years ago
BBCSwahili29 May
Watoto elfu 250 huenda wakafa kwa njaa Sudan
Takriban watoto laki mbili u nusu wamo katika hatari ya kufa katika kipindi cha miezi kadhaa ijayo iwapo mashirika ya utoaji misaada, hayatafikisha misaada kwa watu walio na mahitaji.
5 years ago
AnandTech26 Mar
Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19
Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19 AnandTechView Full coverage on Google News
5 years ago
BBCSwahili05 Apr
Watoto wenye miaka mitatu na minne wabakwa Somalia
Binamu wawili walivamiwa na wabakaji wakati wakirejea kutoka shule na sasa wanahitaji kufanyiwa upasuaji mkubwa.
11 years ago
Tanzania Daima02 Feb
Compassion yasomesha watoto 70,000
SHIRIKA la kimataifa la Compassion linalofanya kazi na madhehebu ya Kikristo nchini, limefadhili wanafunzi 70,000 wanaosoma shule na vyuo mbalimbali ndani na nje ya nchi. Akizungumzia ufadhili huo jana alipokutana...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania