Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakulima kuboresha zao la tumbaku

WAKULIMA wa zao la tumbaku nchini, wameahidi kuongeza juhudi za kulifanya liwe bora zaidi ikiwa ni pamoja na kulitunza, kulichambua na kuondoa uchafu kabla ya kuliuza, ili lifikie viwango vya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Wakulima wa Tumbaku wakabiliwa na changamoto ya bei

SAM_0435

Mkuu wa wilaya ya Manyoni,Bi Fatma Hassani Toufiq akifunga mkutano wa kwanza wa uzinduzi wa Halmashauri ya wilaya ya Itigi, uliofanyika hivi karibuni mjini hapa.

SAM_0369

Baadhi ya wananchi,madiwani na wakulima wa zao la tumbaku wa tarafa ya Itigi waliohudhuria mkutano wa uzinduzi wa Halmashauri ya wilaya ya Itigi, wilayani Manyoni.

SAM_0374

Baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Itigi, wilayani Manyoni akiwemo Diwani wa kata ya Rungwa, Bwana Charles Machapaa wakiwa mkutanoni.(Picha zote na Jumbe...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mvua yaathiri wakulima wa tumbaku Kahama

MVUA zinazoendelea  kunyesha  maeneo mbalimbali nchini zimesababisha  baadhi ya wakulima wa tumbaku kukosa sehemu ya kuchomea tumbaku baada ya mabani 100 kuanguka  katika Kata ya Ulowa, wilayani Kahama, Shinyanga. Akizungumza...

 

10 years ago

Mwananchi

Zao la tumbaku linavyoathiri watoto kiafya na kisaikolojia

Ukifika katika shamba la tumbaku Sikonge mkoani Tabora unaweza kushuhudia watoto wengi wakijumuika kufanya kazi mbalimbali kwa lengo la kupata ujira.

 

10 years ago

Mwananchi

Mavuno zao la tumbaku kuporomoka msimu huu

Mavuno ya zao la Tumbaku mkoani Tabora kwa msimu huu huenda yakashuka ikilinganishwa na msimu uliopita wa 2013/2014.

 

9 years ago

StarTV

Lowassa azitaka Kampuni za tumbaku kulipa wakulima

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA inayoungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA Edward Lowassa amezitaka kampuni za ununuzi wa tumbaku kuwalipa wakulima fedha wanazodai haraka iwezekanavyo ili waweze kuzitumia kuendesha maisha yao.

Amesema iwapo ataingia Ikulu wakati wakulima hao hawajalipwa fedha zao, kampuni hizo zitalazimika kuwalipa maradufu ili kuhakikisha kila mkulima na mtanzania ananufaika na alicho kigaramikia hivyo kuomba kupewa ridha ya...

 

9 years ago

Michuzi

Waziri wa kilimo atua mkoani Iringa, akutana na wakulima wa Tumbaku

  mwi5Waziri wa Kilimo Mifugo na Ushirika Mh. Mwigulu Nchemba  akipokelewa katika  ofisi ya Mkuu wa Iringa na kupokelewa na  Mkuu wa Mkoa Mh. Amina Masenza na Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mh. Richard Kasesela.mwi3Waziri wa kilimo Mh Mwigulu Nchemba leo amesikiliza malalamiko ya wakulima wa Tumbaku na kuwahakikishia zao la tumbaku halitakufa kwani linaleta pato kwa taifa. Waziri wa kilimo Mh Mwigulu Nchemba leo amesikiliza malalamiko ya wakulima wa Tumbaku na kuwahakikishia zao la tumbaku...

 

9 years ago

StarTV

Uendeshaji Kilimo Cha Tumbaku Wakulima walalamikia makato ya ushuru

Wakulima wa zao la tumbaku nchini, wamelalamikia serikali juu ya makato makubwa  ya ushuru wanaokwata katika zao hilo, lakini mwisho wa siku hakuna fedha zinazorudishwa katika kuwasaidia wakulima hao hatua inayowafanya kuendesha kilimo hicho kwa shida.

 

Wakulima hao wamesema bado  kuna matatizo mengi yanayowakabili na serikali haijaamua kuyafanyia kazi, ikiwemo suala la makampuni yanayonunua zao hilo, kuwakata kilo za tumbaku, ambazo huwa tofauti na wanazokubaliana kununua.

 

Zao la tumbaku...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AMALIZA ZIARA SIKONGE KWA KUHUZUNISHWA NA VILIO VYA DHULMA WANAZOFANYIWA WAKULIMA WA TUMBAKU

Kinana akisoma vijiji vitavyopata umeme wilayani Sikonge mwaka huu wa fedha.  Katibu Mkuu  wa CCM, Kinana akihutubia katika mkutano huo leo Mei 15, 2014, ambapo akijibu Malalamiko ya Wananchi wa Kata ya Kitunda, alielezea kusikishwa kwake na kitendo cha vyama vya ushirika kudaiwa kuwadhulumu bila huruma wakulima wa tumbaku wa Kata hiyo, huku akionyesha kushangazwa kwake na hatua ya  waziri mwenye dhamana na kilimo, Chakula na Ushirika kutotembelea wakulima kusikiliza kero zao na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani