Mvua yaathiri wakulima wa tumbaku Kahama
MVUA zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini zimesababisha baadhi ya wakulima wa tumbaku kukosa sehemu ya kuchomea tumbaku baada ya mabani 100 kuanguka katika Kata ya Ulowa, wilayani Kahama, Shinyanga. Akizungumza...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima12 Dec
Wakulima kuboresha zao la tumbaku
WAKULIMA wa zao la tumbaku nchini, wameahidi kuongeza juhudi za kulifanya liwe bora zaidi ikiwa ni pamoja na kulitunza, kulichambua na kuondoa uchafu kabla ya kuliuza, ili lifikie viwango vya...
9 years ago
Dewji Blog25 Dec
Wakulima wa Tumbaku wakabiliwa na changamoto ya bei
Mkuu wa wilaya ya Manyoni,Bi Fatma Hassani Toufiq akifunga mkutano wa kwanza wa uzinduzi wa Halmashauri ya wilaya ya Itigi, uliofanyika hivi karibuni mjini hapa.
Baadhi ya wananchi,madiwani na wakulima wa zao la tumbaku wa tarafa ya Itigi waliohudhuria mkutano wa uzinduzi wa Halmashauri ya wilaya ya Itigi, wilayani Manyoni.
Baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Itigi, wilayani Manyoni akiwemo Diwani wa kata ya Rungwa, Bwana Charles Machapaa wakiwa mkutanoni.(Picha zote na Jumbe...
9 years ago
StarTV07 Sep
Lowassa azitaka Kampuni za tumbaku kulipa wakulima
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA inayoungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA Edward Lowassa amezitaka kampuni za ununuzi wa tumbaku kuwalipa wakulima fedha wanazodai haraka iwezekanavyo ili waweze kuzitumia kuendesha maisha yao.
Amesema iwapo ataingia Ikulu wakati wakulima hao hawajalipwa fedha zao, kampuni hizo zitalazimika kuwalipa maradufu ili kuhakikisha kila mkulima na mtanzania ananufaika na alicho kigaramikia hivyo kuomba kupewa ridha ya...
9 years ago
StarTV19 Dec
Uendeshaji Kilimo Cha Tumbaku Wakulima walalamikia makato ya ushuru
Wakulima wa zao la tumbaku nchini, wamelalamikia serikali juu ya makato makubwa ya ushuru wanaokwata katika zao hilo, lakini mwisho wa siku hakuna fedha zinazorudishwa katika kuwasaidia wakulima hao hatua inayowafanya kuendesha kilimo hicho kwa shida.
Wakulima hao wamesema bado kuna matatizo mengi yanayowakabili na serikali haijaamua kuyafanyia kazi, ikiwemo suala la makampuni yanayonunua zao hilo, kuwakata kilo za tumbaku, ambazo huwa tofauti na wanazokubaliana kununua.
Zao la tumbaku...
9 years ago
Michuzi06 Jan
Waziri wa kilimo atua mkoani Iringa, akutana na wakulima wa Tumbaku
![mwi5](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2016/01/mwi5.jpg)
![mwi3](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2016/01/mwi3.jpg)
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://2.bp.blogspot.com/-q2-AZbz-53U/VPgpBYCNR-I/AAAAAAAAB3w/1LUdbC4j4HI/s72-c/barafu.jpg)
Mvua ya maafa KAHAMA
Nyumba zaharibiwa, JK atuma rambirambi Watu 40 wapoteza maisha, 85 wajeruhiwa
Hali ya hewa yasema zitanyesha zaidi
Na waandishi wetu, Dar na KahamaWAKATI Watanzania wakiomboleza kifo cha mwanasiasa mahiri, Kapteni mstaafu John Komba, taifa limeingia tena kwenye huzuni na simanzi kutokana na watu 40 kupoteza maisha. Pia, watu wengine 82 wamejeruhiwa vibaya na wengine hali zao ni mbaya huku nyumba, mifugo na mazao, vikiharibiwa kutokana na mvua ya mawe iliyoambatana na upepo mkali kutikisa...
10 years ago
Habarileo05 Mar
Mvua yaua watu 38 Kahama
MAAFA makubwa yameikumba Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga baada ya watu 38 kufa papo hapo na wengine 82 kujeruhiwa, kutokana na mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali, iliyonyesha katika Kijiji cha Mwakata Kata ya Isaka.
10 years ago
Mtanzania07 Mar
TMA: Mvua iliyoua Kahama si ya kawaida
Na Jonas Mushi, Dar es Salaam
MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imesema mvua ya mawe iliyonyesha Jumanne wiki hii wilayani Kahama na kusababisha vifo vya watu 46 na wengine 80 kujeruhiwa haikuwa ya kawaida katika ukanda huu wa kitropiki.
Mamlaka hiyo imetanabahisha kuwa iliona hali ya kuwepo kwa tonado (barafu) katika eneo la ukanda wa Ziwa Victoria nusu saa kabla ya mvua hiyo kunyesha.
Akitoa taarifa kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dk. Agnes Kijazi,...
11 years ago
Michuzi18 May