TMA: Mvua iliyoua Kahama si ya kawaida
Na Jonas Mushi, Dar es Salaam
MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imesema mvua ya mawe iliyonyesha Jumanne wiki hii wilayani Kahama na kusababisha vifo vya watu 46 na wengine 80 kujeruhiwa haikuwa ya kawaida katika ukanda huu wa kitropiki.
Mamlaka hiyo imetanabahisha kuwa iliona hali ya kuwepo kwa tonado (barafu) katika eneo la ukanda wa Ziwa Victoria nusu saa kabla ya mvua hiyo kunyesha.
Akitoa taarifa kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dk. Agnes Kijazi,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo31 Dec
TMA yatahadharisha wananchi kuhusu ongezeko la joto, Mvua kubwa isiyotabirika yaja, TMA yatahadharisha wananchi
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2574130/highRes/911159/-/maxw/600/-/pxc51bz/-/kimbunga_mvua.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima21 Jun
TMA: Mvua zitaendelea
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imewataka wakazi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa Victoria na Pwani ya Bahari ya Hindi kufahamu kwamba mvua zitaendelea kunyesha na upepo kiasi....
10 years ago
Mtanzania19 Jan
TMA: Mvua kubwa inakuja
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
MAMLAKA ya Utabiri wa Hali ya Hewa Tanznaia (TMA) ,imetoa tahadhari ya kuwapo kwa vipindi vya mvua kubwa inayozidi milimita 50 ndani ya saa 24 kati ya Januari 18 na 20 mwaka huu.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari mjini Dar es Salaam jana na mamlaka hiyo, ilisema maeneo yatakayoathirika na mvua hiyo ni pamoja na mikoa ya Ruvuma, Mtwara, Lindi, Morogoro, Pwani, Dar es Salaam na Kisiwa cha Unguja.
Taarifa hiyo ilisema hali hiyo inatokana na kuimarika kwa...
10 years ago
Habarileo31 Dec
TMA: Msimu wa mvua umeisha
MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imesema msimu wa mvua za mwisho wa mwaka unaisha leo, ingawaje bado inatarajiwa kuwa na mvua kuanzia mapema mwaka 2015.
9 years ago
Mwananchi03 Nov
TMA: Mvua za El-Nino zinakuja
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://2.bp.blogspot.com/-q2-AZbz-53U/VPgpBYCNR-I/AAAAAAAAB3w/1LUdbC4j4HI/s72-c/barafu.jpg)
Mvua ya maafa KAHAMA
Nyumba zaharibiwa, JK atuma rambirambi Watu 40 wapoteza maisha, 85 wajeruhiwa
Hali ya hewa yasema zitanyesha zaidi
Na waandishi wetu, Dar na KahamaWAKATI Watanzania wakiomboleza kifo cha mwanasiasa mahiri, Kapteni mstaafu John Komba, taifa limeingia tena kwenye huzuni na simanzi kutokana na watu 40 kupoteza maisha. Pia, watu wengine 82 wamejeruhiwa vibaya na wengine hali zao ni mbaya huku nyumba, mifugo na mazao, vikiharibiwa kutokana na mvua ya mawe iliyoambatana na upepo mkali kutikisa...
11 years ago
Tanzania Daima06 Mar
TMA yatahadharisha uwepo mvua mkubwa
MAMLAKA ya Hali ya Hewa (TMA) imetahadharisha kuwepo kwa mvua kubwa inayozidi mililita 50 ndani ya saa 24 kuanzia Machi 5 hadi Machi 7, mwaka huu. Tahadhari ya mvua hiyo...
11 years ago
Tanzania Daima28 Feb
TMA yatoa tahadhari msimu wa mvua
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari juu ya mwelekeo wa mifumo ya hali ya hewa iliyopo na athari zake kwa msimu ujao wa mvua za masika, ambao...
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Mamlaka TMA yahadharisha mvua kubwa