Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TMA: Mvua kubwa inakuja

Dr-Agnes-Kijazi_50baeNa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
MAMLAKA ya Utabiri wa Hali ya Hewa Tanznaia (TMA) ,imetoa tahadhari ya kuwapo kwa vipindi vya mvua kubwa inayozidi milimita 50 ndani ya saa 24 kati ya Januari 18 na 20 mwaka huu.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari mjini Dar es Salaam jana na mamlaka hiyo, ilisema maeneo yatakayoathirika na mvua hiyo ni pamoja na mikoa ya Ruvuma, Mtwara, Lindi, Morogoro, Pwani, Dar es Salaam na Kisiwa cha Unguja.
Taarifa hiyo ilisema hali hiyo inatokana na kuimarika kwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mamlaka TMA yahadharisha mvua kubwa

>Wakazi wa maeneo ya Mikoa ya Pwani, Morogoro na Ruvuma wameonywa na kutakiwa kuchukua tahadhari juu ya mvua kubwa yenye ujazo wa 50 mm inayotarajiwa kunyesha ndani ya saa 24 kuanzia jana.

 

10 years ago

Vijimambo

TMA yatahadharisha wananchi kuhusu ongezeko la joto, Mvua kubwa isiyotabirika yaja, TMA yatahadharisha wananchi

Dar es Salaam. Mvua kubwa isiyotabirika inatarajiwa kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hasa katika ukanda wa Pwani ya Kaskazini, maeneo ya Dar es Salaam, Tanga, Unguja na Pemba; pia katika ukanda wa Kaskazini Mashariki kwa mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara.Akitoa taarifa ya hali ya hewa jana kwa Januari na Februari mwaka ujao, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk Agness Kijazi alisema mvua ya msimu katika maeneo hayo inatarajiwa kwisha leo.Hata hivyo,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TMA: Mvua kubwa, upepo mkali waja

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kuwepo kwa mvua kubwa, upepo mkali na mawimbi makubwa katika Bahari ya Hindi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo...

 

5 years ago

Michuzi

TMA YATOA TAHADHARI YA KUNYESHA MVUA KUBWA KWA SIKU NNE MFULULIZO

Na Karama Kenyunko globu ya jamii.

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Nchini (TMA), imetoa tahadhari ya kunyesha kwa Mvua kubwa ndani ya siku nne kuanzia kesho Aprili 17, 2020.

Tahadhari hiyo imetolewa leo Alhamisi Aprili 16, 2020 jijini Dar es Salaam na Meneja wa Kituo  Kikuu cha Utabiri wa Mamlaka hiyo, Samwel Mbuya  ambae amesema amesema mvua hiyo ya siku nne inatarajia kunyesha kuanzia ya April 17 hadi 20 mwaka huu.

Aidha ametaja maeneo yanayotarajia kupata vipindi vya mvua kubwa ni pamoja na Mkoa wa...

 

10 years ago

Vijimambo

SNOW KUBWA INAKUJA PWANI YA MASHARIKI YA MAREKANI, ZAIDI YA NDEGE 2,000 ZASITISHA SAFARI ZAKE

Evelina Federyuk Evelina Federyuk (R) shovels snow out of her driveway as her 4 -year-old twin siblings Roman (L) and Lia play during a major snow storm January 12, 2011 in Greenfield, Massachusetts.  A winter storm is dumping over a foot of snow across New England closing most state and local facilities.Theluji ya futi 3 inayitarajiwa kuanguka leo pwani ya mashariki na kuingia katika historia ya tufani za theluji zilizowahi anguka hapo nyuma. Mamlaka ya hali ya hewa walitoa onyo kwa wananchi wanaoishi maeneo ya New Jersey kuelekea Jimbo la Indiana watarajie tufani kubwa ya theluji.

Miji itakayoathirika ni New York City, Boston, Providence, Hartford na Portland kikubwa kilichoelezewa hapa ni upepo mkali utakaoambatana na tufani hii ya theluji watu zaidi ya milioni 28 wataathirika na tufani...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TMA: Mvua zitaendelea

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imewataka wakazi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa Victoria na Pwani ya Bahari ya Hindi kufahamu kwamba mvua zitaendelea kunyesha na upepo kiasi....

 

10 years ago

Habarileo

TMA: Msimu wa mvua umeisha

Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dk Agnes Kijazi MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imesema msimu wa mvua za mwisho wa mwaka unaisha leo, ingawaje bado inatarajiwa kuwa na mvua kuanzia mapema mwaka 2015.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani