Mamlaka TMA yahadharisha mvua kubwa
>Wakazi wa maeneo ya Mikoa ya Pwani, Morogoro na Ruvuma wameonywa na kutakiwa kuchukua tahadhari juu ya mvua kubwa yenye ujazo wa 50 mm inayotarajiwa kunyesha ndani ya saa 24 kuanzia jana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania19 Jan
TMA: Mvua kubwa inakuja
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
MAMLAKA ya Utabiri wa Hali ya Hewa Tanznaia (TMA) ,imetoa tahadhari ya kuwapo kwa vipindi vya mvua kubwa inayozidi milimita 50 ndani ya saa 24 kati ya Januari 18 na 20 mwaka huu.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari mjini Dar es Salaam jana na mamlaka hiyo, ilisema maeneo yatakayoathirika na mvua hiyo ni pamoja na mikoa ya Ruvuma, Mtwara, Lindi, Morogoro, Pwani, Dar es Salaam na Kisiwa cha Unguja.
Taarifa hiyo ilisema hali hiyo inatokana na kuimarika kwa...
10 years ago
Vijimambo31 Dec
TMA yatahadharisha wananchi kuhusu ongezeko la joto, Mvua kubwa isiyotabirika yaja, TMA yatahadharisha wananchi
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2574130/highRes/911159/-/maxw/600/-/pxc51bz/-/kimbunga_mvua.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima12 Apr
TMA: Mvua kubwa, upepo mkali waja
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kuwepo kwa mvua kubwa, upepo mkali na mawimbi makubwa katika Bahari ya Hindi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-uU5B2aivacU/Xph-3OhbB_I/AAAAAAALnMg/OeGc1lpEbVQu3mOS3hX_5HcPOqHl_OzhACLcBGAsYHQ/s72-c/index.jpg)
TMA YATOA TAHADHARI YA KUNYESHA MVUA KUBWA KWA SIKU NNE MFULULIZO
![](https://1.bp.blogspot.com/-uU5B2aivacU/Xph-3OhbB_I/AAAAAAALnMg/OeGc1lpEbVQu3mOS3hX_5HcPOqHl_OzhACLcBGAsYHQ/s320/index.jpg)
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Nchini (TMA), imetoa tahadhari ya kunyesha kwa Mvua kubwa ndani ya siku nne kuanzia kesho Aprili 17, 2020.
Tahadhari hiyo imetolewa leo Alhamisi Aprili 16, 2020 jijini Dar es Salaam na Meneja wa Kituo Kikuu cha Utabiri wa Mamlaka hiyo, Samwel Mbuya ambae amesema amesema mvua hiyo ya siku nne inatarajia kunyesha kuanzia ya April 17 hadi 20 mwaka huu.
Aidha ametaja maeneo yanayotarajia kupata vipindi vya mvua kubwa ni pamoja na Mkoa wa...
10 years ago
Habarileo01 Sep
TMA yahadharisha ujio wa upepo mkali
MAMLAKA ya Hali ya Hewa (TMA) imesema kutakuwa na upepo mkali unaoambatana na mawimbi makubwa katika maeneo yote ya ukanda wa Pwani kwa siku mbili kuanzia kesho.
10 years ago
Dewji Blog20 Mar
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-X9uFhmcosWo/UwzIrQwpkjI/AAAAAAAFPg0/Gbj5sZTYs-c/s72-c/unnamed+(38).jpg)
MAMLAKA YA HALI YA HEWA (TMA) YAKUTANA NA WADAU WA SEKTA MBALI MBALI KUJADILI UTABIRI WA MVUA ZA MSIMU KWA MWEZI MACHI MPAKA MEI (MASIKA)
![](http://2.bp.blogspot.com/-X9uFhmcosWo/UwzIrQwpkjI/AAAAAAAFPg0/Gbj5sZTYs-c/s1600/unnamed+(38).jpg)
Kila mwaka mwezi Februari kabla ya kutoa utabiri wa msimu Mamlaka hukutana na wadau wa sekta mbali mbali nchini ili kujadili utabiri wa msimu huo wa mvua za MASIKA kwa kipindi cha miezi ya Machi hadi Mei na kuwapa wadau nafasi ya...
11 years ago
Tanzania Daima21 Jun
TMA: Mvua zitaendelea
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imewataka wakazi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa Victoria na Pwani ya Bahari ya Hindi kufahamu kwamba mvua zitaendelea kunyesha na upepo kiasi....