Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TMA yahadharisha ujio wa upepo mkali

MAMLAKA ya Hali ya Hewa (TMA) imesema kutakuwa na upepo mkali unaoambatana na mawimbi makubwa katika maeneo yote ya ukanda wa Pwani kwa siku mbili kuanzia kesho.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

TMA: Mvua kubwa, upepo mkali waja

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kuwepo kwa mvua kubwa, upepo mkali na mawimbi makubwa katika Bahari ya Hindi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TMA yatahadharisha kuwapo mvua, upepo mkali

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kuwapo kwa upepo mkali, mawimbi makubwa na mvua kubwa kati ya leo hadi Januari 16, mwaka huu. Kutokana na hali...

 

11 years ago

Mwananchi

Mamlaka TMA yahadharisha mvua kubwa

>Wakazi wa maeneo ya Mikoa ya Pwani, Morogoro na Ruvuma wameonywa na kutakiwa kuchukua tahadhari juu ya mvua kubwa yenye ujazo wa 50 mm inayotarajiwa kunyesha ndani ya saa 24 kuanzia jana.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TMA yatahadharisha upepo, mawimbi

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kuwepo kwa upepo mkali na mawimbi makubwa baharini kuanzia Septemba 1 hadi 2 mwaka huu. Tahadhari hiyo ilitolewa jana kupitia...

 

11 years ago

GPL

UPEPO MKALI ENEO LA POSTA DAR

KAMERA ya GPL imeshuhudia   uzio wa mabati uliozungushiwa katika kiwanja kimoja kilichopo Posta barabara ya Samora ukianguka baada ya upepo mkali kuvuma. Uzio huo haukuleta madhara yoyote kwa wapita njia na wale waliokuwa jirani na eneo hilo. Na Gabriel…

 

11 years ago

Mwananchi

Hali ya Hewa: Upepo mkali waja Pwani

 Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imetoa tahadhari ya kutokea kwa upepo mkali katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi Mtwara na Visiwa vya Unguja na Pemba na imewataka wananchi kuwa waangalifu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani