Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UPEPO MKALI ENEO LA POSTA DAR

KAMERA ya GPL imeshuhudia   uzio wa mabati uliozungushiwa katika kiwanja kimoja kilichopo Posta barabara ya Samora ukianguka baada ya upepo mkali kuvuma. Uzio huo haukuleta madhara yoyote kwa wapita njia na wale waliokuwa jirani na eneo hilo. Na Gabriel…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA MAKETE AONGOZA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA KUKAGUA ENEO LILILOKUMBWA NA MADHARA YA UPEPO MKALI

Mkuu wa wilaya ya Makete Josephine Matiro ametoa agizo kwa uongozi wa kata ya Matamba kufanya mikutano ya kuwaelewesha wananchi umuhimu wa kujenga nyumba zao katika hali ya uimara pamoja na kupanda miti ya matunda pembezoni mwa nyumba zao
Ametoa agizo hilo hivi karibuni wakati alipotembelea eneo lililopata maafa ya kuezuliwa nyumba na upepo mkali ulioambatana na mvua na kugundua kuwa ujenzi hafifu wa nyumba zao nao umechangia kwa kiasi kikubwa hasara hiyo
"Wananchi wanajenga nyumba...

 

11 years ago

Michuzi

AJALI ILIYOTOKEA ENEO LA MOROCO-POSTA LEO JIJINI DAR

Majeruhi akipewa huduma ya kwanza na mmoja wa akina mama aliyekuwa akifanya usafi kando kando ya barabara mapema leo asubuhi,katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha. 
Baadhi ya Watu wakitazama ajali ya magari mawili kama yaonekanavyo pichani,iliyotokea mapema leo asubuhi eneo la Moroco-Posta jijini Dar,katika ajali hiyo ambayo chanzo chake hakikufahamika mara moja,mtu mmoja alijeruhiwa na kukimbizwa hospitali kwa huduma ya kwanza,hakuna aliyepoteza maisha. Mama ambaye jina lake...

 

10 years ago

Habarileo

TMA yahadharisha ujio wa upepo mkali

MAMLAKA ya Hali ya Hewa (TMA) imesema kutakuwa na upepo mkali unaoambatana na mawimbi makubwa katika maeneo yote ya ukanda wa Pwani kwa siku mbili kuanzia kesho.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TMA: Mvua kubwa, upepo mkali waja

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kuwepo kwa mvua kubwa, upepo mkali na mawimbi makubwa katika Bahari ya Hindi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo...

 

11 years ago

Mwananchi

Hali ya Hewa: Upepo mkali waja Pwani

 Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imetoa tahadhari ya kutokea kwa upepo mkali katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi Mtwara na Visiwa vya Unguja na Pemba na imewataka wananchi kuwa waangalifu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TMA yatahadharisha kuwapo mvua, upepo mkali

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kuwapo kwa upepo mkali, mawimbi makubwa na mvua kubwa kati ya leo hadi Januari 16, mwaka huu. Kutokana na hali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani