Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TMA yatahadharisha upepo, mawimbi

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kuwepo kwa upepo mkali na mawimbi makubwa baharini kuanzia Septemba 1 hadi 2 mwaka huu. Tahadhari hiyo ilitolewa jana kupitia...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

TMA yatahadharisha kuwapo mvua, upepo mkali

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kuwapo kwa upepo mkali, mawimbi makubwa na mvua kubwa kati ya leo hadi Januari 16, mwaka huu. Kutokana na hali...

 

10 years ago

Vijimambo

TMA yatahadharisha wananchi kuhusu ongezeko la joto, Mvua kubwa isiyotabirika yaja, TMA yatahadharisha wananchi

Dar es Salaam. Mvua kubwa isiyotabirika inatarajiwa kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hasa katika ukanda wa Pwani ya Kaskazini, maeneo ya Dar es Salaam, Tanga, Unguja na Pemba; pia katika ukanda wa Kaskazini Mashariki kwa mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara.Akitoa taarifa ya hali ya hewa jana kwa Januari na Februari mwaka ujao, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk Agness Kijazi alisema mvua ya msimu katika maeneo hayo inatarajiwa kwisha leo.Hata hivyo,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TMA yatahadharisha uwepo mvua mkubwa

MAMLAKA ya Hali ya Hewa (TMA) imetahadharisha kuwepo kwa mvua kubwa inayozidi mililita 50 ndani ya saa 24 kuanzia Machi 5 hadi Machi 7, mwaka huu. Tahadhari ya mvua hiyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TMA yatahadharisha wakazi ukanda wa Pwani

MAMLAKA ya Hali ya Hewa (TMA), imewatahadharisha wakazi wa ukanda wa Pwani kuwa makini kutokana na upepo mkali pamoja na mawimbi makubwa unaotarajiwa kuvuma katika maeneo yao. Mikoa inayoweza kuathiriwa...

 

10 years ago

Mwananchi

TMA yatahadharisha wananchi kuhusu ongezeko la joto

Mvua kubwa isiyotabirika inatarajiwa kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hasa katika ukanda wa Pwani ya Kaskazini, maeneo ya Dar es Salaam, Tanga, Unguja na Pemba; pia katika ukanda wa Kaskazini Mashariki kwa mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani