Pinda, vyama visivyo na wabunge wateta
Waziri Mkuu Mizengo Pinda jana alikutana na wanachama wa vyama vya upinzani visivyo na wabunge kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano na kuwataka kuwa kitu kimoja katika vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vinavyoendelea Mjini Dodoma.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziVYAMA VITANO VYA SIASA VISIVYO NA WABUNGE VYAOMBA SAKATA LA IPTL LIMALIZWE
MAKATIBU wakuu wa vyama vitano vya kisiasa visivyo na wabunge bungeni wameomba suala la utata wa ufisadi zaidi ya sh.bilioni 300 zilizowekwa katika akaunti ya Tegeta Escrow zilizokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) limalizwe ili kuendelea kwa mambo mengine ya kitaifa.
Katika hatua nyingine makatibu hao wamepinga hatua ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (Takukuru) kukabidhi ripoti ya uchunguzi kwa Waziri Mkuu na kudai ipelekwe kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-j7G7mpYydxk/XuSKTqIVkkI/AAAAAAALtqw/AI0mBa1BwjkLD7vTo_qEKkR7eLz2fQpIgCLcBGAsYHQ/s72-c/J.jpg)
VYAMA VYA SIASA 12 VISIVYO NA WAWAKILISHI BUNGENI VYATANGAZA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25,KUSIMAMISHA WAGOMBEA KILA JIMBO
Baadhi ya vyama hivyo ni DP,NRA, AAFP, UMD, UDDP, Makini, TLP,UDP, SAU, NLD, ADC, na CCK ambapo pamoja na mambo mengine vitafanya kampeni katika uchaguzi huo.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mratibu wa umoja huo, Rashid Rai amesema wanatangaza kushirikiana katika uchaguzi mkuu kwenye ngazi...
10 years ago
Dewji Blog18 Sep
Wabunge EALA wajadili muswada wa vyama vya ushirika
Na Mwandishi wetu
WABUNGE wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) walio katika kamati ya ya kilimo, Utalii na Maliasili wamekutana kujadili muswada wa sheria ya ushirika wa pamoja.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Isabelle Ndahayo, alisema kuwa wamekutana kuupitia muswada wa sheria kuhusiana na vyama vya ushirika ili sheria watakazozipitisha zisaidie vyama hivyo.
Ndahayo alisema kuwa kukutana kwao kutasaidia nchi zilizokatika jumuiya hiyo kwani sheria hiyo...
10 years ago
Mwananchi23 Nov
Vyama vya siasa kumvaa Pinda
9 years ago
Habarileo21 Oct
Pinda avitaka vyama kukubali matokeo
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema demokrasia ya kweli ni kukubali ukweli, hivyo wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumapili, wanapaswa kujiandaa kisaikolojia kukubali matokeo pindi watakaposhindwa.
10 years ago
Vijimambo06 Nov
VYAMA SITA VISIVYOKUWA NA WABUNGE VYAAMUA KUSHIRIKIANA KATIKA CHAGUZI ZIJAZO
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/11/113.jpg)
“Dovutwa amesema vyama hivyo vimeamua kushirikiana kwa sababu vipo vyama vilivyounda kundi lisilokuwa la kisheria linaitwa Ukawa, lakini hakuna sheria inayoturuhusu...
9 years ago
Mwananchi21 Oct
Pinda: Vyama vijiandae kisaikolojia kwa matokeo
10 years ago
MichuziNEC NA VIONGOZI WA VYAMA VYASIASA ,WAJADILI MAADILI YA UCHAGUZI WA RAIS,WABUNGE NA MADIWANI
10 years ago
Habarileo28 Nov
Wabunge wamkingia kifua Pinda
WABUNGE wamemkingia kifua Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuhusu ushiriki wake katika sakata la Tegeta Escrow, huku wakitaka kodi ambayo haikulipwa kwa Serikali katika fedha hizo zilipwe.