Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge wamkingia kifua Pinda

WABUNGE wamemkingia kifua Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuhusu ushiriki wake katika sakata la Tegeta Escrow, huku wakitaka kodi ambayo haikulipwa kwa Serikali katika fedha hizo zilipwe.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Vijana CCM Iringa wamkingia kifua mwenyekiti

Vijana wa CCM wanaomuunga mkono mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu anayetuhumiwa kukihujumu kwenye Uchaguzi Mkuu, wamemhakikishia ulinzi na kutowatambua wenzao wanaompinga.     

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda awakingia kifua wanavyuo wasiolipa ada

>Serikali imeviagiza vyuo vya elimu ya juu nchini kutowazuia wanafunzi wake kufanya mitihani hata kama hawajalipia ada, badala yake washikilie vyeti vyao hadi pale watakapolipa fedha wanazodaiwa.

 

11 years ago

Habarileo

Pinda- Watajeni wanaobeza wabunge

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amemtaka Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kusini Deosderius Mipata (CCM) kuwataja viongozi wa Serikali wanaobeza wabunge katika suala zima la utekelezaji wa maendeleo katika maeneo yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge wazidi kumwandama Pinda

Mzimu wa kung’olewa unazidi kumwandama Waziri Mkuu, Mizengo Pinda huku Mbunge wa Muhambwe, Felix Mkosamali (NCCR), akitaka Bunge lipige kura ya kutokuwa na imani naye.

 

11 years ago

Mwananchi

Pinda, vyama visivyo na wabunge wateta

Waziri Mkuu Mizengo Pinda jana alikutana na wanachama wa vyama vya upinzani visivyo na wabunge kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano na kuwataka kuwa kitu kimoja katika vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vinavyoendelea Mjini Dodoma.

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge wa CCM wamgomea Waziri Mkuu Pinda

>Wabunge wa CCM jana mchana walimgomea Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge (Party Cocas) ya chama hicho, Mizengo Pinda na kushinikiza mawaziri watatu ambao wizara zao zimetajwa kushindwa kusimamia vyema Operesheni Tokomeza Ujangili wajiuzulu.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mizengo Pinda aimiza Wabunge kushiriki mazoezi na michezo kulinda afya zao

553

Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiwapongeza wachezaji wa timu za Bunge la Jamuhuri kwenye tafrija ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2015 katika majengo ya Bunge hilo Mjini Dodoma.

Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mizengo Peter Pinda aliwapongeza wanamichezo wa Timu za Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuliletea sifa kubwa Bunge hilo kwenye mashindano ya michezo mbali mbali ya Kitaifa na Kimataifa.

Mh. Pinda alitoa pongezi hizo katika Tafrija maalum ya...

 

11 years ago

GPL

YANGA (WABUNGE) WALIVYOISAMBARATISHA SIMBA (WABUNGE) KATIKA TAMASHA LA MATUMAINI 2014

Mbunge wa Jimbo la Chalinze ambaye ni shabiki wa Yanga, Ridhiwan Kikwete akivua jezi yake kwa ajili ya mashabiki mara baada ya ushindi wa timu yake wa mabao 3-2 dhidi ya Simba leo. Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akishangilia na shabiki wake baada ya ushindi wa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani