Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mizengo Pinda aimiza Wabunge kushiriki mazoezi na michezo kulinda afya zao

553

Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiwapongeza wachezaji wa timu za Bunge la Jamuhuri kwenye tafrija ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2015 katika majengo ya Bunge hilo Mjini Dodoma.

Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mizengo Peter Pinda aliwapongeza wanamichezo wa Timu za Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuliletea sifa kubwa Bunge hilo kwenye mashindano ya michezo mbali mbali ya Kitaifa na Kimataifa.

Mh. Pinda alitoa pongezi hizo katika Tafrija maalum ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YATOA ELIMU KWA WACHIMBAJI WA DHAHABU JUU YA MADHARA YA MATUMIZI YA ZEBAKI ILI KULINDA AFYA ZAO

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Sima akiangalia hatua za uchakataji wa dhahabu kwa wachimbaji wadogo kijiji cha Sambaru wilayani Ikungi mkoani Singida ambapo aliwapa elimu kuhusu namna ya kujikinga na wanapotumia kemikali ya zebakia ambayo ina madhara kwa afya na mazingira. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Sima akizungumza na wachimbaji wadogo katika mgodi mdogo ulipo kijiji cha Sambaru wilayani Manyoni mkoani...

 

10 years ago

Michuzi

Wabunge washiriki zoezi la kupima afya zao mjini Dodoma

Waziri wa Afya Mhe.Dkt Seif Rashidi aongoza zoezi la kupima afya za Wabunge katika Ukumbi wa Msekwa jana.Upimaji wa afya za Wabunge umefanywa na Madaktari wa Aga Khan kutoka Morogoro,Dar. na Dodoma.Waziri wa Afya Mhe.Dkt Seif Rashidi (kulia) akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya Agha Khan,Sisawo Konteh wakati wa zoezi la upimaji wa Afya kwa Waheshimiwa Wabunge,Mjini Dodoma jana.Katikani ni Mmoja wa Maafisa waandamizi wa Hospitali ya Agha Khan.Mbunge wa Jimbo la Mbeya...

 

10 years ago

Michuzi

Vijana wahamasishwa kutembelea vituo vya afya kujua afya zao

Msanii wa Muziki wa Taarabu na mpiga Gitaa maarufu nchini Bw. Thabit Abdul akizungumza na vijana wa jijini la Dar es Salaam wakati wa hafla ya Jamvi la Vijana ambalo uendeshwa maramoja kila mwezi na Kituo cha Vijana UMATI kilichopo wilayani Temeke alipokuwa mgeni rasmi katika jamvi hilo jana jijini Dar es Salaam. Jamvi hilo lilikuwa na ujumbe mahususi kwa vijana uliolenga kuwa hamasisha kufika katika vituo vya afya kwa ajili ya kuchunguza afya zao na kupata matibabu. Mratibu wa Kituo cha...

 

11 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA NBC WAPIMA AFYA ZAO KUADHIMISHA WIKI YA AFYA

Meneja Uwekezaji katika Jamii na Udhamini wa Benki ya NBC, Rukia Mtingwa akifanyiwa uchunguzi wa afya ya kinywa na Dk. Asnath Katoto wa Metropolitan Health Insurance, wakati wa maadhimisho ya wiki ya Afya ya benki hiyo ambayo wafanyakazi wa benki hiyo walipimwa vipimo mbalimbali ili kujua hali za afya zao na kupata ushauri. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya NBC, Leah Yusuf Mndolwa (kushoto) akitolewa damu ili kupimwa afya...

 

11 years ago

Mwananchi

Watoto wahamasishwe kushiriki michezo

Mwishoni mwa mwaka jana, uongozi uliopita wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ulifanya semina ya mafunzo ya kuhamasisha watoto kucheza mpira wa miguu au kushiriki katika michezo (grassroot) na baadaye tamasha kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Habarileo

2015Taswa kushiriki michezo ya ArushaAli

TIMU ya soka ya Waandishi wa Habari za Michezo nchini, Taswa SC imethibitisha kushiriki katika bonanza la michezo la waandishi wa habari lililopangwa kufanyika kwenye viwanja vya General Tyre kuanzia Agosti 29 jijini Arusha.

 

9 years ago

Michuzi

WATANZANIA WATAKIWA KULINDA SHAHADA ZAO ZA KUPIGIA KURA

 Harakati za kusaka nafasi ya juu  ya uongozi katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo zimepiga kambi mkoani Singida kwa mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt John Pombe Magufuli pichani kuwahutubia maelfu ya wananchi waliokusanyika katika uwanja wa Peoples mjini humo kwenye mkutano wa kampeni.
Dkt Magufuli ameishauri tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kutimiza wajibu wake wa kutenda haki kwa wagombea wote wa ngazi za Uraisi,pia amewataka Wananchi wakatae kulaghaiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani