Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoto wahamasishwe kushiriki michezo

Mwishoni mwa mwaka jana, uongozi uliopita wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ulifanya semina ya mafunzo ya kuhamasisha watoto kucheza mpira wa miguu au kushiriki katika michezo (grassroot) na baadaye tamasha kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

2015Taswa kushiriki michezo ya ArushaAli

TIMU ya soka ya Waandishi wa Habari za Michezo nchini, Taswa SC imethibitisha kushiriki katika bonanza la michezo la waandishi wa habari lililopangwa kufanyika kwenye viwanja vya General Tyre kuanzia Agosti 29 jijini Arusha.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mizengo Pinda aimiza Wabunge kushiriki mazoezi na michezo kulinda afya zao

553

Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiwapongeza wachezaji wa timu za Bunge la Jamuhuri kwenye tafrija ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2015 katika majengo ya Bunge hilo Mjini Dodoma.

Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mizengo Peter Pinda aliwapongeza wanamichezo wa Timu za Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuliletea sifa kubwa Bunge hilo kwenye mashindano ya michezo mbali mbali ya Kitaifa na Kimataifa.

Mh. Pinda alitoa pongezi hizo katika Tafrija maalum ya...

 

10 years ago

Habarileo

RC aitaka jamii kushiriki vita ajira kwa watoto

MKUU wa Mkoa Kigoma, Issa MachibyaMKUU wa Mkoa Kigoma, Issa Machibya amesema kuwa tatizo la utumikishwaji wa watoto nchini halitakwisha kama jamii haitakuwa tayari kushiriki kikamilifu katika kupiga vita ajira za watoto.

 

10 years ago

Michuzi

MICHEZO YA WATOTO

 Watoto ambao majina yao hayakufahamika mara moja wakiwa katika michezo yao ya kawaida katika sehemu ya juu kabisa na ya hatari ya kingo za Mto Mbezi eneo la Kunguru- Makongo juu jijini Dar es Salaam.Picha na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.

 

10 years ago

Mwananchi

Michezo kwa watoto ni nyenzo ya ujenzi wa jamii bora- 1

Wataalamu wanasema michezo ya watoto ni yale matendo yote yanayofanywa na watoto, kwa lengo la kujifurahisha na kupata utoshelevu wa mazoezi ya kimwili na kiakili.

 

10 years ago

Michuzi

WANABIAFRA WASHIRIKI KATIKA UZINDUZI WA MRADI WA KUHAMASISHA MICHEZO KWA VIJANA NA WATOTO

Baraza la Michezo la Taifa (BMT) chini ya udhamini wa taasisi ya UK Sports - Internationa Inspiration iliandaa mafunzo uhamasishaji wa michezo kwa vijana na watoto. Mafunzo hayo yaliyofanyika katika uwanja wa taifa yaliwakutanisha pamoja makatibu tawala pamoja na maafisa michezo toka katika wilaya zote nchini. Mafunzo hayo pia yalifanyika ikiwa ni sehemu ya Mkutano Mkuu wa Mwaka wa wa baraza la Michezo Tanzania uliofanyika katika uwanja wa Taifa wa Dar es Salaam.Katibu Mkuu wa Wizara ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Matokeo michezo ya Jumamosi Novemba 21 na ratiba ya michezo ya leo Jumapili!

WW

Wachezaji wa Liver Pool wakishangilia baada ya ushindi wao wa mchezo wa jana waliochinda bao 4-1, dhidi ya Manchester City.

WINGEREZA – PRIMEAR LEAGUE

Watford 1 – 2 Manchester United

Chelsea 1 – 0 Norwich City

Everton 4 – 0 Aston Villa

Southampton 0 – 1 Stoke City

West Bromwich Albion 2 – 1 Arsenal

Newcastle 0 – 3 Leicester City

Swansea 2 – 2 Afc Bournemouth

Manchester City 1 – 4 Liverpool

HISPANIA – LIGA BBVA

Real Sociedad 2 – 0 Sevilla

Real Madrid 0 – 4 Barcelona

Espanyol 2 – 0...

 

11 years ago

Michuzi

SERIKALI YASHAURI WADAU WA MICHEZO KUJITOKEZA KUSAIDIA MICHEZO NCHINI

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kupokea msaada wa hundi ya milioni kumi kutoka Zantel kwa ajili ya Chama cha Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT) leo jijini Dar es Salaaam, kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu Zantel Bw. Pratap Ghose. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara (kulia), Afisa Mtendaji Mkuu Zantel Bw. Pratap Ghose (kushoto) pamoja na ...

 

10 years ago

Michuzi

BODI YA MICHEZO YA BAHATI NASIBU YAKABIDHI LESENI KWA KAMPUNI YA MURHANDZIWA KUENDESHA MICHEZO HIYO

 Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Michezo ya bahati nasibu , Bw Abbass Talimba akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhi leseni ya kuendesha bahati nasibu ya Taifa kwa Kampuni ya Murhandziwa.Bodi ya Michezo ya bahati nasibu ya Taifa leo imetoa leseni ya kuendesha Bahati nasibu ya Taifa kwa Kampuni ya Murhandziwa ambayo itakuwa ikiendesha bahati nasibu hiyo hapa nchini ambapo Bahati nasibu hiyo itaanza mnamo tarehe 4 Julai 2015.Bei ya tiketi zitakazouzwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani