Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RC aitaka jamii kushiriki vita ajira kwa watoto

MKUU wa Mkoa Kigoma, Issa MachibyaMKUU wa Mkoa Kigoma, Issa Machibya amesema kuwa tatizo la utumikishwaji wa watoto nchini halitakwisha kama jamii haitakuwa tayari kushiriki kikamilifu katika kupiga vita ajira za watoto.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Vita dhidi ya ajira kwa watoto Tanzania

Licha ya serikali ya Tanzania kupiga marufuku watoto kufanyishwa kazi, tatizo hilo bado linadhihirika zaidi katika migodi

 

11 years ago

Dewji Blog

Mama Kikwete aitaka Jamii kujenga tabia ya kuchangia damu kwa hiari

unnamed (10)

  Mgeni Rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya wachangiaji damu salama kitaifa Mama Salma Kikwete akiwahutubia mamia ya wananchi wa Mkoa wa Kigoma kwenye uwanja wa Lake Tanganyika.

Na Anna Nkinda – Maelezo, Kigoma

Jamii imetakiwa kujenga tabia ya kuchangia damu kwa hiari kitendo ambacho kitapunguza  vifo vya kina mama wajawazito 363 vinavyotokea kila mwaka kutokana na tatizo la ukosefu wa damu wakati wa kujifungua.

Mwito huo umetolewa jana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea na...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu aitaka NHIF kuongeza bidii katika kutoa elimu ya Afya kwa Jamii

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipatiwa maelezo ya huduma zinazotolewa katika banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) na Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Mfuko huo, Rehani Athumani, wakati alipotembelea Banda lao kwenye Maonyesho ya Nane nane, mkoani Lindi. Waziri Mkuu akitoa maagizo kwa uongozi wa Mfuko wa kuongeza elimu hususan katika magonjwa ya unyanyapaa ndani ya jamii. Mwanachama wa Mfuko akipata maelezo ya huduma zinazotolewa bandani hapo.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI 

 

9 years ago

Michuzi

RC MAHIZA AITAKA NHIF KUTOA ELIMU ZAIDI KWA WANANCHI JUU YA UMUHIMU WA KUJIUNGA NA MFUKO WA AFYA YA JAMII (CHF)

NA MWANDISHI WETU,TANGA.
MKUU WA Mkoa wa Tanga,Mwantumu Mahiza ameutaka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) mkoani hapa kuendelea kutoa elimu juu ya umuhimu wa wananchi kujiunga na mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) ili kuweza kuongeza wigo mpana wa wanachama ambao wataweza kunufaika na huduma zao.
Alitoa wito huo jana wakati akipokea mashuka 150 yaliyotolewa na mfuko huo vyenye thamani ya shilingi milioni tatu yaliyotolewa na Mfuko huo kwa ajili ya vituo vitatu vya afya vya Mkinga, Maramba na...

 

10 years ago

Habarileo

Vita Sudan Kusini yazuia ajira kwa walimu nchini

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa.SERIKALI imesema haiwezi kupeleka walimu nchini Sudan Kusini licha ya kuwa na soko kubwa la walimu kutokana na hali tete ya usalama nchini humo.

 

9 years ago

Habarileo

Pinda aitaka jamii kuenzi utamaduni

KITUO cha Utamaduni wa China kimefunguliwa nchini huku Watanzania wakitakiwa kudumisha utamaduni wao ili uwe na manufaa kwa vizazi vijavyo. Akizindua kituo hicho jana Dar es Salaam, Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda (pichani) alisema utamaduni ni kitu muhimu sana kwa Watanzania hivyo ni vyema kuudumisha na kuendeleza ili Taifa liwe na nembo muhimu kwa upande wa utamaduni.

 

11 years ago

BBCSwahili

Tatizo la ajira kwa watoto migodini TZ

Tatizo la ajira za watoto migodini. Je serikali inaweza vipi kuhakikisha ajira hizi zinakomeshwa.

 

5 years ago

Michuzi

Tamko la THBUB_Maadhimisho ya kupinga ajira kwa watoto

Tarehe 12 Juni ya kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Kupinga Ajira kwa Mtoto Duniani – World Day against Child Labour. Siku hii ilianzishwa na Shirika la Kazi Duniani (ILO) mwaka 2002 kwa madhumuni ya kutoa elimu na kufanya uchechemuzi ili kuzuia utumikishwaji kwa watoto.

Shirika la Kazi Duniani kupitia Mkataba wa Kimataifa Na. 138, uliweka umri wa ajira kuwa ni miaka 15 na kuendelea, na Mkataba Na. 182 uliorodhesha ajira zisizokubalika kwa watoto na ambazo zinatakiwa kuzuiwa.

Tume ya Haki...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani