Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tamko la THBUB_Maadhimisho ya kupinga ajira kwa watoto

Tarehe 12 Juni ya kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Kupinga Ajira kwa Mtoto Duniani – World Day against Child Labour. Siku hii ilianzishwa na Shirika la Kazi Duniani (ILO) mwaka 2002 kwa madhumuni ya kutoa elimu na kufanya uchechemuzi ili kuzuia utumikishwaji kwa watoto.

Shirika la Kazi Duniani kupitia Mkataba wa Kimataifa Na. 138, uliweka umri wa ajira kuwa ni miaka 15 na kuendelea, na Mkataba Na. 182 uliorodhesha ajira zisizokubalika kwa watoto na ambazo zinatakiwa kuzuiwa.

Tume ya Haki...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee aungana na UNICEF kupinga ukatili kwa watoto

Vanessa Mdee ameungana na shirika la kutetea haki za watoto duniani, UNICEF kupinga ukatili dhidi ya watoto. “Tanzanian artist @VanessaMdee is joining #UNICEFTanzania to #ENDviolence against Children #WalindeWatoto,” wameandika UNICEF. “Day well spent with #UNICEFTanzania #EndViolenceCampaign #WalindeWatoto,” ameandika Vanessa kwenye picha aliyoiweka Instagram. Vanessa anaungana na AY na Faraja Kotta kwenye kampeni hiyo iitwayo ‘Walinde […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Tamko la pamoja kwa siku ya kimataifa ya kukomesha ukeketaji dhidi ya wa watoto wa kike

10945033_856755441041229_6165141623154796543_o

UNFPA, UNICEF, Shirikisho la Kimataifa la Wakunga na Shirikisho la Kimataifa la Magonjwa ya Wanawake na Uzazi.

Wito kwa wafanyakazi wa afya duniani kote ili kuhamasisha kukomesha ukeketaji

Kwa mwaka 2015, ujumbe wa kimataifa wa siku ya kupinga ukeketaji umewalenga wahudumu wa afya; “Uhamasishaji na ushirikishwaji wa wafanyakazi wa Afya ili kuharakisha kutokomeza ukeketaji”. Na hii ni kwa sababu asilimia 34 ya ukeketaji duniani hufanywa na wahudumu wa afya.

Pamoja na ujumbe huu mahsusi kwa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Tatizo la ajira kwa watoto migodini TZ

Tatizo la ajira za watoto migodini. Je serikali inaweza vipi kuhakikisha ajira hizi zinakomeshwa.

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI KUU YA BARAZA LA WATOTO LAKUTANA DODOMA KUTOA TAMKO LA WATOTO

  Waheshimiwa Wabunge walioitwa kusikiliza ajenda ya mtoto na kuhakikisha inaingia katika mchakato wa katiba.
kamati kuu la Baraza la watoto limekutana mjini Dodoma chini ya Uongozi wa mwenyekiti wake Ummy Jamaal kutoa tamko la watoto kwa waheshimiwa wabunge na waandishi wa habari wakitoa msisitizo wa ajenda ya mtoto kuwa sehemu ya mchaakato wa katiba.

Jambo kubwa walilosisitiza ni kuwaomba Ukawa warudi bungeni ili kumalizia mchakato wa kutengeneza katiba. Mheshimiwa Sophia Simba, waziri wa...

 

10 years ago

GPL

TAMKO LA PAMOJA KWA SIKU YA KIMATAIFA YA KUKOMESHA UKEKETAJI DHIDI YA WA WATOTO WA KIKE‏

UNFPA, UNICEF, Shirikisho la Kimataifa la Wakunga na Shirikisho la Kimataifa la Magonjwa ya Wanawake na Uzazi.Wito kwa wafanyakazi wa afya duniani kote ili kuhamasisha kukomesha ukeketaji Kwa mwaka 2015, ujumbe wa kimataifa wa siku ya kupinga ukeketaji umewalenga wahudumu wa afya; “Uhamasishaji na ushirikishwaji wa wafanyakazi wa Afya ili kuharakisha kutokomeza ukeketaji”. Na hii ni kwa sababu asilimia 34 ya ukeketaji...

 

11 years ago

BBCSwahili

Vita dhidi ya ajira kwa watoto Tanzania

Licha ya serikali ya Tanzania kupiga marufuku watoto kufanyishwa kazi, tatizo hilo bado linadhihirika zaidi katika migodi

 

11 years ago

GPL

AJIRA KWA WATOTO BADO TATIZO KUBWA MASASI

Mtoto anayesoma darasa la pili wilayani Masasi, Mtwara akifanya biashara ya kuuza mayai ambayo ametumwa na mzazi wake. (Picha na Mdau kutoka Masasi)

 

10 years ago

Habarileo

RC aitaka jamii kushiriki vita ajira kwa watoto

MKUU wa Mkoa Kigoma, Issa MachibyaMKUU wa Mkoa Kigoma, Issa Machibya amesema kuwa tatizo la utumikishwaji wa watoto nchini halitakwisha kama jamii haitakuwa tayari kushiriki kikamilifu katika kupiga vita ajira za watoto.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani