Pinda aitaka jamii kuenzi utamaduni
KITUO cha Utamaduni wa China kimefunguliwa nchini huku Watanzania wakitakiwa kudumisha utamaduni wao ili uwe na manufaa kwa vizazi vijavyo. Akizindua kituo hicho jana Dar es Salaam, Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda (pichani) alisema utamaduni ni kitu muhimu sana kwa Watanzania hivyo ni vyema kuudumisha na kuendeleza ili Taifa liwe na nembo muhimu kwa upande wa utamaduni.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi10 Feb
UMOJA WA MATAIFA WASISITIZA UMUHIMU WA KUWA NA UTAMADUNI MZURI WA KUENZI WANAWAKE WANAOLETA MABADILIKO KWENYE JAMII
![DSC_0017](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/02/DSC_0017.jpg)
Shirika la Ufaransa la Alliance Francaise de Dar es Salaam liliandaa safari ya maonyesho iliyopewa jina “women in Resistance by the talented French photo-journalist...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/02/DSC_0017.jpg)
UMOJA WA MATAIFA WASISITIZA UMUHIMU WA KUWA NA UTAMADUNI MZURI WA KUENZI WANAWAKE WANAOLETA MABADILIKO KWENYE JAMII
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Mayway Entertainment ilivyojipanga kuenzi utamaduni wa makabila nchini
LICHA ya Tanzania kukadiriwa kuwa na makabila zaidi ya 120, wananchi wengi wamepoteza mwelekeo katika suala zima la kutambua na kuenzi utamaduni wao kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kuiga tamaduni...
10 years ago
Habarileo15 Jun
RC aitaka jamii kushiriki vita ajira kwa watoto
MKUU wa Mkoa Kigoma, Issa Machibya amesema kuwa tatizo la utumikishwaji wa watoto nchini halitakwisha kama jamii haitakuwa tayari kushiriki kikamilifu katika kupiga vita ajira za watoto.
11 years ago
Dewji Blog15 Jun
Mama Kikwete aitaka Jamii kujenga tabia ya kuchangia damu kwa hiari
Mgeni Rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya wachangiaji damu salama kitaifa Mama Salma Kikwete akiwahutubia mamia ya wananchi wa Mkoa wa Kigoma kwenye uwanja wa Lake Tanganyika.
Na Anna Nkinda – Maelezo, Kigoma
Jamii imetakiwa kujenga tabia ya kuchangia damu kwa hiari kitendo ambacho kitapunguza vifo vya kina mama wajawazito 363 vinavyotokea kila mwaka kutokana na tatizo la ukosefu wa damu wakati wa kujifungua.
Mwito huo umetolewa jana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea na...
10 years ago
VijimamboNAWERA AITAKA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII KUPUNGUZA BEI KUBWA ZA DAWA NCHINI
MWENYEKITI wa Chama cha Walaji na Tiba Tanzania , Elias Nawera, ameitaka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kutatua changamoto ya bei kubwa ya dawa za binadamu wanayotozwa Watanzania.
Nawera alisema sera ya afya inasema kila mtu ana haki ya kupata huduma za afya kwa bei nafuu, lakini bado Watanzania wengi wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kununua dawa kwa bei kubwa.“Tunaomba Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii aingilie kati suala hili,wanaoteseka kwa kiwango...
10 years ago
MichuziWaziri Mkuu aitaka NHIF kuongeza bidii katika kutoa elimu ya Afya kwa Jamii
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
9 years ago
Dewji Blog07 Oct
UNESCO kuendeleza utamaduni wa kuzisaidia redio jamii
Mkuu wa ofisi na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Zulmira Rodrigues akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (Utawala na Fedha), Bw. Liberat Mfumukeko alipowasili katika chumba maalum cha wageni kabla ya kuelekea kwenye ufunguzi wa kongamano la siku tatu la Mtandao wa Redio za Jamii katika nchi za Afrika Mashariki (EACOMNET) linalolenga kujadili namna ya kuziwezesha redio hizo...