WATANZANIA WATAKIWA KULINDA SHAHADA ZAO ZA KUPIGIA KURA
![](http://1.bp.blogspot.com/-QyeM3VCSkhc/VhAAdiwPfhI/AAAAAAADALQ/nnY0BNdwdbo/s72-c/_MG_2358.jpg)
Harakati za kusaka nafasi ya juu ya uongozi katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo zimepiga kambi mkoani Singida kwa mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt John Pombe Magufuli pichani kuwahutubia maelfu ya wananchi waliokusanyika katika uwanja wa Peoples mjini humo kwenye mkutano wa kampeni.
Dkt Magufuli ameishauri tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kutimiza wajibu wake wa kutenda haki kwa wagombea wote wa ngazi za Uraisi,pia amewataka Wananchi wakatae kulaghaiwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi21 Oct
Waliopoteza kadi zao za kupigia kura hawataruhusiwa kupiga kura
9 years ago
Mzalendo Zanzibar17 Oct
TANGAZO LA KUSITISHWA UCHUKUAJI WA SHAHADA ZA KUPIGIA KURA KATIKA AFISI ZA UCHAGUZI ZA WILAYA
TANGAZO LA KUSITISHWA UCHUKUAJI WA SHAHADA ZA KUPIGIA KURA KATIKA AFISI ZA UCHAGUZI ZA WILAYA October 10, 2015 TUME YA UCHAGUZI YA ZANZIBAR INAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WA ZANZIBAR KWAMBA KUANZIA TAREHE 19/10/2015 ITASITISHA ZOEZI LA UCHUKUAJI […]
The post TANGAZO LA KUSITISHWA UCHUKUAJI WA SHAHADA ZA KUPIGIA KURA KATIKA AFISI ZA UCHAGUZI ZA WILAYA appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Michuzi22 Oct
TAARIFA KUHUSU WALIOPOTEZA KADI ZAO ZA KUPIGIA KURA
![](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/FL2sjZNyU5BB3WZGSsGvpzASlGhK4JwHhvYEvsYmg_nQM7PwR78af7S5fIakgXmWT4js4yENj_yUch3SjpGrF6o06HIOLk7ycZDlbofb5W38em0sITwbnKDeec5Oz4j3j_j5yEWbpD_CFF0ka4x2uiayug031cleVzYJjdAg=s0-d-e1-ft#http://mobile.mwananchi.co.tz/image/view/-/2924186/medRes/1154732/-/an7sjm/-/Kura+Photo.jpg?format=xhtml)
OFISI Usambazaji na Ugavi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Eliud Njaila akiwaonyesha waandishi wa habari vizimba vya kupigia kura siku ya uchaguzi. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema wapiga kura waliopoteza kadi zao za kupigia kura hawataruhusiwa kupiga kura katika uchaguzi utakaofanyika nchini kote siku ya Jumapili.
Akizungumza katika mkutano wa vyama vya siasa na NEC mjini Dodoma leo, Ofisa Mwandamizi wa tume hiyo William Kitebi, amesema watu hao hawataruhusiwa hata kama majina na...
10 years ago
Habarileo01 Mar
Watanzania watakiwa kulinda amani, utulivu
WATANZANIA wametakiwa kulinda amani ya nchi kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo ili kuliletea taifa maendeleo.
10 years ago
Tanzania Daima18 Nov
Watanzania watakiwa kupima afya zao
WAZIRI wa Afya na Ustawi wa jamii, Dk. Seif Rashid, amewataka Watanzania kujijengea utaratibu wa kupima afya zao mara kwa mara badala ya kusubiri wafikie dalili za ugonjwa hatua mbaya....
9 years ago
Mzalendo Zanzibar11 Sep
Ni kwa nini ccm wameshikilia kura za uraisi tu zisitangazwe kwenye vituo vya kupigia kura?
Hakuna shaka kua ccm wanataka kufanya wizi wa kubadilisha madokeo ya kura za Uraisi ,vipi madokeo ya kila kituo yanajulikana baada ya umalizikaji wa kupiga kura katika kituo husika halafu leo uambiwe usitangaze nani kashinda katika […]
The post Ni kwa nini ccm wameshikilia kura za uraisi tu zisitangazwe kwenye vituo vya kupigia kura? appeared first on Mzalendo.net.
5 years ago
CCM Blog![](https://img.youtube.com/vi/WV0F5mhfoGY/default.jpg)
9 years ago
Mzalendo Zanzibar15 Oct
Mbowe Amjibu Rais Kikwete Kuhusu Idadi ya Wapiga Kura na Zuio la Wananchi Kulinda Kura Vituoni
Mwenyekiti wa Chadema, Mh Freeman Thursday, October 15, 2015 Mwenyekiti wa Chadema, mh Freeman Mbowe amemtaka Rais Kikwete kutovuruga amani ya nchi na badala yake amemtaka aondoke madarakani na kuiacha nchi ikiwa salama. Mbowe alitoa kauli […]
The post Mbowe Amjibu Rais Kikwete Kuhusu Idadi ya Wapiga Kura na Zuio la Wananchi Kulinda Kura Vituoni appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Mtanzania25 Sep
Akamatwa na kadi 90 za kupigia kura
Na Elias Msuya
MWANAMKE aliyetambuliwa kwa jina la Salome Mahala, amekamatwa hivi karibuni katika Kata ya Nsimbo Wilaya ya Mlele mkoani Katavi, akiandikisha namba za kadi za kupigia kura.
Akizungumza kwa sharti la kutotajwa jina lake gazetini, mwananchi wa kijiji cha Katumba wilayani humo, alisema Mahala alikamatwa Jumatatu asubuhi akiwa na kadi 93 alizokusanya kwa wananchi akidai anaandikisha wanachama wa CCM.
“Tumemkamata huyo mama na kumfikisha katika kituo cha polisi cha mkoa akiwa na...