SERIKALI YATOA ELIMU KWA WACHIMBAJI WA DHAHABU JUU YA MADHARA YA MATUMIZI YA ZEBAKI ILI KULINDA AFYA ZAO
![](https://1.bp.blogspot.com/-GxX3dJrXkhk/XkueFOJCOXI/AAAAAAALd2Q/PNdo-Zug3YgEYizcgHbJwUQyF0BEShefgCLcBGAsYHQ/s72-c/5-3-1.jpg)
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Sima akiangalia hatua za uchakataji wa dhahabu kwa wachimbaji wadogo kijiji cha Sambaru wilayani Ikungi mkoani Singida ambapo aliwapa elimu kuhusu namna ya kujikinga na wanapotumia kemikali ya zebakia ambayo ina madhara kwa afya na mazingira.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Sima akizungumza na wachimbaji wadogo katika mgodi mdogo ulipo kijiji cha Sambaru wilayani Manyoni mkoani...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-QqkjK4iQfxk/XplztwsuSwI/AAAAAAAC3QM/vOGqXQ3HseArtoHgidGtJFDM9IiWH0KEwCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
SERIKALI KUANDAA MPANGO KAZI WA KITAIFA WA KUPUNGUZA MAAMBUKIZI YA ZEBAKI KWA WACHIMBAJI WADOGO WA DHAHABU (2020-205)
![](https://1.bp.blogspot.com/-QqkjK4iQfxk/XplztwsuSwI/AAAAAAAC3QM/vOGqXQ3HseArtoHgidGtJFDM9IiWH0KEwCLcBGAsYHQ/s400/1.jpg)
Hayo yamesemwa jana April 16 Bungeni jijini Dodoma na Waziri Wa Nchi Ofisi Ya Makamu Wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Azzan Zungu wakati akiwasilisha hotuba Kuhusu Makadirio Ya Mapato Na Matumizi Kwa Mwaka 2020/21 . Waziri Zungu amebainisha kuwa Mpango-Kazi huo unalenga kupunguza matumizi...
11 years ago
Michuzi11 Mar
elimu kwa umma juu ya njia bora za kuhudumia majokofu na viyoyozi ili kulinda tabaka la Ozoni.
![](https://4.bp.blogspot.com/-WD21MQSvl8A/Ux8LVpmP0-I/AAAAAAACrOg/jTWoybng280/s1600/DSC0100.jpg)
![](https://2.bp.blogspot.com/-m-lcn_oUUeI/Ux8KQqRmUFI/AAAAAAACrOI/uUcYZ9e6Aks/s1600/DSC0076.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-XQ3d6P71Jyg/Ux8Kdxl1hSI/AAAAAAACrOQ/PrsAI3EeFD8/s1600/DSC0119.jpg)
11 years ago
Dewji Blog10 Jun
TBL yatoa elimu kwa wakulima juu ya uzalishaji bora wa zao la Shayiri
Joel Msechu mtaalamu wa zao la shayiri kutoka Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) akiwaonesha wakulima magonjwa wa shayiri na namna ya kuzuia magonjwa hayo katika katika mashamba yaliyopo Kijiji cha Emairete Monduli juu, mkoani Arusha. Wakulima hao huwezeshwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) katika uzalishaji wa zao hilo ambalo ni malighafi ya kutengenezea bia zinzozalishwa na kampuni hiyo.
Meneja wa Zao la Shayiri Dk. Bennie Basson akiwaonesha wakulima kijitabu cha muongozo wa kilimo cha...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Auj30Or7ogI/Xpx3d4HsXEI/AAAAAAAAQsM/epwUmpr-apQcn9lqqj_d7QtcbV9MkUwYgCLcBGAsYHQ/s72-c/Screenshot_20200419-174919_1587308148794.jpg)
SERIKALI YAOMBWA KUTAFUTA NJIA MBADALA KUVIFIKIA VIJIJI VISIVYOFIKIKA ILI KUVIPATIA ELIMU JUU YA COVID-19
![](https://1.bp.blogspot.com/-Auj30Or7ogI/Xpx3d4HsXEI/AAAAAAAAQsM/epwUmpr-apQcn9lqqj_d7QtcbV9MkUwYgCLcBGAsYHQ/s640/Screenshot_20200419-174919_1587308148794.jpg)
Serikali imeombwa kuhakikisha kwamba inatafutanjia mbadala ,kwaajili ya kuwafikia wananchi waliopo maeneo ambayo hayafikikikiurahisi, kwaajili ya kuwapatia elimu ya kuepukana maambukizi ya homa kali yamapafu, inayosababishwa na virusi vya Corona (COVID-19
Hayo yamesemwa na Mchungaji David Chikawe Katibu wa Kanisa la Mission to Unreaches Area nchini (MUAC),lililopo Kibaha mkoa...
9 years ago
MichuziCHAMA CHA AFYA YA JAMII(TPHA) CHAWAOMBA WADAU KUTOA USHIRIKIANO ILI KUPAMBANA NA MATUMIZI TUMBAKU KWA VIJANA
(Picha na Geofrey Adroph wa Pamoja Blog)
9 years ago
Dewji Blog18 Nov
Chama cha Afya ya Jamii (TPHA) chawaomba wadau kutoa ushirikiano ili kupambana na matumizi Tumbaku kwa vijana
Dk. Adeline l. Kimambo(kulia) kutoka Chama cha Afya ya Jamii (TPHA) akitoa muhutasari wa Madhara ya Tumbaku mbele ya waandishi wa habari pamoja na wageni waalikwa waliofika kujadili changamoto wanazokabiliwa nazo hasa wanapokuwa wanatoa huduma kwa jamii kuhusu matumizi ya Tumbaku na kuwaomba wadau hao kutoa ushirikiano wa kutosha ili kufikia malengo waliyojiwekea.Katikati ni Dk Faustine Njau kutoka Chama cha Afya ya Jamii (TPHA) (Picha na Geofrey Adroph wa Pamoja Blog)
Mratibu wa Mradi...
10 years ago
Dewji Blog07 Feb
Mizengo Pinda aimiza Wabunge kushiriki mazoezi na michezo kulinda afya zao
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiwapongeza wachezaji wa timu za Bunge la Jamuhuri kwenye tafrija ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2015 katika majengo ya Bunge hilo Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mizengo Peter Pinda aliwapongeza wanamichezo wa Timu za Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuliletea sifa kubwa Bunge hilo kwenye mashindano ya michezo mbali mbali ya Kitaifa na Kimataifa.
Mh. Pinda alitoa pongezi hizo katika Tafrija maalum ya...
10 years ago
MichuziWIZARA YA AFYA ZANZIBAR YATOA ELIMU YA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA KWA WAANDISHI WA HABARI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Io_aUYgdD_I/XpXnEixyKvI/AAAAAAAAQrk/QdiSvYoS08ULGL1jIMi8bYffotLdePa6gCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200412_104439_522.jpg)
JIANDAENI KIUCHUMI KULETA MABADILIKO PAMOJA NA KULINDA AFYA ZENU JUU YA COVID -19
![](https://1.bp.blogspot.com/-Io_aUYgdD_I/XpXnEixyKvI/AAAAAAAAQrk/QdiSvYoS08ULGL1jIMi8bYffotLdePa6gCLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200412_104439_522.jpg)
Baadhi ya waumini wakiwa katika Ibada ya pasaka katika kanisa Kiinjili la Kilutheri Usharika wa Mlandizi Dayosisi ya Magharibi na Pwani Picha na Vero Ignatus.
![](https://1.bp.blogspot.com/-VwXFwly2DpQ/XpXmclAhQsI/AAAAAAAAQrU/Mca-YN8a5v40fD0isFKXlfzcIHA2R2kuwCLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200412_104432_490%2B%25282%2529.jpg)
Baadhi ya waumini wakiwa katika Ibada ya pasaka katika kanisa Kiinjili la Kilutheri Usharika wa Mlandizi Dayosisi ya Magharibi na Pwani wakiwa wamekaa bila kusongamana.Picha na Vero Ignatus.
Na.Vero Ignatus ,Mlandizi Pwani
Katika kuadhimisha sikukuu ya pasaka inayoonyesha upekee wa Imani ya Kikristo duniani Jamii imetakiwa kujikita...