Pinda- Watajeni wanaobeza wabunge
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amemtaka Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kusini Deosderius Mipata (CCM) kuwataja viongozi wa Serikali wanaobeza wabunge katika suala zima la utekelezaji wa maendeleo katika maeneo yao.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima11 Oct
‘Watajeni wanaojihusisha na rushwa’
TAASISI ya Kuzuia, Kupambana na Rushwa (Takukuru), imesema katika kumuenzi Mwalimu Julius Nyerere dhidi ya rushwa, Watanzania wanatakiwa kutoa ushirikiano na kuwataja watu wanaojihusisha na vitendo hivyo badala ya kulalamika...
11 years ago
Mwananchi11 Dec
Wabunge wazidi kumwandama Pinda
10 years ago
Habarileo28 Nov
Wabunge wamkingia kifua Pinda
WABUNGE wamemkingia kifua Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuhusu ushiriki wake katika sakata la Tegeta Escrow, huku wakitaka kodi ambayo haikulipwa kwa Serikali katika fedha hizo zilipwe.
11 years ago
Mwananchi18 Mar
Pinda, vyama visivyo na wabunge wateta
11 years ago
Mwananchi21 Dec
Wabunge wa CCM wamgomea Waziri Mkuu Pinda
10 years ago
Dewji Blog07 Feb
Mizengo Pinda aimiza Wabunge kushiriki mazoezi na michezo kulinda afya zao
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiwapongeza wachezaji wa timu za Bunge la Jamuhuri kwenye tafrija ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2015 katika majengo ya Bunge hilo Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mizengo Peter Pinda aliwapongeza wanamichezo wa Timu za Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuliletea sifa kubwa Bunge hilo kwenye mashindano ya michezo mbali mbali ya Kitaifa na Kimataifa.
Mh. Pinda alitoa pongezi hizo katika Tafrija maalum ya...
9 years ago
Mwananchi14 Oct
Dk Nchimbi awananga wanaobeza uteuzi wa Ma - DC
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Kamani awananga wanaobeza kilimo
11 years ago
Habarileo29 Jan
Ikulu yawajia juu wanaobeza uteuzi
MJADALA kuhusu uteuzi wa Baraza la Mawaziri jipya lililotangazwa karibuni hauna maana na ni kupoteza muda, imeelezwa.