Poland eyes investment in TZ
 Poland is eying investment opportunities in mining, food processing and machinery as it stakes claim on a share of the Tanzanian market,
TheCitizen
Habari Zinazoendana
10 years ago
TheCitizen18 Sep
Norway eyes TZ in investment drive
10 years ago
Michuzi
OBI MOBILES VISITS TANZANIA INVESTMENT CENTRE (TIC) TO EXPLORE INVESTMENT OPPORTUNITIES IN TELECOMMUNICATION SECTOR IN TANZANIA



11 years ago
BBCSwahili12 Oct
10 years ago
Michuzi
TANZANIA NA POLAND KUKUZA KILIMO

Na Eleuteri Mangi MAELEZO 29/09/2015Serikali ya Tanzania na Poland zimeingia makubaliano ya ushirikiano yatakayosaidia kukuza sekta ya kilimo kwa kuwawezesha wakulima kupata zana bora za kilimo kupitia Kampuni ya kutengeneza Matrekta ya Ursus kutoka nchini Poland itakayoanza kufanya kazi zake nchini Tanzania mwanzoni mwa mwaka 2016.
Akizungumza mara baada ya kufanyika kwa mkutano wa makubaliano hayo kati ya Serikali ya Tanzania na ujumbe...
11 years ago
BBCSwahili31 Jul
Celtics yaambulia kichapo Poland
11 years ago
BBCSwahili07 Feb
Kanisa Katoliki kortini Poland
10 years ago
Dewji Blog22 Oct
Pinda akutana na Rais Mstaafu wa Poland
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika kikao kati ya ujumbe wa Tanzania na ujumbe wa Poland aulioongozwa na Rais Mstaafu wa nchi hiyo Lech Walesa (kushoto) katika hafla ya utiaji saini makubaliaono ya mkopo nafuu ambapo Tanzania itapokea Matrekta kutoka Poland yatakayounganishwa na SUMA JKT hapa nchini. Utiaji saini huo ulifanyika kwenye Makao Makuu ya JKT Mlalakuwa jijini Dar es slaam Oktoba 22, 2015. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Rais mstaafu wa...
10 years ago
BBCSwahili26 Oct
Upinzani wapata ushindi mkubwa Poland
10 years ago
Dewji Blog13 May
Pinda akutana na wawekezaji toka Poland
Waziri mkuu, Miengo Pinda akizungumza na wawekezaji na watalaamu wa kujenga vihenge vya kisasa na vyenye uwezo wa kuhifadhi tani nyingi za nafaka hasa mahindi ambao wanatarajia kujenga vihenge hivyo hapa nchini. Watalaamu na wakezaji hao kutoka Poland ambao wakulikutana na Waziri Mkuu mjini Dodoma Mei 12, kutoka kushoto ni Honorta Maslowsk, Witold Karczewski ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara waPolland na Aleksandar Zingman. (Picha na Ofisi ya Waziri...