TANZANIA NA POLAND KUKUZA KILIMO
![](http://2.bp.blogspot.com/-035ebxJUj3E/VgqIUuoRvoI/AAAAAAAH7vg/ZdMftU6FbWU/s72-c/download.jpg)
Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Stephen Wasira
Na Eleuteri Mangi MAELEZO 29/09/2015Serikali ya Tanzania na Poland zimeingia makubaliano ya ushirikiano yatakayosaidia kukuza sekta ya kilimo kwa kuwawezesha wakulima kupata zana bora za kilimo kupitia Kampuni ya kutengeneza Matrekta ya Ursus kutoka nchini Poland itakayoanza kufanya kazi zake nchini Tanzania mwanzoni mwa mwaka 2016.
Akizungumza mara baada ya kufanyika kwa mkutano wa makubaliano hayo kati ya Serikali ya Tanzania na ujumbe...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog02 Oct
Tanzania na Poland kukuza sekta ya kilimo nchini
Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Stephen Wasira akiongea na ujumbe wa wataalam wa kilimo kutoka nchini Poland ulioongozwa na Waziri wa Kilimo na Maendeleo Vjijini wa Poland Bi. Zofia Szalczyk hivi karibuni jijini Dar es salaam wakati wa mkutano uliohusu makubaliano yanalenga kuinua sekta ya kilimo na kurahisisha upatikanaji wa matrekta hapa nchini. Wa kwanza kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika Yamungu Kayandabila.
Waziri wa Kilimo na Maendeleo Vjijini...
9 years ago
Habarileo23 Oct
Poland yatoa mabilioni kupaisha kilimo nchini
SERIKALI ya Poland imetoa mkopo wenye thamani ya Sh bilioni 220 kwa Tanzania utakaoinua kilimo nchini ambao sehemu ya fedha itatumika kujenga kiwanda cha trekta na nyingine kujenga maghala ya chakula nchini.
11 years ago
Habarileo17 Mar
Ataka waandishi kukuza kilimo
WAANDISHI wa habari wameaswa kuandika habari sahihi za kilimo, ambazo zitaongeza kiwango cha uzalishaji wa mazao shambani na kuinua uchumi wa familia na taifa.
11 years ago
Tanzania Daima04 Feb
Mansoor kukuza kilimo kwa vitendo KwimbaÂ
UCHUMI wa Kwimba, mkoani Mwanza unategemea kilimo cha pamba, mahindi, mpunga na ufugaji. Wilaya hii inayokabiliwa na changamoto kubwa katika suala la maendeleo ya kiuchumi, ilianzishwa enzi za utawala wa...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-0JSvyAwlhRg/VXgxSTEOyMI/AAAAAAADUWI/k8yeR89ZlyE/s72-c/2........jpg)
Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Stephen Wasira akutana na Rais na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza Matrekta ya Ursus kutoka nchini Poland.
![](http://1.bp.blogspot.com/-0JSvyAwlhRg/VXgxSTEOyMI/AAAAAAADUWI/k8yeR89ZlyE/s640/2........jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-7uwsiC536eQ/VXgxN5-Z_lI/AAAAAAADUWA/DToNU_e8yfc/s640/1......jpg)
Na. Issa Sabuni, WKCUWaziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Stephen Wasira amepongeza hatua iliyofikiwa katika ya Serikali ya Tanzania chini ya Shirika la Uchumi na Maendeleo la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT) na Kampuni ya kutengeneza Matrekta ya Ursus kutoka nchini Poland akisifu kuwa hatua hiyo ni ya...
11 years ago
Tanzania Daima24 Jun
Ujenzi wa kiwanda kukuza kilimo cha Mkonge Tanga
KATIKA kuhakikisha mkonge unamnufaisha mkulima, serikali imeanza mikakati ya kuendeleza zao hilo. Miongoni mwa mikakati hiyo ni kuongeza uzalishaji wa bidhaa bora zitokanazo na zao hilo kutoka asilimia 2 za...
5 years ago
MichuziSHIRIKA LA KILIMO ENDELEVU TANZANIA LAKAMILISHA MTALAA MPYA WA KILIMO,VYUO 29 KUANZA KUUTUMIA
SHIRIKA la Kilimo Endelevu Tanzania(SAT) likamilisha mtaala mpya wa kilimo ambao unatarajiwa kuanza kutumia kwenye vyuo vya mafunzo ya kilimo 29 nchini ikiwa ni mkakati wa kuhakikisha mtaala huo unaendana na mahitaji ya sasa.
Akizungumza na waandishi wa habari za kilimohai wakati wa mafunzo maalumu ya kilimo hicho, Meneja wa Mradi wa SAT Mgeta Daud amesema mtaala huo wameufanikisha kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo kupitia Divisheni ya Mafunzo,...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-pzeNKMYF080/VJvuwutHQ8I/AAAAAAAG5wA/nx4IanhGv1E/s72-c/unnamed%2B(6).jpg)
Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, afanya mahojiano na gazeti la Gulf Today kuhusu kuvutia uwekezaji na kukuza utalii Tanzania.
![](http://4.bp.blogspot.com/-pzeNKMYF080/VJvuwutHQ8I/AAAAAAAG5wA/nx4IanhGv1E/s640/unnamed%2B(6).jpg)
Ubalozi Mdogo umejiwekea utaratibu katika mpango wake wa mwaka, kuandaa kongamano za uwekezaji tatu kwa kila mwaka.
Ni imani kuwa mpango huu utasaidia kutangaza fursa za uwekezaji zilizopo Tanzania na kuvutia idadi kubwa ya watalii...
10 years ago
Habarileo04 Feb
Tanzania, Ujerumani kukuza uchumi
RAIS Jakaya Kikwete na mgeni wake, Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck wamekubaliana katika kukuza ushirikiano wa kiuchumi, huku Rais Kikwete akiitaka Serikali ya Ujerumani kuenedelea kuisaidia Tanzania katika kukuza uchumi kwa kutoa misaada ya maendeleo na kuwekeza zaidi.