Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ataka waandishi kukuza kilimo

WAANDISHI wa habari wameaswa kuandika habari sahihi za kilimo, ambazo zitaongeza kiwango cha uzalishaji wa mazao shambani na kuinua uchumi wa familia na taifa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TANZANIA NA POLAND KUKUZA KILIMO

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Stephen Wasira
Na Eleuteri Mangi MAELEZO 29/09/2015Serikali ya Tanzania na Poland zimeingia makubaliano ya ushirikiano yatakayosaidia kukuza sekta ya kilimo kwa kuwawezesha wakulima kupata zana bora za kilimo kupitia  Kampuni ya kutengeneza Matrekta ya Ursus kutoka nchini Poland itakayoanza kufanya kazi zake nchini Tanzania mwanzoni mwa mwaka 2016.
Akizungumza mara baada ya kufanyika kwa mkutano wa makubaliano hayo kati ya Serikali ya Tanzania na  ujumbe...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tanzania na Poland kukuza sekta ya kilimo nchini

01

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Stephen Wasira akiongea na ujumbe wa wataalam wa kilimo kutoka nchini Poland ulioongozwa na Waziri wa Kilimo na Maendeleo Vjijini wa Poland Bi. Zofia Szalczyk hivi karibuni jijini Dar es salaam wakati wa mkutano uliohusu makubaliano yanalenga kuinua sekta ya kilimo na kurahisisha upatikanaji wa matrekta hapa nchini. Wa kwanza kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika Yamungu Kayandabila.

02

Waziri wa Kilimo na Maendeleo Vjijini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mansoor kukuza kilimo kwa vitendo Kwimba 

UCHUMI wa Kwimba, mkoani Mwanza unategemea kilimo cha pamba, mahindi, mpunga na ufugaji. Wilaya hii inayokabiliwa na changamoto kubwa katika suala la maendeleo ya kiuchumi, ilianzishwa enzi za utawala wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ujenzi wa kiwanda kukuza kilimo cha Mkonge Tanga

KATIKA kuhakikisha mkonge unamnufaisha mkulima, serikali  imeanza mikakati ya kuendeleza zao hilo. Miongoni mwa mikakati hiyo ni kuongeza uzalishaji wa bidhaa bora zitokanazo na zao hilo  kutoka asilimia 2 za...

 

11 years ago

Habarileo

Dk Kamani ataka majibu kukuza kipato

WAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani amesema sura ya wizara hiyo katika jamii si nzuri kwa kuwa haijatoa jawabu ya changamoto zinazowakabili wadau wakiwemo wafugaji na wavuvi na kukuza pato la Taifa kama inavyostahili.

 

5 years ago

Michuzi

WAZILI RUKUVI ATAKA WANANCHI WAMILIKISHWE ARDHI KUKUZA KIPATO

Shinyanga

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka Wakurugenzi wa Almashauri zote za Wilaya pamoja na Manispaa Mkoani Shinyanga kuharakisha upimaji ardhi na utoaji hati za umiliki wa ardhi kwa wananchi ikiwemo mipango miji ili kuongeza mapato ya Serikali na kuepukana na ujenzi holela mkoani humo.

Waziri Lukuvi amesema hayo Mkoani Shinyanga alipofika Mkoani humo kwa lengo la kujionea ofisi mpya zitakazotumiwa na Msajili wa Ardhi pamoja na Kamishina wa Ardhi...

 

10 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA WAANDISHI ZA KILIMO LAFANYIKA MKOANI MOROGORO

Waandishi wa habari nchini wametakiwa kuwapa kipaumbele wakulima wadogo kwa kuandika habari zao kiundani kuliko kuegemea kwa wanasiasa peke yao.
Mwenyekiti wa Mtandao wa vikundi vya wakulima nchini (Mviwata), Veronica Sophu aliyasema hayo jana mjini Morogoro kwenye kongamano la waandishi wa habari wanaoandika habari za wakulima.
Sophu ambaye alikuwa mjumbe wa Bunge maalum la Katiba (BMK) kupitia kundi la wakulima alisema wakulima nchini wanatakiwa wasikilizwe kwani wana changamoto nyingi...

 

11 years ago

Mwananchi

DC ataka waandishi kuitangaza Tanga

>Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Gallawa amewataka waandishi wa habari mkoani Tanga kuutangaza mkoa wao kiutalii,  pamoja na vivutio vyake na kuacha kuandika habari ambazo hazina faida kwa jamii na Taifa.

 

10 years ago

Habarileo

Bilal ataka waandishi kuwa makini

MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal ameitaka vyombo vya habari kujiuliza mambo wanayoweza kuyaweka hadharani kwa kuyaandika au kuyatangaza na yanayofaa kuhifadhiwa kwa sasa nchi inapoelekea katika kipindi cha Uchaguzi Mkuu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani