Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bilal ataka waandishi kuwa makini

MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal ameitaka vyombo vya habari kujiuliza mambo wanayoweza kuyaweka hadharani kwa kuyaandika au kuyatangaza na yanayofaa kuhifadhiwa kwa sasa nchi inapoelekea katika kipindi cha Uchaguzi Mkuu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Waandishi wa habari watakiwa kuwa makini na habari za uchaguzi 2015 wanazoziripoti

Mhandisi Kisaka kutoka TCRA makao makuu akitoa somo kwa viongozi wa vyombo vya habari kanda ya Nyanda za juu kusini.
Na Edwin Moshi, MbeyaVyombo vya habari nchini vimetakiwa kuwa makini na kuripoti habari za uchaguzi mkuu wa mwaka huu kufuata maadili na weledi wa taaluma hiyo ili kufanikisha uchaguzi huo kwa amani
Hayo yamesemwa leo jijini Mbeya na Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA wakati wakiwapa semina mameneja na wamiliki wa vyombo vya habari vilivyopo kanda ya nyanda za juu kusini...

 

11 years ago

Habarileo

Rais Shein ataka majibu makini

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesisitiza umuhimu wa mawaziri kujibu maswali wanayoulizwa na wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa hoja na umakini mkubwa kufanikisha utekelezaji wa wajibu wa Baraza kusimamia Serikali.

 

11 years ago

Mwananchi

DC ataka waandishi kuitangaza Tanga

>Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Gallawa amewataka waandishi wa habari mkoani Tanga kuutangaza mkoa wao kiutalii,  pamoja na vivutio vyake na kuacha kuandika habari ambazo hazina faida kwa jamii na Taifa.

 

11 years ago

Habarileo

Ataka waandishi kukuza kilimo

WAANDISHI wa habari wameaswa kuandika habari sahihi za kilimo, ambazo zitaongeza kiwango cha uzalishaji wa mazao shambani na kuinua uchumi wa familia na taifa.

 

11 years ago

Habarileo

JK ahimiza Takukuru kuwa makini

RAIS Jakaya Kikwete ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) nchini kuhakikisha kuwa kesi za rushwa dhidi ya watu mbalimbali inazozipeleka mahakamani, zinakuwa na nafasi kubwa ya kufanikiwa kwa maana ya washitakiwa kukutwa na makosa.

 

10 years ago

Habarileo

Wananchi wahadharishwa kuwa makini

Msemaji wa Polisi, Advera Bulimba JESHI la Polisi nchini, limetoa tahadhari kwa wananchi kuwa makini katika suala zima la ulinzi na usalama wa maisha na mali zao.

 

10 years ago

Habarileo

Wasomi watakiwa kuwa makini

VIJANA wasomi nchini wametakiwa kutokuwa chambo na kutumiwa na baadhi ya wanasiasa wenye uchu wa kutaka madaraka ya nchi bali wawaepuke hususani katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.

 

11 years ago

Mwananchi

Kuwa makini na ‘lipstick’ unayopaka mdomoni

Rangi ya mdomo au ‘lipstick’ kama inavyofahamika kwa wengi ni urembo unaopendwa zaidi na wanawake.

 

11 years ago

Habarileo

Washauriwa kuwa makini matumizi ya pampasi

WATOTO wa kike wako katika hatari kubwa ya kupata maambukizi ya njia ya mkojo, aleji na hata upele kutokana na matumizi yasiyo sahihi ya pampasi anayovishwa mtoto kumsitiri anapojisaidia na kubaki nayo kwa muda mrefu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani