Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Shein ataka majibu makini

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesisitiza umuhimu wa mawaziri kujibu maswali wanayoulizwa na wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa hoja na umakini mkubwa kufanikisha utekelezaji wa wajibu wa Baraza kusimamia Serikali.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Rais Shein ataka udhalilishaji wa kijinsia kukomeshwa

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ametaka miezi iliyobakia ya mwaka wa 2014, iwe ya kupambana na kutokomeza vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia. Katika utekelezaji wa agizo hilo, Dk Shein ametaka vyombo vya sheria kuchukua hatua za kisheria kwa wahusika watakaobainika kufanya matukio hayo.

 

11 years ago

Habarileo

Pinda ataka majibu ndani ya saa 30

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ametoa saa 30 na kutaka kupatiwa majibu, ni kwa nini maelekezo aliyotoa kuhusu kiwanda cha kusindika nyama cha Mbeya, hayajafanyiwa kazi.

 

11 years ago

Habarileo

Dk Kamani ataka majibu kukuza kipato

WAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani amesema sura ya wizara hiyo katika jamii si nzuri kwa kuwa haijatoa jawabu ya changamoto zinazowakabili wadau wakiwemo wafugaji na wavuvi na kukuza pato la Taifa kama inavyostahili.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mnyika ataka majibu kero ya barabara

MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amesema amemtumia ujumbe Waziri wa Ujenzi, John Magufuli, ili atoe kauli ya serikali juu ya ujenzi wa Barabara ya Morogoro, ambao umegeuka kuwa kero...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mo Farah ataka majibu kuhusu kocha wake

Mwanariadha Mo Farah wa Uingereza amekasirishwa na hatua ya kulitia jina lake katika matope na sasa anataka majibu kufuatia madai yanayomuhusisha kocha wake Alberto Salazar na dawa za kusisimua misuli.

 

10 years ago

Mwananchi

Jaji Warioba aunguruma Mwanza, ataka majibu ya hoja zake

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba amesema licha ya kushambuliwa kwa mambo ya msingi anayozungumza kuhusu Katiba Mpya hakuna mtu aliyejitokeza kumjibu hoja zake, zaidi kumpiga vita.

 

10 years ago

Habarileo

Bilal ataka waandishi kuwa makini

MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal ameitaka vyombo vya habari kujiuliza mambo wanayoweza kuyaweka hadharani kwa kuyaandika au kuyatangaza na yanayofaa kuhifadhiwa kwa sasa nchi inapoelekea katika kipindi cha Uchaguzi Mkuu.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ATOA SAA 30, ATAKA KUPATA MAJIBU KUHUSU KIWANDA CHA NYAMA MBEYA

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ametoa saa 30 na kutaka kupatiwa majibu ni kwa nini maelekezo aliyotoa kuhusu kiwanda cha kusindika nyama cha Mbeya hayajafanyiwa kazi.
Ametoa kauli hiyo leo mchana (Ijumaa, Agosti Mosi, 2014) wakati akizindua Kongamano la siku tatu la Uwekezaji la Mikoa ya Iringa, Njombe na Mbeya la mwaka 2014 ambalo limeanza leo kwenye ukumbi wa Benjamini Mkapa jijini Mbeya.
“Mbeya inaweza kuwa na fursa kubwa ya viwanda vya usindikaji nyama, unga wa mahindi ili kuongeza thamani ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Dk Shein ataka maendeleo Z’bar

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein, amewahimiza wananchi kujitolea katika kujiletea maendeleo huku akiwahakikishia kuwa Serikali itaendelea kuziunga mkono jitihada hizo kwa manufaa yao na Taifa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani