Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


POLISI ARUSHA KUWAFANYIA USAILI ASKARI WATARAJIWA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Naibu Kamishna (DCP) Liberatus Sabas
Na Woinde Shizza,Arusha
Jeshi la Polisi Mkoani hapa linatarajia kuwafanyia usaili vijana wa Mkoa huu waliomaliza kidato cha nne mwaka 2014 ambao wamechaguliwa kupitia tovuti ya Tamisemi ambayo ni www.pmoralg.go.tz. Wanaotarajia kujiunga na mafunzo ya Jeshi la Polisi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Naibu Kamishna (DCP) Liberatus Sabas aliyasema hayo ofisini kwake leo asubuhi ambapo alisema zoezi hilo litafanyika kwa muda...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KIINGLISHI KILIVYOWAGOMBANISHA ASKARI POLISI NA ASKARI WA MANISPAA YA MOSHI


Kisha safari ya kwenda Kituoni ikaanza. Ghafla Mkude baada ya kuona kamera ya globu ya jamii inammulika alimuamuru askari mwenzake kuikamata ,alakini hata hivyo askari yule alifahamu kuwa Globu ya jamii pia iko kazini kama walivyo wao. Mzobe mzobe ukaendelea kupita katikati ya kituo kikuu cha mabasi huku mbinje za kutosha toka kwa wakatisha tiketi na wapiga debe zikirindima. Askari Polisi.Mkude akafanikiwa kuwatia mikononi askari wa manispaa ya Moshi wanaoshughulika na...

 

10 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

USAILI WA JESHI LA POLISI TANZANIA KWA WAKAZI WA MBEYA

Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya, BARAKAEL .N. MASAKI – ACP anawatangazia Wananchi wote ya kuwa orodha ya majina ya vijana waliomaliza Kidato cha Nne mwaka 2013 na cha Sita mwaka 2014 na kuchaguliwa kufanya usalii wa kujiunga na Jeshi la Polisi inapatikana kwenye tovuti ya Polisi: www.policeforce.go.tz au wafike ofisi ya kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya iliyopo Forest jirani na Mahakama kuangalia majina yao.
Muhimu:
• Mwombaji anaruhusiwa kufanya usaili kwenye kituo chochote cha...

 

10 years ago

Michuzi

JUST IN: TANGAZO LA USAILI WA JESHI LA POLISI KWA MKOA WA MBEYA.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya, SACP AHMED Z. MSANGI (pichani) anawatangazia Wananchi wote ya kuwa vijana waliomaliza Kidato cha Nne mwaka 2013 na cha Sita mwaka 2014 na kuchaguliwa kufanya usalii wa kujiunga na Jeshi la Polisi, Usaili huo utafanyika kuanzia Tarehe 28.09.2014 hadi Tarehe 01.10.2014 kuanzia majira ya saa 08:00 Asubuhi hadi saa 16:00 jioni katika Shule ya Sekondari Mbeya Day.


Muhimu:·         Mwombaji aliyeitwa kwenye usaili aje na vyeti vyake vyote vya masomo [(Academic...

 

11 years ago

Michuzi

USAILI WA JESHI LA POLISI TANZANIA KWA WAKAAZI WA MBEYA



Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya, BARAKAEL .N. MASAKI – ACP anawatangazia Wananchi wote ya kuwa orodha ya majina ya vijana waliomaliza Kidato cha Nne mwaka 2013 na cha Sita mwaka 2014 na kuchaguliwa kufanya usalii wa kujiunga na Jeshi la Polisi inapatikana kwenye tovuti ya Polisi: www.policeforce.go.tz au wafike ofisi ya kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya iliyopo Forest jirani na Mahakama kuangalia majina yao.
Muhimu:
• Mwombaji anaruhusiwa kufanya usaili kwenye kituo chochote cha usaili...

 

10 years ago

Michuzi

Jeshi la polisi nchini lathibitisha kuwa mlipuko uliowajeruhi askari polisi Songea ni bomu la kienyeji

Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai kamishina wa polisi Isaya Mngulu akizungumza na waandishi wa habari leo mjini mjini Songea mkoani Ruvuma---------------------Na Nathan Mtega wa demasho.com,Songea
JESHI la polisi chini limethibitisha kuwa kitu kilichokuwa kinadaiwa kuwa nio bomu lililorushwa mjini Songea mkoani Ruvum Septemba 16 mwaka huu majira ya saa 1.25 usiku katika eneo la Misufini na kuwajeruhi askari polisi watatu kati ya wanne waliokuwa doria kuwa ni bomu la kutupwa kwa mkono...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani