Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi: Kuna usalama Krismasi, mwaka mpya

JESHI la Polisi nchini na vyombo vingine vya ulinzi na usalama vimejipanga kuhakikisha vitendo vyovyote vya uhalifu vitakavyojitokeza wakati wa sikukuu za Krismasi na Mwaka mpya vinadhibitiwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Polisi yaonya vurugu Krismasi, Mwaka Mpya

Advera BulimbaPOLISI imeonya juu ya vurugu na vitendo vya uhalifu katika kipindi hiki cha sikukuu za Krismasi na Mwaka mpya, ikisema imejipanga kukabiliana na aina yoyote ya uvunjifu wa amani.

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi watahadharisha kuongeza nauli Krismasi, Mwaka Mpya

Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga amesema kampuni au mtu atakayeongeza nauli ya mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi katika kipindi cha sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya atakamatwa na kufikishwa mahakamani.

 

9 years ago

Global Publishers

Wapendanao wanapaswa kuzitumiaje Krismasi na Mwaka Mpya?

happycouplemain.jpgNianze kwa kuwatakia heri ya Krismasi na Mwaka Mpya wasomaji wa safu hii. Najua kabla ya mwaka huu kufika, kila mtu alijiwekea malengo yake. Kuna ambao walipanga kuoana, kuchumbiana au kutambulishana. Mmetimiza ahadi yenu?

Katika makundi hayo yote, hapo waliofanikiwa kufikia hatua waliyojipangia lakini pia wengine hawakuweza kufikia malengo yao. Penzi sahihi ni lile lenye malengo. Mkiishi katika uhusiano ambao kila mmoja wenu anawaza lake, hakuna maisha.

Kwenye uhusiano lazima kuwe na...

 

10 years ago

GPL

SHIA WATUMA SALAM ZA KRISMASI, MWAKA MPYA KWA WAKRISTO

Imam wa Msikiti wa Kigogo Post uliopo Kigogo, Dar, Hemed Jalala,  akizungumza na waandishi wa habari katika tukio hilo. Bango la kuwatakia Wakristo heri ya Krismasi na Mwaka Mpya kutoka kwa Waislam.…

 

10 years ago

Vijimambo

SALAMU ZA KRISMASI NA KHERI YA MWAKA MPYA KUTOKA UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA NEW YORK

Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvania unawatakia sikukuu njema wanajumuiya wote wa New York Tanzanian Community(NYTC).Tunakutakieni furaha katika sikukuu hizi,mapenzi pamoja na Afya njema,ni matumaini yetu kuwa mwaka tunaouaga ulikuwa ni mwaka wa kheri,mafanikio na baraka nyingi na kwa pamoja tunamuomba Mola aujaalie mwaka ujao 2015 uwe wenye mafanikio,Afya njema na adumishe umoja wetu ili tuendelee kushirikiana kama ambavyo tumeweza kufanya hivyo...

 

9 years ago

MillardAyo

Saa chache kabla ya kufunga mwaka kuna hii taarifa kutoka Jeshi la Polisi..

Tukiwa tumebakiza masaa machache kabla ya kuuaga mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka 2016, Jeshi la Polisi limetoa tahadhari kuelekea mkesha wa mwaka mpya. Katika taarifa ya Jeshi hilo iliyotolewa na msemaji Advera Bulimba imesema wamejipanga vyema kukabiliana na vitendo vya uhalifu vitakavyojitokeza na kuimarisha ulinzi katika fukwe za bahari na maeneo mbalimbali ya starehe. Taarifa hiyo […]

The post Saa chache kabla ya kufunga mwaka kuna hii taarifa kutoka Jeshi la Polisi.. appeared first on...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA AZANIA TAWI LA MOSHI YAPITA MITAANI NA KUTOA MKONO WA KRISMASI NA HERI YA MWAKA MPYA KWA WATEJA WAKE

Mkurugenzi wa Idara ya Oparesheni ya Benki ya Azania, Togolani Mramba (wa pili kushoto), akimkabidhi zawadi mmoja wa wateja wakuu wa Benki hiyo mkoani Kilimanjaro, Mfanyabiashara wa Nafaka, Izina Rashid Msangi, ikiwa ni utaratibu wa kawaida wa Benki hiyo kutoa mkono wa shukrani kwa wateja wake na kuwatakia heri katika sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya, wanaoshuhudia ni wafanyakazi wa Benki hiyo, wakiongozwa na Meneja wa Azania Tawi la Moshi, Bi. Hajira Mmambe.Timu ya Wafanyakazi wa Benki ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani