Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi Moro ngangari kwa Ligi Kuu

Baada ya kufanikiwa kupanda daraja, timu ya soka ya Polisi Morogoro imesema iko tayari kwa ajili ya mikiki Ligi Kuu msimu huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KLABU YA RUVU SHOOTING YAUNGANA NA POLISI MORO SC KUSHUKA DARAJA LIGI KUU TANZANIA BARA MSIMU WA MWAKA 2014/2015.

Mgambo JKT.
Ndanda FC imefanikiwa kubaki ligi kuu Tanzania bara baada ya kuilaza Yanga SC bao 1-0 katika uwanja wa Nangwanda mjini Mtwara.


Kipigo walichopata Polisi Moro SC cha bao 1-0 dhidi ya Mbeya City kimewafanya kupata tikiti ya kushuka daraja na kuungana na Ruvu Shooting.


Kwa upande wa Stend United yenyewe imepata matokeo mazuri ya bao 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting na kuinusuru timu hiyo kushuka daraja huku ikiiachia dhahama Ruvu Shooting.

Kikosi cha Prison.

Klabu za Polisi Moro SC na Ruvu...

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi Morogoro yarudi Ligi Kuu Bara

Bao lililofungwa na James Mganda dakika ya 26 lilitosha kuiwezesha Polisi Morogoro kurejea Ligi Kuu Tanzania Bara msimu ujao baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Maji Maji ya Songea katika mchezo wa ligi daraja la kwanza uliochezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri Morogoro.

 

9 years ago

Michuzi

WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO


Ferrao.  NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...

 

10 years ago

Vijimambo

NMB BANK YALIPATIA JESHI LA POLISI VIFAA VYA MICHEZO, NI KWA AJILI YA TIMU ZA POLISI DAR NA MORO

Mkuu wa Kitengo cha Wateja binafsi wa benki ya NMB, Bw.Abdulmajid Nsekela( katikati) akimkabidhi vifaa vya Michezo Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Mary Nzuki kwa ajili ya Timu za Polisi ambazo ni Kombaini ya Polisi itakayoshiriki Michezo ya majeshi kwa nchi za kusini mwa Afrika nchini Swaziland pamoja na timu za mpira wa miguu za Polisi Dar es Salaam na Polisi Morogoro.Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Michezo Mrakibu mwanadamizi wa Polisi (SSP) Jonas Mahanga(Picha na Frank Geofray-Jeshi la...

 

10 years ago

GPL

SIMBA HOI KWA POLISI MORO UWANJA WA TAIFA DAR

Kikosi cha timu ya Simba SC kilichoanza dhidi ya Polisi Moro na kuambulia sare ya bao 1-1 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kikosi cha timu ya Polisi Moro kilichoanza dhidi ya Simba SC.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Watford yaelekea kufuzu kwa Ligi Kuu

Mshambulizi wa Nigeria Odion Ighalo asema Watford ni sharti ishinde mechi mbili zilizosalia ili kucheza ligi kuu Uingereza

 

10 years ago

GPL

VODACOM YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU 14 ZA LIGI KUU‏ KWA AJILI YA MSIMU WA 2014/2015

Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Salum Mwalim,akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa kukabidhi vifaa kwa timu zinazoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom.  kushoto ni Meneja biashara wa TFF Peter Simon na kulia ni Afisa mtendaji mkuu wa bodi ya ligi Silas Mwakibinga.Timu 14 zimekabidhiwa vifaa vyenye thamani ya zaidi ya Sh 430 Milioni. Kutoka kushoto:… ...

 

10 years ago

Mwananchi

Viwanja vitakavyotumika kwa Ligi Kuu msimu huu

Ligi Kuu msimu wa 2014/15 itaanza Septemba 20 na itashirikisha timu 14 zitakazopigwa kwenye viwanja kumi katika mikoa tofauti nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani