Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


POLISI SINGIDA YAWATAKA WANANCHI KUPUUZA TAARIFA ZA WATU 14 KUUAWA WILAYANI MANYONI

Na Ismail Luhamba,Singida  JESHI la Polisi Mkoa wa Singida limewataka wananchi kupuuza habari zinazozagaa mitandaoni zinazodaiwa watu 14 wamekufa kwa kuchinjwa wilayani Manyoni.Akizungumza na Waandishi wa habari mjini hapa, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ASP) Sweetbert Njewike amesema taarifa iliyotolewa na  Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini , Godbless Lema ni ya uongo yenye lengo la kuleta taharuki kwa wananchi.‘’ Lema alitoa taarifa hiyo wakati akitoa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RC SINGIDA AKAGUA NA KUTEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI MANYONI


 Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Rehema Nchimbi (katikati) akivuta pazia kuashiria uzinduzi wa Bweni la Wanafunzi wa Kike wa Shule ya Sekondari ya Kinangali mkoani hapa jana. Kulia ni Katibu Tawala wa mkoa huo, Dk. Angelina Lutambi na kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni, Charles Fussi.

 Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Rehema Nchimbi (wa pili kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Bweni la Wanafunzi wa Kike wa Shule ya Sekondari ya Kinangali. Kutoka kulia ni Katibu Tawala...

 

10 years ago

GPL

KAMANDA WA POLISI MORO AKANUSHA WATU WATATU KUUAWA


Kamanda wa Polisi mkoani Morogoro, SACP Leonard Paul. Kamanda wa Polisi mkoani Morogoro, SACP Leonard Paul amekanusha kuwa habari zilizozagaa katika mitandao ya kijamii kuwa watu watatu wamefariki dunia wawili kati yao wanasadikiwa kuwa ni wafuasi wa Kundi la Kigaidi la Al Shabaab katika mapigano baina yao na jeshi la Polisi si kweli na kwamba hakuna mtu aliyefariki mkoani humo. Kamanda huyo, amelaani vikali tabia ya watu...

 

10 years ago

StarTV

Polisi Singida yatoa taarifa ya uchunguzi wa bomu.

Na Emmanuael Michael,

Singida.

Polisi Mkoani Singida imetoa taarifa rasmi juu ya uchunguzi wa mlipuko unaosadikiwa kuwa ni bomu la kutengenezwa kienyeji, uliotokea hivi karibuni nyumbani kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Halima Mpita na kusababisha madhara na hofu kubwa.

 

Uchunguzi huo wa mtaalamu wa milipuko kutoka Jeshi la Wananchi JWTZ Jijini Arusha umebaini kuwa, ingawa lengo lilikuwa kufanya mauaji lakini utengezaji wake haukukamilika vyema wala kufikia hatua...

 

9 years ago

StarTV

 Watanzania wahimizwa kupuuza taarifa za uzushi zitolewazo na vyama pinzani.

Katika harakati za kuahakikisha Chama cha mapinduzi kinaingia madarakani kwakumwaga sera zao pamoja na kutoa vipaumbele mbalimbali chama hicho kimeonyesha kupuuzia taarifa zinazoenezwa na baadhi ya vyama vya kisiasa hapa nchini wakati wakiwa katika harakati za kutafuta kura

Chama hicho cha mapinduzi kimewahimiza Watanzania kutoshawishiwa na baadhi ya wanasiasa wanaodaiwa kueneza taarifa zisizo na misingi yoyote kwa taifa.

Katika kampeni za kunadi sera za chama hicho Mkoani Tabora CCM...

 

9 years ago

StarTV

  Polisi yaomba wananchi kutoa taarifa kwa dola

 

Jeshi la Polisi nchini limewaomba wananchi kutoa taarifa katika vyombo vya Dola pindi wanapoona dalili za uvunjifu wa amani katika maeneo yote ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kauli hiyo imetolewa na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi nchini CP. Paul Chagonja alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya jeshi hilo jijini Dar es salaam.

 Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, CP Paul Chagonja anaanza kwa kuwapongeza wananchi na wadau wote wa usalama...

 

10 years ago

GPL

DEREVA WA MKUU WA WILAYA MANYONI,SINGIDA AJIUA

Muonekano wa Dereva huyo baada ya kujipiga risasi. Dereva wa Mkuu wa Wilaya Manyoni, Singida amejiua kwa kujipiga risasi kichwani leo, chanzo bado hakijajulikana japo ameacha ujumbe kuwa asilaumiwe mtu. Mtandao huu ulimpigia simu Mkuu wa Polisi Mkoa wa Singida ACP Geofrey Kamwela alisema amesikia tukio hilo lakini hakuwa na uhakika. "Naomba mnitafute baadaye nitakuwa na maelezo ya tukio hilo,"… ...

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI SINGIDA LAWEKA ULINZI MASAA 24 KUZUIA WATU KUPITA KATIKA MAZIWA YALIYOUNGANA







Askari polisi wakiwa katika barabara ya Mwaja iliyofungwa baada ya maji kujaa kufuatia maziwa mawili kuungana kutokana na mafuriko.
Ulinzi ukiimarishwa.
Ulinzi ukiimarishwa.
Wananchi wakiwa eneo la tukio.
Wananchi wakiwa eneo la tukio.


Na Ismail Luhamba, Singida

MAZIWA ya Kindai na SingidaMunangi yamegeuka na kuwa kivutio kikubwa Mkoani wa Singida na Mikoa ya jirani baada ya maziwa hayo kujaa maji na kuungana kufutia mvua kubwa inayonyesha mkoani humo.

Baada historia kujirudia kwa maziwa haya...

 

11 years ago

GPL

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI MHE. AMOS MAKALLA WILAYANI MANYONI

Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Amos Makalla akipata maelezo wa ujenzi wa bwawa la kijiji cha Itagate wilayani Manyoni.
Mhe. Amos Makalla (katikati) na Mbunge wa Manyoni, Capt John Chiligati (shati la kahawia) wakiangalia sehemu patakapochimbwa kisima kirefu cha kijiji cha…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani