Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DEREVA WA MKUU WA WILAYA MANYONI,SINGIDA AJIUA

Muonekano wa Dereva huyo baada ya kujipiga risasi. Dereva wa Mkuu wa Wilaya Manyoni, Singida amejiua kwa kujipiga risasi kichwani leo, chanzo bado hakijajulikana japo ameacha ujumbe kuwa asilaumiwe mtu. Mtandao huu ulimpigia simu Mkuu wa Polisi Mkoa wa Singida ACP Geofrey Kamwela alisema amesikia tukio hilo lakini hakuwa na uhakika. "Naomba mnitafute baadaye nitakuwa na maelezo ya tukio hilo,"… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Dereva wa OCD wilaya ya Manyoni ajipiga risasi na kufariki

TT_33_Pistol

Na Nathaniel Limu, Singida

DEREVA wa OCD wilaya ya Manyoni mkoa wa Singida,Aloyce Alibinus amefariki dunia papo hapo baada ya kujipiga risasi mdomoni na kutokea kisogoni.

Akizungumza kwa njia ya simu, OCD wilaya ya Manyoni ASSP, Alute Yusufu Makita,amesema tukio hilo limetokea jana februari mbili saa tano asubuhi Manyoni mjini.

Akifafanua alisema kuwa asubuhi ya jana dereva wake bila yeye kujua alikwenda kwenye ghala la kutunzia silaha na kuomba bunduki kwa madai kuwa wanaenda na bosi wake...

 

5 years ago

Michuzi

WILAYA YA MANYONI MKOANI SINGIDA WAPELEKEWA ELIMU KUJIKINGA VIRUSI VYA COVID-19


 Afisa wa Shirika la Sustanable Environment Management Action (SEMA) la Singida , Witness Anderson akionesha namna ya kunawa kwa usahihi kwa wananchi waliokuwa Stendi ya Mabasi ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida juzi, wakati wa kampeni ya utoaji elimu ya kujikinga na ugonjwa wa Corona iliyofanywa na shirika hilo kwa kushirikiana na Shirika la Empower Youth Prosperity  ( EYP) ya mkoani Mbeya kwa ufadhili wa Shirika la Stromme East Africa Foundation lenye Makao Makuu Kampala nchini  Uganda...

 

10 years ago

Habarileo

Dereva wa OCD ajiua kwa risasi

Thobias SedoyekaASKARI aliyekuwa dereva wa Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) Manyoni mkoani hapa, Aloyce Alibinus amejiua kwa kujipiga risasi mdomoni na kutokea kisogoni.

 

5 years ago

Michuzi

RC SINGIDA AKAGUA NA KUTEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI MANYONI


 Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Rehema Nchimbi (katikati) akivuta pazia kuashiria uzinduzi wa Bweni la Wanafunzi wa Kike wa Shule ya Sekondari ya Kinangali mkoani hapa jana. Kulia ni Katibu Tawala wa mkoa huo, Dk. Angelina Lutambi na kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni, Charles Fussi.

 Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Rehema Nchimbi (wa pili kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Bweni la Wanafunzi wa Kike wa Shule ya Sekondari ya Kinangali. Kutoka kulia ni Katibu Tawala...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dk. Magufuli akagua barabara yenye urefu wa km 89, Manyoni-Itigi Mkoani Singida

DSC03899

Waziri wa ujenzi Dk.John Magufuli, akipokelewa katika kijiji cha Chaya mpakani mwa Singida na mkoa wa Tabora na Kaimu meneja TANROADS mkoa wa Singida, Matari Masige. Dk.Magufuli alikuwa akitokea mkoa wa Tabora ambako alikuwa kikazi kakagua barabara.

Na Nathaniel Limu, Itigi

Waziri wa ujenzi, Dk. John Pombe  Joseph Magufuli, amewakumbusha wafanya biashara wanaosafirisha/mizigo kwa kutumia barabara, wahakikishe wanazingatia uzito uliowekwa kisheria, ili barabara zinazojengwa kwa gharama...

 

5 years ago

Michuzi

POLISI SINGIDA YAWATAKA WANANCHI KUPUUZA TAARIFA ZA WATU 14 KUUAWA WILAYANI MANYONI

Na Ismail Luhamba,Singida  JESHI la Polisi Mkoa wa Singida limewataka wananchi kupuuza habari zinazozagaa mitandaoni zinazodaiwa watu 14 wamekufa kwa kuchinjwa wilayani Manyoni.Akizungumza na Waandishi wa habari mjini hapa, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ASP) Sweetbert Njewike amesema taarifa iliyotolewa na  Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini , Godbless Lema ni ya uongo yenye lengo la kuleta taharuki kwa wananchi.‘’ Lema alitoa taarifa hiyo wakati akitoa...

 

11 years ago

Michuzi

Ziara ya naibu waziri maji Mhe Amos Makalla wilaya ya manyoni

Naibu Waziri wa Maji Mhe  Amos makalla akipata maelezo wa ujenzi wa bwawa la kijiji cha Itagate wilayani Manyoni  Mhe Amos Makalla ( katikati) na mbunge wa manyoni capt John chiligati (shati la kahawia) wakiangalia sehemu patakapochimbwa kisima kirefu kijiji cha Mbwasa Nawasilisha.  Mhe Amos Makalla ( katikati) na mbunge wa Manyoni Mhe  John chiligati (kulia) wakiangalia sehemu patakapochimbwa kisima kirefu katika kijiji cha Mbwasa

 

9 years ago

Mwananchi

Ajali yaua 12 singida, dereva atoweka

Abiria 12 wakiwemo wanaume saba na wanawake watano wamefariki baada ya basi walilopanda la kampuni ya Takibrii kugongana na lori la mafuta katika kijiji cha Kisonzo wilayani Iramba, Singida.Basi hilo lilikuwa linatokea Dar es Salaam kuelekea mji mdogo wa Katoro ulioko mkoani Geita.

 

10 years ago

GPL

AJALI YA LORI YAUA DEREVA SEKENKE, SINGIDA

Wananchi wakishuhudia lori la saruji lililopinduka na kuua dereva wake leo eneo la Milima ya Sekenke mkoani Singida. Pichani juu na chini malori mengine ya mizigo yakipita karibu na eneo la tukio.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani