Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi wakamata shotgun nyumbani kwa mwekezaji Z’bar

Mwekezaji ambaye ni raia wa Ufaransa (jina tunalihifadhi), anasakwa na polisi kwa madai ya kumiliki bunduki aina ya Shotgun iliyokamatwa nyumbani kwake eneo la Paje, Mkoa wa Kusini Unguja.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Polisi wakamata mabomu ya kivita Z’bar

Mabomu manne ya kivita yamekamatwa yikiwa yamehifadhiwa chini ya ardhi huko katika mji mdogo wa Daraja Bobu Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na bomu moja likihusishwa kutumika katika mlipuko uliosababisha kifo cha mtu mmoja Juni 13 mwaka huu katika Manispaa ya Unguja.

 

11 years ago

Habarileo

Polisi Z’bar wakamata silaha za kivita

POLISI Zanzibar, wamefanikiwa kukamata silaha mbili za vita na risasi 40 zinazosadikiwa kutumika katika matukio mbalimbali ya kihalifu, likiwemo la mauaji ya askari polisi mmoja lililotokea Machi 2, mwaka huu huko kwenye Hoteli ya Kitalii ya Pongwe Bay mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwekezaji ajeruhi watu sita kwa risasi Z’bar

Jeshi la Polisi Zanzibar linamshikilia mwekezaji kutoka Ufaransa, Ivan Kodeh kwa tuhuma za kuwajeruhi watu sita wakiwamo waandishi wa habari kwa risasi baada ya uongozi wa Hoteli ya Cristal kudaiwa kugoma kukabidhi madaraka kwa uongozi mpya huko Paje, Mkoa wa Kusini Unguja.

 

11 years ago

Michuzi

MSAMA AUCTION MART KWA KUSHIRIKIANA NA JESHI LA POLISI WAKAMATA VIFAA MBALIMBALI VYA KUDURUFU KAZI ZA WASANII

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani), moja kati ya mashine 4 za  kurudufu CD  feki zilizokamatwa katika eneo la Kimara jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Ofisa wa Polisi, D/SSGT Daniel Gingo. (Picha na Francis Dande)
 Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani), wino unaotumika kunakshia makasha ya CD feki wanazozitengeneza
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions,...

 

11 years ago

Dewji Blog

Msama Auction Mart kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi wakamata vifaa mbalimbali vya Kkdurufu kazi za wasanii

Pg.21

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani), moja kati ya mashine 4 za  kurudufu CD  feki zilizokamatwa katika eneo la Kimara jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Ofisa wa Polisi, D/SSGT Daniel Gingo.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani), wino unaotumika kunakshia makasha ya CD feki wanazozitengeneza.

2

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama...

 

11 years ago

GPL

MSAMA AUCTION MART KWA KUSHIRIKIANA NA JESHI LA POLISI WAKAMATA VIFAA MBALIMBALI VYA KUDURUFU KAZI ZA WASANII‏

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani), moja kati ya mashine 4 za  kurudufu CD  feki zilizokamatwa katika eneo la Kimara jijini Dar es Salaam. Kulia ni Ofisa wa Polisi, D/SSGT Daniel Gingo. Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama…

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi wakamata majangili sugu 40

Kikosi kazi kilichoundwa na Serikali kudhibiti matukio ya ujangili, kimefanikiwa kuvunja mtandao wa ujangili kwa kuwakamata watuhumuhiwa zaidi ya 40 na silaha mbalimbali.

 

11 years ago

Mwananchi

Mke wa polisi afia nyumbani kwa dereva wa bodaboda

Jeshi la Polisi linamshikilia dereva mmoja wa pikipiki, maarufu kama bodaboda wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro baada ya mke wa askari polisi kukutwa amekufa chumbani kwa dereva huyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani