Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwekezaji ajeruhi watu sita kwa risasi Z’bar

Jeshi la Polisi Zanzibar linamshikilia mwekezaji kutoka Ufaransa, Ivan Kodeh kwa tuhuma za kuwajeruhi watu sita wakiwamo waandishi wa habari kwa risasi baada ya uongozi wa Hoteli ya Cristal kudaiwa kugoma kukabidhi madaraka kwa uongozi mpya huko Paje, Mkoa wa Kusini Unguja.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

MWEKEZAJI AJERUHI WATU SITA KWA RISASI ZANZIBAR

Jeshi la Polisi Zanzibar linamshikilia mwekezaji kutoka Ufaransa, Ivan Kodeh kwa tuhuma za kuwajeruhi watu sita wakiwamo waandishi wa habari kwa risasi baada ya uongozi wa Hoteli ya Cristal kudaiwa kugoma kukabidhi madaraka kwa uongozi mpya huko Paje, Mkoa wa Kusini Unguja.
Naibu Mkurugenzi wa Upelelezi na Makosa ya Jinai Zanzibar (DDCI), Salum Msangi aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi saa tano asubuhi katika hoteli hiyo.

Aliwataja waliojeruhiwa kuwa ni...

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi wakamata shotgun nyumbani kwa mwekezaji Z’bar

Mwekezaji ambaye ni raia wa Ufaransa (jina tunalihifadhi), anasakwa na polisi kwa madai ya kumiliki bunduki aina ya Shotgun iliyokamatwa nyumbani kwake eneo la Paje, Mkoa wa Kusini Unguja.

 

11 years ago

Mwananchi

Watatu wauawa kwa risasi, sita wajeruhiwa

Watu wawili akiwamo mwanafunzi wa kidato cha tatu wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa kwa kupigwa risasi na kundi la watu wanne waliokuwa wakitumia silaha aina ya SMG na SAR katika Kijiji cha Alidonyowassu, Tarafa ya Loliondo, wilayani Ngorongoro.

 

11 years ago

Mwananchi

Askari FFU Z’bar auawa kwa risasi

Askari wa Kikosi cha FFU, Mohamed Mjombo (Namba E 5607) ameuawa kwa kupigwa risas, huku mwingine akijeruhiwa baada ya majambazi kuvamia hoteli ya kitalii ya Pongwe Bay iliyo Pongwe mkoani Kusini Unguja.

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu saba wauawa kwa risasi Burundi

Watu saba wameuawa katika mji mkuu wa Burundi, Bujumbura kufuatia kinachodaiwa kuwa jaribio la wizi katika benki moja.

 

11 years ago

Mwananchi

Ofisa wa jeshi adaiwa kuua watu kwa risasi

>Watu wawili inadaiwa wameuawa na mmoja kujeruhiwa eneo la Pugu Kinywamwezi baada ya kupigwa risasi na ofisa mmoja wa jeshi wakati walipopanda katika gari lake huku wakishangilia kuanza kwa Mwaka Mpya wa 2014.

 

10 years ago

Habarileo

Mwanafunzi wa darasa la sita abakwa na watu sita

MWANAFUNZI wa darasa la sita mwenye umri wa miaka 13 wa shule ya msingi ya Themi iliyopo jijini Arusha mkoani Arusha hali yake siyo nzuri baada ya kunajisiwa na watu sita.

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania bloggers network (TBN) yatoa rambirambi kwa mwanahabari wa familia ya watu sita waliofariki kwa ajali ya moto

 Mwenyekiti wa muda wa Chama cha Bloggers Tanzania (Tanzania Bloggers Network - TBN ), Joachim Mushi (kulia) akitoa poe na kisha kukabidhi ubani wa fedha shilingi laki tano (500,000/-) jana zilizotolewa kwa mwanahabari wa Kitulo FM ya Njombe Bw. Conrad Mpila kama pole toka TBN baada ya kupoteza ndugu watano wa familia moja katika ajali ya moto iliyotokea hivi karibuni na kuua watu sita eneo la Kipunguni jijini Dar es Salaam. Katikati ni mmoja wa wajumbe wa TBN, Dotto Mwaibale. TBN ilishiriki...

 

10 years ago

GPL

TANZANIA BLOGGERS NETWORK (TBN) YATOA RAMBIRAMBI KWA MWANAHABARI WA FAMILIA YA WATU SITA WALIOFARIKI KWA AJALI YA MOTO

Mwenyekiti wa muda wa Chama cha Bloggers Tanzania (Tanzania Bloggers Network - TBN ), Joachim Mushi (kulia) akitoa pole na kisha kukabidhi ubani wa fedha shilingi laki tano (500,000/-) jana zilizotolewa kwa mwanahabari wa Kitulo FM ya Njombe Bw. Conrad Mpila kama pole toka TBN baada ya kupoteza ndugu watano wa familia moja katika ajali ya moto iliyotokea hivi karibuni na kuua watu sita eneo la Kipunguni jijini Dar es Salaam....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani