Polisi wakana mauaji ya wakazi Tanzania
Polisi nchini TZ wamekana madai ya ukiukaji haki za binadamu na mauaji ya wakazi wa Nyamongo eneo linalozunguka mgodi wa dhahabu
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Polisi wakana kuhusika na mauaji
Utata umegubika mazingira ya kifo cha Emmanuel Mtongori (20), Mkazi wa Kijiji cha Rung’abure wilayani Serengeti.
11 years ago
BBCSwahili05 Sep
Polisi wakana mauaji migodini TZ
Wamekanusha madai ya mauaji ya wakazi wa eneo la Nyamongo linalozunguka mgodi wa machimbo ya dhahabu Wilayani Tarime
11 years ago
BBCSwahili22 Apr
Waasi wa Sudan Kusini wakana mauaji
Waasi nchini Sudan Kusini wamekanusha madai yaliyotolewa na Umoja wa Mataifa kuwa waliwaua raia mjini Bentiu kwa misingi ya ukabila.
11 years ago
Mwananchi05 Feb
Raia wa China wakana kuhonga polisi mamilioni
>Raia Watatu wa China, Huang Gin, Xu Fujie na Chen Jinzha wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, wamedaiwa kutoa hongo ya Sh30.2 milioni kwa Polisi ili wasiwakamate.
11 years ago
Michuzi
USAILI WA JESHI LA POLISI TANZANIA KWA WAKAZI WA MBEYA

Muhimu:
• Mwombaji anaruhusiwa kufanya usaili kwenye kituo chochote cha...
5 years ago
MichuziJESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LAKAMATA WATUHUMIWA WA TUKIO LA MAUAJI, AKIWEMO POLISI
Ni kwamba mnamo tarehe 20.06.2020 majira ya saa 21:00 Usiku huko katika nyumba ya kulala wageni iitwayo “The...
10 years ago
GPL
MAUAJI YA POLISI SASA TISHIO
Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
HALI ni tete! Matukio ya mauaji ya askari polisi sasa ni tishio. Hilo limebainika kufuatia Mkuu wa Kikosi cha Kupambana na Majambazi Mkoa wa Morogoro, ASP Elibariki Israel Palangyo (53) kuuawa kwa kupigwa risasi na watu wenye harufu ya ugaidi, Uwazi limechimba. Â ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1hv1WxB ...
10 years ago
GPL
UKWELI MAUAJI POLISI STAKISHARI
Na Timu ya Uwazi
TAKRIBANI siku 9 tangu kutokea kwa uporaji wa silaha na mauaji ya askari wanne na raia watatu katika Kituo cha Polisi Stakishari jijini Dar es Salaam, moshi mweupe wa ukweli umenza kufuka. Uchunguzi na vyanzo mbalimbali vya habari wakiwemo polisi ambao hawakutaka kutajwa majina yao, umesaidia timu ya waandishi wetu kubaini jinsi tukio hilo la kinyama lilivyofanyika....habari na picha zote...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania