Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Raia wa China wakana kuhonga polisi mamilioni

>Raia Watatu wa  China, Huang Gin,  Xu Fujie na  Chen Jinzha wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi  katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, wamedaiwa kutoa hongo ya Sh30.2 milioni kwa Polisi ili wasiwakamate.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAWASHIKILIA RAIA WANNE WA NCHINI CHINA WAKIWA NA PEMBE 11 ZINAZODHANIWA ZA FARU.





JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAWASHIKILIA WATU WANNE RAIA WA CHINA WAKIWA NA PEMBE 11 ZINAZODHANIWA ZA FARU. RAIA HAO WALIFAHAMIKA KWA MAJINA YA 1. XIAO SHAODAN (29) AKIWA NA PASSPORT NAMBA G.29624553 ILIYOTOLEWA NCHINI CHINA 2. CHEN JIANLIN (33) AKIWA NA PASSPORT NAMBA E.09800855 ILIYOTOLEWA NCHINI CHINA 3. SONG LEI (30) AKIWA NA PASSPORT NAMBA G.52064944 ILIYOTOLEWA NCHINI CHINA NA 4. HU LIANG (30) WOTE WAKAZI WA BLANTYRE NCHINI MALAWI.


WATUHUMIWA HAO WALIKAMATWA MNAMO TAREHE...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kenya: Raia alichapwa viboko na raia wa China baada ya kusemekana alichelewa kazini

Kenya raia wanne wa Uchina wamekamatwa na polisi Kenya baada ya kusambaa kwa video mtandaoni ikionesha mkenya akichapwa viboko.

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi wakana kuhusika na mauaji

Utata umegubika mazingira ya kifo cha Emmanuel Mtongori (20), Mkazi wa Kijiji cha Rung’abure wilayani Serengeti.

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi wakana mauaji migodini TZ

Wamekanusha madai ya mauaji ya wakazi wa eneo la Nyamongo linalozunguka mgodi wa machimbo ya dhahabu Wilayani Tarime

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi wakana mauaji ya wakazi Tanzania

Polisi nchini TZ wamekana madai ya ukiukaji haki za binadamu na mauaji ya wakazi wa Nyamongo eneo linalozunguka mgodi wa dhahabu

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema Ampeleka Diamond Polisi, Kisa ni Deni la Mamilioni

<span 1.6em;"="">Mwigizaji wa filamu nchini Wema Sepetu ‘Wema’, amemfungulia kesi ya madai mpenzi wake wa zamani ambaye ni mwanamuziki wa bongo fleva, Nassib Abdul ‘Diamond’, kwa kumtapeli kiasi cha Sh milioni 10.

Kwa mujibu wa mtandao wa Shirika la Utangazaji (BBC) idhaa ya Kiswahili, Wema aliripoti madai yake kituo cha Polisi Oysterbay akidai kuwa alimpatia mwanamuziki huyo kiasi hicho kwa makubaliano ya kazi na kuahidi kumlipa, lakini amekwenda kinyume makubaliano yao.

Muhusika mkuu...

 

10 years ago

Mwananchi

Majambazi yaua polisi, yachota mamilioni NMB Mkuranga

 Mkuranga. Majambazi watatu, wakiwa na silaha aina ya SMG, jana asubuhi waliua askari mmoja na kujeruhi watu wengine wawili na baadaye kupora bunduki na mamilioni ya fedha kwenye benki ya NMB, Tawi la Mkuranga  mkoani hapa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Raia wa china na udanganyifu kielimu

Raia 15 wa China wamefunguliwa mashitaka nchini Marekani kwa tuhuma za udanganyifu wa matokeo na nyaraka za kitaaluma walizozitumia kujiunga na elimu ya juu nchini Marekani.

 

5 years ago

CCM Blog

RAIA WA CHINA KUFIKISHWA MAHAKAMANI

Jeshi la polisi Mkoa wa Katavi linatarajia kumfikisha mahakamani raia mmoja wa China Lin Guosong (34) mfanyabiashara wa Majengo Sumbawanga akituhumiwa kukiuka amri halali iliyowekwa na Serikali  ya  kunawa mikono kujikinga na corona.

Akizungumza na Mwananchi kwa njia ya simu leo Aprili 11,2020 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Benjamini Kuzaga amesema mtuhumiwa amekiuka utaratibu huo Aprili 5, 2020 katika kizuizi cha Ntibili Majimoto.

"Mtuhumiwa alikuwa anaendesha gari lenye namba za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani