Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Raia wa china na udanganyifu kielimu

Raia 15 wa China wamefunguliwa mashitaka nchini Marekani kwa tuhuma za udanganyifu wa matokeo na nyaraka za kitaaluma walizozitumia kujiunga na elimu ya juu nchini Marekani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Kenya: Raia alichapwa viboko na raia wa China baada ya kusemekana alichelewa kazini

Kenya raia wanne wa Uchina wamekamatwa na polisi Kenya baada ya kusambaa kwa video mtandaoni ikionesha mkenya akichapwa viboko.

 

5 years ago

CCM Blog

RAIA WA CHINA KUFIKISHWA MAHAKAMANI

Jeshi la polisi Mkoa wa Katavi linatarajia kumfikisha mahakamani raia mmoja wa China Lin Guosong (34) mfanyabiashara wa Majengo Sumbawanga akituhumiwa kukiuka amri halali iliyowekwa na Serikali  ya  kunawa mikono kujikinga na corona.

Akizungumza na Mwananchi kwa njia ya simu leo Aprili 11,2020 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Benjamini Kuzaga amesema mtuhumiwa amekiuka utaratibu huo Aprili 5, 2020 katika kizuizi cha Ntibili Majimoto.

"Mtuhumiwa alikuwa anaendesha gari lenye namba za...

 

11 years ago

Habarileo

DPP apinga dhamana ya raia 3 wa China

MKURUGENZI wa Mashitaka (DPP) amewasilisha hati ya kupinga ombi la dhamana ya raia watatu wa China, wanaokabiliwa na kesi ya kukutwa na meno ya tembo yenye thamani ya Sh bilioni 5.4.

 

11 years ago

Mwananchi

Raia wa China wakana kuhonga polisi mamilioni

>Raia Watatu wa  China, Huang Gin,  Xu Fujie na  Chen Jinzha wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi  katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, wamedaiwa kutoa hongo ya Sh30.2 milioni kwa Polisi ili wasiwakamate.

 

5 years ago

CCM Blog

RAIA WA CHINA MTAFITI WA CORONA AUAWA MAREKANI

Bing LiuHaki miliki ya pichaUNIVERSITY OF PITTSBURGHMauaji ya raia wa China, mtafiti wa masuala ya virusi vya corona kwenye ardhi ya Marekani yamesababisha nadharia mbalimbali duaniani kuwa kuna sababu iliyojificha kuhusu kifo chake.Bing Liu, profesa msaidizi mwenye miaka 37 katika Chuo Kikuu cha Tiba cha Pittsburgh, Marekani alipatikana akiwa amekufa nyumbani kwake siku ya Jumamosi.Wenzake walisema alikuwa karibu kupata "matokeo muhimu" ya tafiti kuhusu Covid-19, tukio lililosababisha kuwepo kwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Jinsi raia wa China wanavyobaguliwa Kenya

Huku dunia ikiendelea kukabiliana na kusambaa kwa virusi vya corona katika mataifa tofauti, raia wa China na bara Asia wanakabiliwa na ubaguzi wa rangi.

 

10 years ago

Mwananchi

Raia wa China akutwa na nyara akijiandaa kusafiri

Raia wa China, amekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), akiwa na kucha 10 za simba zenye thamani ya Sh8.3 milioni.

 

9 years ago

StarTV

Raia wanne wa China wahukumia miaka 20 jela

Mahakama ya Mkoa wa Mbeya imewahukumu kifungo cha miaka 20 jela raia wanne wa China baada ya kuwakuta na hatia ya kuingiza nchini pembe 11 za Faru kinyume na Sheri ya Wanyamapori namba tano ya mwaka 2009 na Sheria ya Uhujumu Uchumi ya Tanzania.

Katika adhabu hiyo Mahakama pia imeamuru kutaifishwa kwa gari binafsi namba T 103 DER iliyotumiwa na raia hao wa China kuingiza pembe hizo nchini Novemba 6 mwaka huu kutoka nchini Malawi kupitia mpaka wa Kasumulo uliopo wilayani Kyela mkoani...

 

9 years ago

Mwananchi

Raia wa China aunganishwa kesi ya uhujumu uchumi

Raia wa China, Li Ling Ling ameunganishwa katika kesi ya uhujumu uchumi kwa  kuchora michoro ya kihalifu ya kusafirisha nyara za serikali zenye thamani ya Sh 267.4 milioni na matumizi mabaya ya madaraka inayowakabili maofisa usalama wanne wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania (TAA).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani