DPP apinga dhamana ya raia 3 wa China
MKURUGENZI wa Mashitaka (DPP) amewasilisha hati ya kupinga ombi la dhamana ya raia watatu wa China, wanaokabiliwa na kesi ya kukutwa na meno ya tembo yenye thamani ya Sh bilioni 5.4.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi17 Nov
DPP apinga mtuhumiwa kesi ya Mwamunyange kupewa dhamana
11 years ago
Habarileo04 Mar
Ponda apinga uamuzi wa DPP
KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda ameiomba mahakama kutupilia mbali pingamizi la awali, lililowasilishwa na Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) dhidi ya ombi lake la marejeo. Alidai hayo jana mbele ya Jaji Augustine Mwarija wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kupitia kwa Wakili wake, Juma Nassoro.
9 years ago
Mtanzania11 Nov
DPP aendelea kushikilia dhamana ya mwanafunzi DIT
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
MKURUGENZI wa Mashitaka (DPP), ameeleza kwamba sababu zake za kuzuia dhamana kwa anayetuhumiwa kutoa taarifa za uongo kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davis Mwamnyange amelishwa sumu, bado zinaendelea.
Mtuhumiwa huyo ni mwanafunzi wa Chuo cha Teknolojia Dar es Salaam (DIT), Benedict Ngonyani
Wakili wa Serikali Mwandamizi, Theophil Mutakyawa, alidai hayo jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Respicius Mwijage.
Aliyasema...
11 years ago
Habarileo02 May
Watendaji DPP Z’bar wataka dhamana ifutwe kwa wabakaji
WANASHERIA kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar (DPP) wametaka Serikali kufuta dhamana kwa watuhumiwa wa makosa ya ubakaji kwa lengo la kupunguza matukio hayo ambayo yamekuwa yakidhalilisha watoto ikiwemo wanawake na wanaume.
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Kenya: Raia alichapwa viboko na raia wa China baada ya kusemekana alichelewa kazini
10 years ago
BBCSwahili29 May
Raia wa china na udanganyifu kielimu
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-oOHmo8VfZss/XpH8Ca8h3tI/AAAAAAABnHw/hTo_aGa6umo5HbMFztUpz0WmTH7EGj2CACLcBGAsYHQ/s72-c/images.jpg)
RAIA WA CHINA KUFIKISHWA MAHAKAMANI
![](https://1.bp.blogspot.com/-oOHmo8VfZss/XpH8Ca8h3tI/AAAAAAABnHw/hTo_aGa6umo5HbMFztUpz0WmTH7EGj2CACLcBGAsYHQ/s640/images.jpg)
Akizungumza na Mwananchi kwa njia ya simu leo Aprili 11,2020 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Benjamini Kuzaga amesema mtuhumiwa amekiuka utaratibu huo Aprili 5, 2020 katika kizuizi cha Ntibili Majimoto.
"Mtuhumiwa alikuwa anaendesha gari lenye namba za...
9 years ago
StarTV18 Dec
Raia wanne wa China wahukumia miaka 20 jela
Mahakama ya Mkoa wa Mbeya imewahukumu kifungo cha miaka 20 jela raia wanne wa China baada ya kuwakuta na hatia ya kuingiza nchini pembe 11 za Faru kinyume na Sheri ya Wanyamapori namba tano ya mwaka 2009 na Sheria ya Uhujumu Uchumi ya Tanzania.
Katika adhabu hiyo Mahakama pia imeamuru kutaifishwa kwa gari binafsi namba T 103 DER iliyotumiwa na raia hao wa China kuingiza pembe hizo nchini Novemba 6 mwaka huu kutoka nchini Malawi kupitia mpaka wa Kasumulo uliopo wilayani Kyela mkoani...
11 years ago
Mwananchi05 Feb
Raia wa China wakana kuhonga polisi mamilioni