Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi wambaini kinara wa wizi wa mabenki Dar

Mtuhumiwa kinara wa wizi wa mabenki, Ronald Mollel JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limefanikiwa kubaini mtuhumiwa kinara wa wizi wa mabenki, Ronald Mollel (37), ambaye ni mume wa Meneja wa Benki ya Barclays tawi la Kinondoni, Alune Kasililika, anayeshikiliwa na jeshi hilo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIA WATATU WA KIGENI WAKAMATWA KWA MAKOSA YA WIZI WA MTANDAO KATIKA MABENKI JIJINI DAR ES SALAAM.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watuhumiwa watatu raia wa kigeni kwa makosa yanayohusiana na wizi wa mtandao kwa lengo la kuiba  katika vyombo vya fedha kama mabenki, maduka ya kubadilishia fedha (Bureau de Change) au kuingilia miamala ya fedha zinazosafirishwa na wateja kutoka nje na ndani ya nchi. 
Polisi wa kikosi Maalum cha kupambana na wizi wa mtandao (Cyber Crime) walipata taarifa za kuaminika kwamba watu hao watatu walikuwa katika mazingira ya kutiliwa...

 

10 years ago

Ykileo

MAMILIONI YA DOLA YAIBIWA KATIKA MABENKI KUPITIA WIZI MTANDAO

Baada ya kikao kilichofanyika wiki iliyopita chuo kikuu cha Stafford ambapo Rais Obama wa marekani alikutana na wafanya biashara, Wanasheria na wasimamizi washeria kujadili hali ya mtikisiko wa maswala ya usalama mitandao, Inadhihirisha wazi bado kuna safari ndefu kukabiliana na wimbi hili la uhalifu mtandao duniani kote.


Hii ni kutokana na ukweli kwamba Tishio la uhalifu mtandao na utayari wa kukabiliana nao bado kuna kutowiana ipasavyo ingawa jitihada bado ni kubwa kuweza kukabiliana na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kinara wa wizi Barclays atajwa

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limemtaja Ronald Mollel (37) mkazi wa Kimara Bonyokwa kuwa ndiye kinara wa wizi uliofanyika Aprili 15 mwaka huu katika Benki ya...

 

10 years ago

Michuzi

POLISI MNAWAFAHAMU WATUHUMIWA HAWA! WIZI WA KITAPELI KWA SIMU ZA MKONONI WAKITHIRI KARIKAKOO DAR.


Baadhi ya vijana wanaofanya utapeli kwa kutumia vipande vya sabuni wakikimbia baada ya kunaswa na kamera ya bloger wetu wakiwa katika jitihada za kumwibia mmoja wapita njia katika mtaa wa Uhuru Dar es Salaam leo asubuhi. 

Kwa Mujibu wa shuhuda vijana hao huwa kundi na baadhi huangalia mwenzao akitekeleza uhalifu wakati wao wakihakikisha wanampa ishara ya kufuatiliwa na kutoa ishara waonapo mazingira ya mchakato kushindikana ama hali kuwa tete kwa mwenzao iwapo mnunuzi wa simu atakuwa...

 

10 years ago

GPL

MTUHUMIWA KINARA WA MAUAJI YA POLISI

Makongoro Oging’ na Issa Mnaly, Mkuranga WAKATI jeshi la polisi nchini likiendelea kuwasaka watuhumiwa wa mauaji ya polisi na kupora silaha katika Kituo cha Stakishari, Ilala jijini Dar, Uwazi limefanikiwa kuipata picha ambayo inadaiwa ni ya mtuhumiwa kinara wa tukio hilo aliyetajwa kwa jina la Seleman Shaban Ulatule. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1GWYmRq ...

 

10 years ago

Vijimambo

Mtuhumiwa kinara mauaji ya polisi


Kinara, Selemani Shabani Ulatule.
Makongoro Oging’ na Issa Mnaly, Mkuranga,GPL
WAKATI jeshi la polisi nchini likiendelea kuwasaka watuhumiwa wa mauaji ya polisi na kupora silaha katika Kituo cha Stakishari, Ilala jijini Dar, Uwazi limefanikiwa kuipata picha ambayo inadaiwa ni ya mtuhumiwa kinara wa tukio hilo aliyetajwa kwa jina la Seleman Shaban Ulatule.
ENEO LA TUKIO
Mwishoni mwa wiki iliyopita, wanahabari wetu walifika katika Kijiji cha Mandikongo, Mkuranga, Pwani na wakazi wa maeneo ya...

 

5 years ago

Michuzi

WATU WANNE MIKONONI MWA POLISI KWA TUHUMA ZA WIZI WA MABILIONI YA FEDHA YA BENKI YA NBC, POLISI TISA NAO MBARONI

Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu wanne waliokuwa wafanyakazi wa kampuni ya ulinzi ya G4S Security kwa tuhuma za wizi wa Sh.1.280,000,000, Dola za Marekani 402,000 na Euro 27,700 huku pia likiwashikilia askari wa polisi tisa kwa tuhuma za kuchukua sehemu ya fedha hizo kutoka kwa mmoja ya watuhumiwa. 
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam , Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amewataja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani