POLISI WAMNASA MWANGA USIKU
![](http://api.ning.com:80/files/NFpLPbeZNYBgyDVrUvcbQXvV0t6O-JTkk-qui*cODXrl8jL5w4L43kHMdlIdOb-DXUzqavq8tkusfAeW7lREG2isGh8YNGMu/mwanga.jpg?width=650)
Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa  Mtu mmoja asiyefahamika jina anayedaiwa kuwa ni mwanga amenaswa na polisi baada ya kudondoka katika eneo la Ilala Bungoni, jijini Dar akiwa kama alivyozaliwa. Tukio hilo lilitokea Jumamosi iliyopita kuamkia Jumapili saa kumi usiku wakati mtu huyo alipodaiwa kudondoka akiwa na ungo, hirizi na kusabababisha watu waliokuwa eneo hilo kutahamaki. Chanzo chetu kimesema...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi15 Jun
Polisi wamnasa mtesaji wa mtoto Dar
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Wananchi Mwanga walalamikia operesheni ya polisi
11 years ago
Mwananchi24 Mar
Shahidi aeleza mengi mauaji ya polisi Mwanga
11 years ago
MichuziKAMISHNA WA POLISI JAMII NCHINI,MUSA ALI MUSA AFANYA ZIARA WILAYA YA MWANGA
10 years ago
Habarileo27 Jan
Walioua polisi wasakwa usiku na mchana
JESHI la polisi mkoani Pwani linaendelea na msako mkali kutafuta watu walioua askari wawili wa jeshi hilo na kuiba silaha katika kituo cha polisi Ikwiriri wilayani Rufiji.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-AtvCqIAk4Pc/XufaY3tfSSI/AAAAAAALt8U/OAtryLERFL8r76vYfX6kU5sUSd2i_L5CACLcBGAsYHQ/s72-c/MTAMIKE.jpg)
CCM Njombe wamnasa Diwani wa kata ya MjiMwema
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-Ak3RpkgMWWM/XoeXtt2QuUI/AAAAAAAAnPc/gaPsBRLqNOgZxaq2KhM079klG4sucxR3QCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
ASKARI HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI WAMNASA MUHALIFU WA GARI
![](https://1.bp.blogspot.com/-Ak3RpkgMWWM/XoeXtt2QuUI/AAAAAAAAnPc/gaPsBRLqNOgZxaq2KhM079klG4sucxR3QCLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-CkBXbJXbbT8/XoeXt3FUCbI/AAAAAAAAnPg/EQcCsuWH0oEkWdc8LlwdD9r-qc2kJFz0gCLcBGAsYHQ/s640/2.jpg)
5 years ago
MichuziCCM wamnasa Kigogo aliyewahi kuwa mkuu wa Idara ya Sera na Itifaki CHADEMA
Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Chama cha NCCR Mageuzi,Mkuu wa Idara ya Sera na Itifaki CHADEMA,Mjumbe wa kamati ya Ukawa na kampeni meneja wa Mgombea wa Makam wa Rais Ukawa Bwana,Juju Martin Danda amepokelewa na Chama cha Mapinduzi CCM na kukabidhiwa kadi ya Chama hicho na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Njombe.
Akizungumza dhamira ya kujiunga na Chama hicho,Martin Danda amesema ni kutokana na uozo uliopo katika vyama vya upinzani.
“Nilifanya harakati...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/f5QbJIEIZ4xoPpbdcMefMJtyZyR9kJvINTrCIUYJeftH-DTtfMZc6zoWHrSe03u*rwM7dRvinVPBszOSCSn*MKXRLuWoSH8V/Wema.jpg)
POLISI WAMKAMATA WEMA SEPETU AKIDAIWA KUPIGA MUZIKI KWA SAUTI USIKU