Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi wamnasa mtesaji wa mtoto Dar

Polisi wamefanikiwa kumnasa mwanamke anayedaiwa kumtesa kwa kipigo na kumng’ata mtoto Merina Mathayo (15), kumsababishia majeraha makubwa kichwani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

POLISI WAMNASA MWANGA USIKU

Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
 Mtu mmoja asiyefahamika jina anayedaiwa kuwa ni mwanga amenaswa na polisi baada ya kudondoka katika eneo la Ilala Bungoni, jijini Dar  akiwa kama alivyozaliwa. Tukio hilo lilitokea Jumamosi iliyopita kuamkia Jumapili  saa kumi usiku wakati mtu huyo alipodaiwa kudondoka akiwa na ungo, hirizi na kusabababisha watu waliokuwa eneo hilo kutahamaki. Chanzo chetu kimesema...

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi Dar atuhumiwa kuiba mtoto Mbeya

Polisi wa kike anayefanya kazi Kituo cha Polisi Ilala, Dar es Salaam amekamatwa jijini Mbeya kwa tuhuma za kuiba mtoto mchanga wa siku saba, Goodluck Salehe wilayani Kyela.

 

10 years ago

Vijimambo

ALIYEMLAWITI MTOTO WA DARASA LA TATU AACHIWA HURU NA ASKARI POLISI JIJINI DAR.




Moja ya matukio yaliyowahi kutokea ambapo katika picha hii ya maktaba, Mtoto wa umri wa miaka sita (jina limehifadhiwa) alinusurika kubakwa Manispaa ya Tabora hivi karibuni na Mwanaume mmoja eneo la Kaloleni. 

Kesi ya mwanafunzi wa darasa la tatu (jina linahifadhiwa) katika Shule ya Msingi Ukombozi iliyofunguliwa katika Kituo cha Polisi cha Urafiki, jijini Dar es Salaam baada ya kudaiwa kulawitiwa imefutwa.

Kesi hiyo ambayo ilifunguliwa Septemba 15, mwaka huu kituoni hapo, ikimkabili mtuhumiwa...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA POLISI JIJINI DAR: MAJAMBAZI WAWILI WAUAWA DAR WAKATI WA MAPAMBANO KATI YAO NA ASKARI WA JESHI LA POLISI

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata silaha moja aina ya SMG yenye namba BA172288  na risasi kumi na tatu wakati wa  mapambano makali ya ana kwa ana kati ya majambazi na Jeshi la Polisi.  Aidha katika tukio hilo majambazi wawili waliuawa  kwa risasi wak ati wakijaribu kuwadhuru askari.  
Tukio hilo lilitokea eneo la Kariakoo mtaa wa Mkunguni na Livingstone saa 3.00hrs usiku. Wakati wa tukio hilo umeme ulikuwa hakuna na mlalamikaji alikuwa anatumia taa za...

 

5 years ago

Michuzi

CCM Njombe wamnasa Diwani wa kata ya MjiMwema

Na Amiri kilagalila,Njombe Chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Njombe, kimefanikiwa kumnasa na kumkabidhi kadi ya uanachama aliyekuwa diwani wa kata ya Mjimwema mjini Njombe kupitia tiketi ya CHADEMA Abuu Mtamike huku kikikiri kuwa amewasumbua kwa muda mrefu kama alivyowasumbua aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema mkoa Fakii Lulandala. Katika kikao cha kumpokea diwani huyo viongozi mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi na serikali wamesema bwana Mtamike sasa ameutambua ukweli juu ya kazi kubwa...

 

5 years ago

CCM Blog

ASKARI HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI WAMNASA MUHALIFU WA GARI

 Kijana aliyefahamika kwa Jina la Saidi Matanga (40) ambaye ni Mkazi wa Yombo Jijini Dar es Salaam, Dereva wa Gari lenye namba za Usajili T 514 DRJ amejikuta akiwa katika Ulizi mkali chini ya Askari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili mara baada ya kutaka kujaribu kupora gari lenye namba za Usajili T 233 DSD mali ya Abdi Kijazi Mkazi wa Yombo Vituka. ambapo amefikishwa katika Kituo cha Polisi cha Selander Bridge kilichopo Upanga. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
 Gari lililotaka kuporwa na Saidi Matanga...

 

5 years ago

Michuzi

CCM wamnasa Kigogo aliyewahi kuwa mkuu wa Idara ya Sera na Itifaki CHADEMA

Na Amiri Kilagalila,Njombe

Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Chama cha NCCR Mageuzi,Mkuu wa Idara ya Sera na Itifaki CHADEMA,Mjumbe wa kamati ya Ukawa na kampeni meneja wa Mgombea wa Makam wa Rais Ukawa Bwana,Juju Martin Danda amepokelewa na Chama cha Mapinduzi CCM na kukabidhiwa kadi ya Chama hicho na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Njombe.

Akizungumza dhamira ya kujiunga na Chama hicho,Martin Danda amesema ni kutokana na uozo uliopo katika vyama vya upinzani.

“Nilifanya harakati...

 

11 years ago

Habarileo

Polisi kizimbani wizi wa mtoto

WATU wawili akiwemo askari Polisi wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mbeya, wakituhumiwa kuiba mtoto. Mshitakiwa wa kwanza katika kesi hiyo konstebo wa Polisi WP 5367 Prisca Isaya (35) mkazi wa Ilala Dar es Salaam na mkazi wa Njisi wilayani Kyela mkoani hapa Salehe Mwangosi (28).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani