Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi watakiwa kuwa wakali usalama barabarani

JESHI la Polisi mkoani hapa limeombwa kuwa wakali katika kusimamia sheria za barabarani na kuepuka kupokea rushwa ili kupunguza ajali ambazo zimekuwa zikitokea mara kwa mara. Wito huo umetolewa hivi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI ASHUHUDIA KUSAINIWA KWA MAKUBALIANO YA MWENDELEZO WA KAMPENI ZA USALAMA BARABARANI BAINA YA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA,JESHI LA POLISI NA VODACOM TANZANIA

Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani nchini, Mhe. Pereira Ame Silima (Mb.) (wa kwanza toka kushoto) akimweleza jambo Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania, Abigail Ambweni (wa tatu toka kushoto) wakati Baraza hili lilipotia saini makubaliano na kampuni hiyo kuendeleza ushirikiano katika kampeni za usalama barabarani ambazo Vodacom imekuwa ikidhamini tangu mwaka 2014. Akisikiliza pia ni Katibu Mtendaji wa Baraza hilo na Kamanda...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL, BARAZA LA USALAMA BARABARANI KUHAMASISHA USALAMA BARABARANI MSIMU WA SIKUKUU‏

Meneja wa huduma za kijamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (kulia) akisisitiza juu ya umuhimu wa wananchi kujikinga na ajali za barabarani kwenye msimu huu wa sikukuu leo wakati wa kikao na waandishi wa habari kilichofanyika makao makuu ya Airtel jijini Dar es salaam.  Katikati ni Katibu Mtendaji wa Baraza na Kamanda mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani cha Tanzania, DCP Mohammed Mpinga akifuatiwa na Balozi wa kampeni za...

 

10 years ago

GPL

WANANCHI WATAKIWA KUTOA TAARIFA ZA UKIUKAJI WA KANUNI NA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

Naibu kamishna wa jeshi la polisi kikosi cha Usalama Barabarani, SACP Johanes Kahatano (katikati) akiwafafanulia jambo Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (kushoto), Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kamishna Msaidizi wa Polisi Mohamed Mpinga, na Mkurugenzi wa Radio One Stereo, Deogratius Rweyunga kuhusiana na  kampeni ya kuzuia ajali barabarani inayojulikana kama “Zuia...

 

11 years ago

GPL

POLISI FEKI USALAMA BARABARANI AKAMATWA MBAGALA DAR

Kamishna Kova (katikati) akionesha kidole kwa polisi feki aliyekamatwa.
Sura ya ‘karibu’ ya askari huyo feki aliyekamatwa.
Kova akionyesha baadhi ya sare za jeshi la polisi alizokamatwa nazo polisi huyo…

 

5 years ago

BBCSwahili

Polisi wa usalama barabarani aachwa mdomo wazi baada ya mwizi kumuibia fedha za rushwa Kenya

Kwa mujibu wa habari zilizochapishwa kwenye mtandao wa gazeti la Nation, mwizi huyo alizuka gahfla kutoka msituni, akanyakua kifurushi kilichokuwa na pesa kando mwa barabara na kisha kuchanja mbuga kwa kasi!

 

10 years ago

Dewji Blog

Jeshi la Polisi Usalama Barabarani watoa taarifa ya kusitisha suala la kusoma kwa madereva nchini

Mpinga

Kamanda wa Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, DCP  Mohammed R. Mpinga – DCP (kulia) akitoa maelezo ya kiutalaamu juu ya suala la kusoma kwa madereva ambalo kwa sasa suala hilo limesitishwa hadi hapo litakapokamilika kwa mchakato wake. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa madereva nchini, Clement Masanja.  Taarifa hiyo aliitoa leo jijini katika ukumbi wa habari MAELEZO, jijini Dar es Salaam. (Picha na Andrew Chale wa Modewji blog).

TAARIFA KWA UMMA

 Hivi karibuni nchi yetu...

 

10 years ago

Michuzi

ALBINO WATAKIWA KUSHIRIKIANA KWA KARIBU NA JESHI LA POLISI ILI KUIMARISHA USALAMA WAO

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewashauri albino wanaoishi Jijini Dar es Salaam kuwa karibu sana na Jeshi hilo ili kurahisisha mawasiliano kati yao na Wakuu wa vituo vya Polisi vilivyo karibu na makazi yao au wanapofanyia usalama wao jijini Dar es Salaam.
Pamoja na kwamba haijawahi kutoa tukio lolote dhidi ya Albino jijini Dar es Salaam kutokana na uhusiano uliopo lakini kwa sasa waongeze mawasiliano na Jeshi la Polisi kutokana na taarifa za uhalifu dhidi ya Albino...

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI-KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI NA VODACOM WAENDESHA ZOEZI LA UTOAJI ELIMU NA UPIMAJI WA VILEVI MWILINI KWA MADEREVA

 Afisa wa Jeshi la Polisi – Kikosi cha Usalama Barabarani akimpima kiwango cha pombe mwilini dereva wa basi la kwenda mikoani, Steven Mwakibolo kwa kutumia kifaa maalum wakati wa upimaji madereva ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa kampeni ya Usalama Barabarani  inayodhaminiwa na Vodacom Tanzania. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa kampuni hiyo Rosalynn Mworia, akifuatilia kwa karibu zoezi hilo lililofanyika leo katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani cha Ubungo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani