Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PORTO YAIFUNGA 3-1 BAYERN MUNICH LIGI YA MABINGWA ULAYA

Wachezaji wa timu ya Porto wakishangilia kwa pamoja baada ya kupata ushindi dhidi ya Bayern Munich usiku wa kuamkia leo Estadio do Dragao. Ricardo Quaresma akifunga bao la kwanza kwa timu yake ya Porto kwa penalti dakika ya nne kipindi cha kwanza.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BAYERN MUNICH, BARCELONA ZATINGA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA

Wachezaji wa Bayern Munich wakishangilia ushindi wao dhidi FC Porto jana. Neymar (juu) akishangilia na Mbrazil mwenzake Dani Alves baada ya kufunga bao la pili jana. Robert Lewandowski akiifungia Bayern bao la tatu dakika ya 27.…

 

10 years ago

GPL

BAYERN MUNICH KUKWAANA NA BARCELONA KATIKA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO

MECHI:     Bayern Munich vs Barcelona LIGI:         Ligi ya Mabingwa Ulaya HATUA:    Nusu Fainali MUDA:     Saa 3:45 usiku UWANJA: Allianz Arena

 

10 years ago

BBCSwahili

Bayern Munich mabingwa wa Audi

Miamba wa soka wa Ujerumani Bayern Munich wametwaa ubingwa wa michuano ya Audi mwaka 2015

 

9 years ago

GPL

MAKUNDI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA

Kundi A
1. Paris St-Germain
2. Real Madrid
3. Shakhtar Donetsk
4. Malmö FF
Kundi B
1. PSV Eindhoven
2. Manchester United
3. CSKA Moscow
4. Wolfsburg Kundi C
1. Benfica
2. Atlético Madrid
3. Galatasaray
4. Astana Kundi D
1. Juventus
2. Manchester City
3. Sevilla
4. B.Mö’gladbach Kundi E
1. Barcelona
2. Bayer Leverkusen
3. Roma
4. BATE Borisov
Kundi F
1. Bayern Munich
...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ni kivumbi ligi ya mabingwa Ulaya

Michuano ya Klabu Bingwa barani Ulaya itaendelea jumanne.

 

9 years ago

Bongo5

Matokeo ya ligi ya mabingwa Ulaya, November 3

1446586392283_lc_galleryImage_Football_Manchester_Unite

Mechi za ligi ya mabingwa wa Ulaya ziliendelea tena usiku wa November 3. Kulikuwa na mechi katika viwanja vinane tofauti kwa michezo ya Kundi A, B, C na D kupigwa.

MATOKEO YA MECHI HIZO;

Shakhtar Donetsk 4-0 Malmo FF
B. Monchengladbach 1-1 Juventus
Benfica 2-1 Galatasaray
Real Madrid 1-0 Paris Saint-Germain
Sevilla 1-3 Manchester City
PSV 2-0 VfL Wolfsburg
Manchester United 1-0 CSKA Moscow
FC Astana 0-0 Atletico de Madrid

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani