Prof. Kahigi awaonya mawaziri
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Profesa Kulikoyela Kahigi, amewaonya baadhi ya mawaziri wanaoshiriki katika mchezo mchafu wa kutoa hongo kwa wajumbe ili wakubaliane na msimamo wa Chama Cha Mapinduzi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
Prof Kahigi: Serikali ifanyie mabadiliko sekta ya elimu
MBUNGE wa Bukombe, Profesa Kulikoyela Kahigi (CHADEMA), ameitaka serikali kuifanyia mabadiliko sekta ya elimu kwa kuzingatia hali ya utandawazi iliyopo, ili kuepukana na changamoto mbalimbali zinazojitokeza. Profesa Kahigi alitoa ushauri...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-LZPTBn_x9aw/VQwgkD0F1lI/AAAAAAAHLpI/pE3Ise93H2s/s72-c/unnamed%2B(4).jpg)
Waziri Prof. Mghembe awaonya wanaoharibu vyanzo vya maji
![](http://2.bp.blogspot.com/-LZPTBn_x9aw/VQwgkD0F1lI/AAAAAAAHLpI/pE3Ise93H2s/s1600/unnamed%2B(4).jpg)
Na Hussein Makame-MAELEZO, Musoma
WAZIRI wa Maji Profesa Jumanne Maghembe amewaonya wananchi wanaoharibu vyanzo vya maji kwamba kufanya hivyo kunahatarisha uhai wa vyanzo hivyo.
Ametoa onyo hilo kwa nyakati tofauti wakati akiwa kwenye shughuli za kuweka mawe ya msingi kwenye miradi ya maji kwenye maeneo mbalimbali ya wilaya ya Serengeti mkoani Mara...
5 years ago
MichuziBAJETI YA FEDHA ZAIDI YA DOLA MILIONI 94 YAPITISHWA JUMUIYA YA SADC, MAWAZIRI WAWEKA MKAKATI KUKABILI CORONA...WAZIRI PROF. KABUDI ATOA NENO
JUMUIYA ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika(SADC)imepitisha bajeti ya fedha ya Dola za Marekani milioni 94,913,815 kwa mwaka 2020/ 2021.
Akizungumza mbele ya waandishi wa habari baada ya kikao cha Baraza la Mawaziri wa Jumuiya hiyo Katibu Mtendaji wa Jumuiya hiyo Dk.Stergomena Tac amesema fedha hizo zitatumika kwenye masuala mbalimbali yanayohusu Jumuiya.
"Pamoja na ajenda mbalimbali ambazo zimejadiliwa ,pia Jumuiya imepitisha bajeti ya fedha kwa...
10 years ago
Tanzania Daima07 Nov
Kahigi apigania maslai ya walimu
MBUNGE wa Bukombe Profesa Kulikoyela Kahigi, (CHADEMA) ameihoji serikali na kuitaka ieleze ni lini itatua changamoto za walimu hususani katika masuala ya ulipaji wa madeni pamoja na malipo ya malimbikizo...
10 years ago
IPPmedia07 Feb
Colleges, universities poorly staffed, says Kahigi
IPPmedia
IPPmedia
Insufficient staffing in colleges and universities in the country has been mentioned as one among factors leading the universities to produce incompetent graduates who fail to compete in the labour market. Speaking in the National Assembly on Thursday ...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-7gihMNqd4-8/VJhdkr5gRPI/AAAAAAAAVDA/dhJNfJv05x8/s72-c/1.jpg)
HOTUBA YA JK, PROF. TIBAIJUKA AOMBWA KUJIUZULU, PROF MUHONGO AWEKWA KIPORO
![](http://2.bp.blogspot.com/-7gihMNqd4-8/VJhdkr5gRPI/AAAAAAAAVDA/dhJNfJv05x8/s1600/1.jpg)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma hotuba yake kwa Wazee wa mkoa wa Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. ( Picha na Adam Mzee)
![](http://4.bp.blogspot.com/-6rChn-QJ6gM/VJhdx7TABQI/AAAAAAAAVDY/vyedmvEXjO4/s1600/12.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-85xjOsGLXKo/VJhdzYAjX1I/AAAAAAAAVDk/1KuPUy1fFNY/s1600/14.jpg)
--Rais Kikwete ameanza kuongea na wazee wa Mkoa wa Dar katika Ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo Watanzania wanataraji atoe mwongozo kuhusu sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/alJLWH62eMS-NLx00o4VN1*j4J-kgXN2w4l3xHDuwB-MCRDi8Yxl9OSc1Ai4uD06brjEUwSE2P-7lFCF4lzO8lXrsOna-LGh/PROFMUHONGO.jpg?width=650)
MAAZIMIO MAPYA SAKATA LA ESCROW: MAMLAKA HUSIKA YASHAURIWA KUTENGUA UTEUZI WA PROF TIBAIJUKA, PROF MUHONGO, JAJI WEREMA NA MASWI
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/JUPJxGO-oyQ/default.jpg)