Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Prof. Maghembe: Hakuna ufisadi mradi wa maji Karatu

WAZIRI wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe, amesema hakuna ufisadi wowote katika utekelezaji wa mradi wa maji wa Wilaya ya Karatu. Alitoa kauli hiyo bungeni jana wakati akijibu swali la Mbunge...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Maghembe atangaza neema ya maji Karatu

Awamu ya kwanza ya ujenzi wa mradi wa maji katika Mji wa Karatu mkoani Arusha imefikia asilimia 34, huku Sh310 milioni zikihitajika kukamilisha hatua hiyo.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MAJI AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA MRADI WA MAJI YA DHARURA KARATU

Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe mwishoni mwa wiki alitembelea mradi wa maji wa dharura Karatu Mjini kuona utekelezaji wake. Mradi huo mahsusi kwa ajili ya kukabiliana na upungufu mkubwa wa maji mjini Karatu unasimamiwa na Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Jijini Arusha (AUWSA).
Pia, Prof. Maghembe alitembelea Halmashauri ya Mji wa Karatu kuangalia hali ya upatikanaji wa maji na utekelezaji wa miradi ya maji wilayani humo katika programu ya vijiji 10 ya BRN. Waziri wa Maji, Prof....

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MAJI JUMANNE MAGHEMBE AZINDUA MRADI WA MAJI KIJIJI CHA KWADELO WILAYA YA KONDOA

 Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe, akiweka jiwe la msingi kuashiria kuzindua rasmi kisma cha bomba la maji katika kijiji cha Kwadelo Halmashauri Wilaya ya Kondoa Machi 20, 2014 sambamba na maadhimisho ya kilele cha wiki ya maji dunia ambapo kitaifa yana fanyikia Mkoani Dodoma (kulia kwake), Mbunge wa Jimbo la Kaskazini Kondoa Mhe: Zabeini Mhita. kauli mbiu ni uhakika wa maji na nishati.  Profesa.Jumanne Maghembe akipanda mti baada ya kuzindua mradi wa maji.  Waziri wa...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MAJI PROF,MAGHEMBE AFUTURISHA WANANCHI JIMBONI KWAKE

Waziri wa Maji Prof. Jumanne Maghembe akiwakaribisha waannchi katika futari aliyoandaa kwa ajili yao katika eneo la Ikulu wilayani Mwanga.Waziri wa Maji Prof,Jumanne Maghembe akizungumza na wananchi  alipowaalika kwa ajili ya Futari aliyoandaa kwa ajili yao eneo la Ikulu wilayani Mwanga. PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

11 years ago

GPL

WAZIRI WA MAJI PROF,MAGHEMBE AFUTURISHA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU JIMBONI KWAKE

Waziri wa Maji Prof. Jumanne Maghembe akiwakaribisha waumini wa dini ya Kiislamu katika futari aliyoandaa kwa ajili yao katika eneo la Ikulu wilayani Mwanga.
Waziri wa Maji Prof,Jumanne Maghembe akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu alipowaalika kwa ajili ya Futari aliyoandaa kwa ajili yao eneo la Ikulu wilayani Mwanga.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Prof. Jumanne Maghembe: Serikali imevalia njuga tatizo la ukosefu wa maji nchini

1

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Mwanga na Waziri wa Maji Mh. Prof. Jumanne Maghembe mara baada ya kuwasili katika kata ya Kileo jimbo la Mwanga mkoani Kilimanjaro wakati alipoanza ziara ya kikazi ya jimboni humo akikagua na kuhimiza ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 inayotekelezwa na serikali, Katika ziara hiyo Kinana anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Taifa CCM.

Akizungumzia tatizo la maji nchini kwa ujumla Prof....

 

11 years ago

Michuzi

JK azindua mradi mkubwa wa maji Karatu, CHADEMA yamshukuru kwa maendeleo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtwisha ndoo ya maji mmoja wa wakazi wa mji wa Karatuwakati Rais alipozindua mradi wa maji katika mji wa Karatu leo asubuhi.Picha na Freddy Maro.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani