Prof Ndulu: Utalii unaongoza kulingizia taifa pato la kigeni
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu amesema hivi sasa sekta ya Utalii ndiyo inayoongoza kwa kuliingizia taifa mapato ya kigeni baada ya kuipita sekta ya dhahabu iliyoshuka kutokana na kuporomoka kwa bei kwenye soko la dunia.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog21 Dec
Serikali yazindua rasmi usambazaji takwimu za pato la taifa, pato la mwanachi laongezeka
Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya Salum (katikati) akizindua rasmi Takwimu za Pato la Taifa zilizorekebishwa kwa mwaka wa kizio wa 2007 jijini Dar es salaam.
Na Aron Msigwa – MAELEZO
Serikali imesema kuwa Pato la Taifa kwa mwaka 2007 limeongezeka hadi kufikia shilingi trilioni 26.8 ikilinganishwa na trilioni 20.9 za mwaka 2001, ambapo wastani wa pato la mwananchi mmoja mmoja limeongezeka kutoka shilingi milioni1,186,200/= mwaka 2001 hadi shilingi milioni 1, 561,050/= mwaka 2013.
Akizindua...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-7kzKZ5TuwqI/VJQ3nweXiHI/AAAAAAAG4dA/dVoJ0Nlel24/s72-c/Takwimu%2B-1.jpg)
SERIKALI YAZINDUA RASMI USAMBAZAJI TAKWIMU ZA PATO LA TAIFA, PATO LA MWANACHI LAONGEZEKA
![](http://1.bp.blogspot.com/-7kzKZ5TuwqI/VJQ3nweXiHI/AAAAAAAG4dA/dVoJ0Nlel24/s1600/Takwimu%2B-1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-IGS3kQwrhrY/VJQ3n6cvYlI/AAAAAAAG4c8/QLK7bFGfcYo/s1600/Takwimu%2Bna%2B2.jpg)
BOFYA HAPA KWA HABARI NA PICHA ZAIDI
10 years ago
Michuzi19 Dec
SERIKALI YAZINDUA RASMI USAMBAZAJI TAKWIMU WA PATO LA TAIFA, PATO LA MWANACHI LAONGEZEKA.
![unnamed](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/unnamed387.jpg)
![unnamed1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/unnamed1149.jpg)
![unnamed2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/unnamed2115.jpg)
9 years ago
MichuziOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU (NBS) YASEMA PATO LA TAIFA LIMEONGEZA KWA ASILIMIA 7.9
9 years ago
VijimamboOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU (NBS) YASEMA PATO LA TAIFA LIMEONGEZA KWA AILIMIA 7.9
Na Dotto MwaibaleOFISI ya Taifa ya...
10 years ago
Tanzania Daima07 Oct
TTB yajiwekea mikakati kukuza pato la utalii
BODI ya Utalii Tanzania (TTB) imesema itaendelea kuweka mikakati kabambe katika kuhakikisha sekta ya utalii inatoa mchango mkubwa zaidi katika kukuza pato la taifa kutoka asilimia 17 ya sasa na...
10 years ago
MichuziOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATOA TAARIFA YA PATO LA TAIFA KWA ROBO YA KWANZA YA MWAKA,JANUARY-MACHI 2014
10 years ago
Dewji Blog01 Oct
Raia wa kigeni na utalii ndani ya Mlima Kilimanjaro
Baadhi ya wageni kundi la KJIYA 7 kutoka Hispania wakiwa ndani ya geti la KINAPA wakijiandikisha kuanza kupanda Mlima Kilimanjaro kama walivyokutwa na kamera ya matukio mkoani Kilimanjaro.(Picha na Mahmoud Ahmad -Kinapa).
10 years ago
Zitto Kabwe, MB03 May
Maelezo ya Gavana Prof Benno Ndulu Kuhusu Kushuka kwa Thamani ya Shilingi ya Tanzania kwa Kamati ya Fedha Uchumi na Biashara
![](https://pixel.wp.com/b.gif?host=zittokabwe.wordpress.com&blog=12675215&post=3534&subd=zittokabwe&ref=&feed=1)