Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Profesa Mark Mwandosya akutana uongozi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya leo

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (Mbeya University of Science and Technology-MUST) (Chancellor),Profesa Mark Mwandosya (kulia) akiwa kwenye mkutano na uongozi wa Chuo hicho ofisini kwake Ikulu,Dar es Salaam.Ujumbe huo,ukiongozwa na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo umempa taarifa Mkuu wa Chuo kuhusu maendeleo ya Chuo, changamoto zinzokikabili,na mipango ya kukiimarisha Chuo kifedha,kitaaluma,na miundombinu yake.Mkuu wa Chuo hicho,Profesa Mark Mwandosya,ambaye pia ni Waziri wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

TEKNOLOJIA: Chuo Kikuu cha Sayansi Mbeya kufunza utengenezaji wa roboti

>Wakati vijana wengi wanaomaliza vyuo mbalimbali wakikosa kazi, wanasayansi katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia (Must)  cha jijini Mbeya kwa kushirikiana na serikali ya Italia, wanatarajia kutoa mafunzo kwa vijana kuhusu utengenezaji wa roboti zinazosaidia kufanya kazi viwandani.

 

11 years ago

GPL

UTEUZI WA WAJUMBE WA BARAZA LA CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA

TAARIFA KWA UMMA
UTEUZI WA WAJUMBE WA BARAZA LA CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemteua Prof. Penina Mlama kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya. Uteuzi huo ni kwa mujibu wa Sheria ya Vyuo Vikuu ya mwaka 2005 na hati idhini ya Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya. Uteuzi huo ni wa kipindi cha miaka mitatu...

 

10 years ago

Michuzi

MFUKO WA CHANGAMOTO ZA MILLENIA (MCAT) YAKABIDHIN RASMI KAMBI YA KANDA ILIYOPO MKOANI RUKWA KWA CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA (MUST

Kaimu Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (Millenium Challenge Account - MCAT) Eng. Salum Sasilo (kulia) akimkabidhi funguo Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya - MUST Prof. Joseph Msambichaka kama ishara ya makabidhiano rasmi ya kambi ya Kianda iliyokuwa ikitumiwa na Mkandarasi Aasleaf Bam International katika ujenzi wa barabara ya lami kuunganisha Mikoa ya Rukwa na Mbeya katika mradi wa Laela - Sumbawanga wenye jumla ya Kilomita 95. Chuo hicho Kikuu cha...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AKUTANA NA UONGOZI WA CHUO KIKUU CHA TUMAINI IKULU LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na baadaye katika mazungumzo na uongozi wa juu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es salaam uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo February 9, 2015. Ujumbe huo umeongozwa na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania Dkt Alex Malasusa pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa shirika laNyumba la taifa (NHC) na Mwenyekiti wa Harambee ya chuo hicho ambachokinamilikiwa na kanisa la KKKT. 
PICHA NA IKULU

 

10 years ago

Dewji Blog

Mamlaka ya elimu yatoa ufadhili wa milioni 300 kwa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mwalimu Julius K.Nyerere

user comment

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Bw. Joel Laurent akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar Es Salaam kuhusu mikakati ya mamlaka hiyo katika kuboresha sekta ya elimu hapa nchini kupitia Mfuko wa Elimu. Kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mwalimu Julius K Nyerere Prof. Dominic Kambarage.

2

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mwalimu Julius K Nyerere Prof. Dominic Kambarage (wa pili kushoto) na Kaimu Mkurugenzi...

 

10 years ago

Michuzi

Profesa Mwandosya mgeni rasmi katika Mahafali ya 16 ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT),Mwanza

 Waziri wa Nchi(Kazi Maalum) Ofisi ya Rais Profesa Mark Mwandosya,Rev Dr Thadeus Mkwama,Makamu Mkuu wa SAUT,na Mwadhama Baba Askofu Desderius Rwoma,Mkuu wa Chuo,wakiwa kwenye maandamano ya ya taaluma, ya Maprofesa.  Maandamano yakiendelea Profesa Mwandosya,Rev Dr Thadeus Mkwama,Makamu Mkuu wa SAUT,na Mwadhama Baba Askofu Desderius Rwoma,Mkuu wa Chuo,wakiwa kwenye maandamano ya ya taaluma, ya Maprofesa.  Waziri Mwandosya akisalimiana na wakufunzi wa SAUT. Picha ya pamoja ya Prof. Mwandosya na...

 

10 years ago

Michuzi

PROFESA MARK MWANDOSYA ANENA

Na Profesa Mark MwandosyaLeo ni siku inayofuatia jana, siku ambayo Ndugu yangu Edward Ngoyai Lowassa aliacha rasmi uanachama wa CCM na kupewa kadi ya uanachama wa Chadema. Si yeye tu bali alisindikizwa na mke wake mpendwa Mama Regina Lowassa. 

Nilidhani leo mitandao yote ingesheni habari hiyo kubwa. Kumbe nami nimekuwa "staa" katika mitandao ya kijamii. Kuanzia asubuhi nimekuwa nikipokea na kujibu simu mbalimbali nikiulizwa maoni yangu kuhusu tukio la jana, kuhusu mchakato wa Dodoma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani