UTEUZI WA WAJUMBE WA BARAZA LA CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA
![](http://api.ning.com:80/files/6vIMLmuhUcqn1OZaI42Q9bIzJJeh09OWCEyIQTXbrXLJgyHyh*60yuv-Tbme1FtllPVfh5jngTV0gmJ3QEs9cVmbN6-yvs9n/tanzania.jpg)
TAARIFA KWA UMMA UTEUZI WA WAJUMBE WA BARAZA LA CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemteua Prof. Penina Mlama kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya. Uteuzi huo ni kwa mujibu wa Sheria ya Vyuo Vikuu ya mwaka 2005 na hati idhini ya Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya. Uteuzi huo ni wa kipindi cha miaka mitatu...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi28 Mar
11 years ago
Mwananchi01 Jul
TEKNOLOJIA: Chuo Kikuu cha Sayansi Mbeya kufunza utengenezaji wa roboti
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-O7J3-G72ChQ/U8TeTm-UjnI/AAAAAAAF2Q8/5GYTwLfOfS8/s72-c/20140714_115209.jpg)
Profesa Mark Mwandosya akutana uongozi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya leo
![](http://1.bp.blogspot.com/-O7J3-G72ChQ/U8TeTm-UjnI/AAAAAAAF2Q8/5GYTwLfOfS8/s1600/20140714_115209.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-h1w3Cm5bV_M/U8TeT1ZzB2I/AAAAAAAF2RA/5y9N6nIhQfg/s1600/20140714_132113.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Z6l2sXPN8Fc/VTo7iZvvkJI/AAAAAAAAGyg/xc3ta91epWc/s72-c/P4249105.jpg)
MFUKO WA CHANGAMOTO ZA MILLENIA (MCAT) YAKABIDHIN RASMI KAMBI YA KANDA ILIYOPO MKOANI RUKWA KWA CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA (MUST
![](http://2.bp.blogspot.com/-Z6l2sXPN8Fc/VTo7iZvvkJI/AAAAAAAAGyg/xc3ta91epWc/s1600/P4249105.jpg)
9 years ago
Dewji Blog11 Sep
Mamlaka ya elimu yatoa ufadhili wa milioni 300 kwa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mwalimu Julius K.Nyerere
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Bw. Joel Laurent akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar Es Salaam kuhusu mikakati ya mamlaka hiyo katika kuboresha sekta ya elimu hapa nchini kupitia Mfuko wa Elimu. Kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mwalimu Julius K Nyerere Prof. Dominic Kambarage.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mwalimu Julius K Nyerere Prof. Dominic Kambarage (wa pili kushoto) na Kaimu Mkurugenzi...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-IhGyGqpH0ws/VTjfT-u-FOI/AAAAAAAHSws/eOwXNjy7gqY/s72-c/SimbaKalia.jpg)
UTEUZI WA MWENYEKITI WA BARAZA LA TUME YA TAIFA YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA (COSTECH)
![](http://3.bp.blogspot.com/-IhGyGqpH0ws/VTjfT-u-FOI/AAAAAAAHSws/eOwXNjy7gqY/s1600/SimbaKalia.jpg)
===== ====UTEUZI WA MWENYEKITI WA BARAZA LA TUME YA TAIFA YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA (COSTECH)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikiwete, amemteua Mhandisi, Kanali Mstaafu Joseph Leon Simbakalia, kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia tarehe 10 Aprili 2015.
Uteuzi huo ni kwa mujibu wa Kifungu Na. 4 cha Sheria Na. 7 ya Mwaka 1986 iliyounda Tume ya...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-PBGm91fsrpQ/VVxCLBxSqRI/AAAAAAAHYac/adX3w0sbfvM/s72-c/bg.jpg)
BG TANZANIA KUZINDUA UDHAMINI WA SHAHADA YA UZAMILI YA SAYANSI YA MAFUTA NA GESI - CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
![](http://3.bp.blogspot.com/-PBGm91fsrpQ/VVxCLBxSqRI/AAAAAAAHYac/adX3w0sbfvM/s640/bg.jpg)
Katika hafla ya uzinduzi huu, Mgeni rasimi alikuwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Mizengo Kayanza Pinda. Wageni wengine walio...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-SuA9lKmNOsE/VMpdfDp0awI/AAAAAAAAaJc/I7UGAI_TsEQ/s72-c/images%5B1%5D.jpg)
PROF. MBWETTE RAIS MPYA WA BARAZA LA CHUO KIKUU CHA PAN AFRICAN
![](http://3.bp.blogspot.com/-SuA9lKmNOsE/VMpdfDp0awI/AAAAAAAAaJc/I7UGAI_TsEQ/s1600/images%5B1%5D.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/26rh2i2B5MblVFMJKkmKMcmSyeGBNryDrtHQQ9Rq7PZTO5pihwLl5g4CVlagW3qQa9ph5Kt*BkAvvIhEfVL-gnxqeIFSNnMy/IMG20140923WA0003.jpg)
CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA USHIRIKA NA BIASHARA MOSHI (MUCCOBS) CHAWA CHUO KIKUU KAMILI