Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PROF. MBWETTE RAIS MPYA WA BARAZA LA CHUO KIKUU CHA PAN AFRICAN


Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Prof. Tolly Mbwette amechaguliwa kuwa Rais wa Baraza la Chuo Kikuu cha Afrika (Pan African University) katika uchaguzi uliofanyika jijini Addis Ababa siku ya Jumatano tarehe 28 Januari 2015. Prof. Mbwette ambaye atahudumu nafasi hiyo kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo, aliwashinda wagombea wengine wanne katika kinyang’anyiro hicho. Aidha, Bw. Ekwabi Mujungu amechagulikuwa kuwa Mjumbe wa Bodi ya Umoja wa Afrika inayoshughulika na mapambano...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Profesa Mbwette Rais Chuo Kikuu cha Afrika

MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Profesa Tolly Mbwette amechaguliwa kuwa Rais wa Baraza la Chuo Kikuu cha Afrika (Pan African University).

 

10 years ago

Michuzi

JAJI BWANA NDIYE MWENYEKITI MPYA BARAZA LA CHUO KIKUU HA BAGAMOYO (UB)



Na Mwandishi Wetu

BODI ya Wadhamini ya Chuo Kikuu Cha Bagamoyo (UB), imemteua  Jaji wa Mahakama ya Rufaa nchini, Dk.Stephen Bwana Kuwa Mwenyekiti mpya wa Baraza la chuo hicho.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Bagamoyo(UB), Mikocheni Dar Es Salaam, Dk.William Kudoja alisema  Bodi ya Wadhamini ya chuo hicho ambayo Inaongozwa na Professa Paramaganda Kabudi Ndiyo ilimteua Jaji Bwana kushika wadhifa huo mpya baada ya kuona Ana sifa za vigezo Vya...

 

11 years ago

GPL

UTEUZI WA WAJUMBE WA BARAZA LA CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA

TAARIFA KWA UMMA
UTEUZI WA WAJUMBE WA BARAZA LA CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemteua Prof. Penina Mlama kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya. Uteuzi huo ni kwa mujibu wa Sheria ya Vyuo Vikuu ya mwaka 2005 na hati idhini ya Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya. Uteuzi huo ni wa kipindi cha miaka mitatu...

 

10 years ago

GPL

CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA USHIRIKA NA BIASHARA MOSHI (MUCCOBS) CHAWA CHUO KIKUU KAMILI

Baadhi ya wahadhiri wa MoCU (MOSHI CO-OPETATIVE UNIVERSITY) wakiwa kwenye picha ya pamoja.. Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), Mhe. Philemon Luhanjo (wa nne kulia waliokaa ) akiwa katika picha ya wajumbe wa bodi na wahadhiri wa chuo hicho. CHUO Kikuu Kishiriki cha Ushirika na Biashara Moshi (MUCCOBS), kimekuwa chuo kikuu rasmi ambapo kwa sasa kitaitwa Chuo Kikuu Cha Ushirika Moshi (MoCU). Taarifa hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA MZUMBE, MOROGORO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua jengo la mihadhara la Chuo Kikuu cha Mzumbe Morogoro akisaidiwa na uongozi wa chuo hicho alipotembelea hapo na kuzindua ukumbi wa huo jengo la wahadhiri chuoni hapo Agosti 25, 2014.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wanafunzi, wahadhiri na wananchi katika Chuo Kikuuu cha Mzumbe Morogoro baada ya kuzindua ukumbi wa mihadhara na jengo la wahadhiri chuoni hapo Agosti 25, 2014. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi ya picha yake ya...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA MZUMBE, MOROGORO‏

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa serikali ya wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Mzumbe mjini Morogoro baada ya kuwahutubia chuoni hapo Agosti 25, 2014. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wanafunzi, wahadhiri na wananchi katika Chuo Kikuuu cha Mzumbe Morogoro baada ya kuzindua ukumbi wa mihadhara na jengo la wahadhiri chuoni hapo Agosti 25,… ...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AKUTANA NA UONGOZI WA CHUO KIKUU CHA TUMAINI IKULU LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na baadaye katika mazungumzo na uongozi wa juu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es salaam uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo February 9, 2015. Ujumbe huo umeongozwa na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania Dkt Alex Malasusa pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa shirika laNyumba la taifa (NHC) na Mwenyekiti wa Harambee ya chuo hicho ambachokinamilikiwa na kanisa la KKKT. 
PICHA NA IKULU

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete atunukiwa shahada ya heshima ya Chuo Kikuu cha Newcastle, Australia

n9

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa Sheria (Doctor of Laws honorific causa) na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Newcastle Bwana Paul Jeans Chuoni hapo nchini Australia leo tarehe 29.7.2015 katika ukumbi wa chuo hicho.

n10

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishukuru baada ya kutunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa Sheria (Doctor of Laws honorific causa) na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Newcastle Bwana Paul Jeans chuoni hapo nchini Australia leo tarehe 29.7.2015 katika ukumbi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani